hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Maajabu hayatokaa yaishe Dunia hii; nimekaribishwa juisi ya muhogo Leo!

    Ajabu ni nzuri balaa. Hizi blenders zimeleta shida bongo haki ya nani!! Mmatumbi anataka kujaribu Kila kitu aone kinanogaje ikiwa juisi.
  2. chichikande

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata cable ya hii swiss level

    Habari wakuu, Natafuta sehemu naweza kuipata charging cable ya Swiss level. MaSurveyor naombeni msaada.
  3. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Aibu hii kwa viongozi wa Africa na Africa mgogoro wa Congo

    Hawawezi kuamua siku zote. Wao hujificha madhaifu yao na aibu zao kwenye diplomatic Kituko kweli,yaani ukae mfanye mazungumzo na mwanao(M23) wa kuasili anaetaka kukuua wakishirikiana na baba yake mzazi(Rwanda) Mwanao anaekuhujumu mfanye mazungumzo,viongozi wa Africa hawawezi kuamua mambo...
  4. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Happy Mariage Day:- Njooni tuwape pole waliojitafutia majanga makuu kwenye hii dunia ya utandawazi..!!!

    Siku ya Kimataifa ya Wenzi wa Ndoa:kuheshimu mume na mke kama msingi wa familia Siku ya kimataifa ya Wenzi wa Ndoa ni sheherehe ambayo inahimiza kuheshimu mume na mke kama jiwe kuu la pembeni la familia,umoja msingi wa jamii ya kila tamaduni,kabila,koo na taifa.Adhimisho hili linahamasisha uzuri...
  5. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

    Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi. Ina maana Mungu amewaumba wachamungu waje kupata matatizo hapa duniani?? Mashoga Majambazi...
  6. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Hii mbunga imekimbiwa awamu hii, watu wanaishi mjini

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO Kwa mbali naliona pori la chamwino ambalo limikimbiwa kibabe sana Watoto wa mjini huwa wanaishi mjini siyo porin Pumzika kwa aman anko magu , polen watanzania kukosa viongozi wazalendo badala yake mna viongozi wala Bata tu SAYUNI BOY
  7. A

    JamiiForums Tanzania Clinic ya mama kwa walimu: Naomba kujua hii clinic ya mama jinsi inavyofanyika

    Hii clinic inafanyika ikiwa na malengo ya kutatua changamoto za kimshahara za walimu yaani waliopunjwa daraja, malimbikizo mbalimbali ya mshahara n.k Swali langu ni kuwa siku hiohio wakishabaini kuwa huyu mwalimu anapaswa kulipwa anapewa chake au ndo yaleyale ya ombi lako linashughulikiwa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Wanajukwaa heshima iwe kwenu. Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki? La Hasha, Mbinu hizi zitumike, huenda zikazalisha mengi zaidi mazuri ya neema kwa WaTz nchi ikapata mabadiliko muhimu sana kupitia...
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii picha kama ni ya IA au ni ya camera

    toa sababu
  10. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Hivi hii timu ya Juventus inamashabiki kweli

    Hii timu inaitwa kubwa lakini naona Haina mashabiki au ukubwa wao ni upi kama makombe hawabebi aisee naishindwa kuelewa maana hata top 4 imekua shida kwao kuipata halafu inaitwa timu kubwa
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakifika kesho wataongea tu,lakini kwa sasa hakuna ufumbuzi kwa hii vita

    Tusiweke matumaini makubwa kuhusu summit meeting ya kesho. Jambo moja tunaweza kuridhika ni kwamba kwa kusikiliza ripoti nyingi tunaweza kuona kwamba wapo viongozi wa Jeshi la Kongo ambao sio waaminifu kwa nchi yao. Tutapata suluhu labda katika huu mgogoro lakini siyo katika Mkutano wa kesho...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Aliekukuta katika hali hii bado mko nae?

    "Pakiwa ndipo unapolala humo humo unatunzia na vyombo vyako basi hicho sio chumba hio ni stoo" alisema kijana mmoja graduate huku akiwa ameegemesha miguu miwili kwenye sofa la shemeji yake
  13. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Je hii ni sawa? Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja

    Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja, tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini. Kaja...
  14. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Pele na Magoli yake 1,000

    Najaribu kuwaza: Haya Magoli 1000 ambayo nimekua nikiyasikia toka midomoni mwa Kaka zetu, wajomba pengine wazee na vikongwe kuhusu Pele na Magoli yake 1000 ni Chai kongwe kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa soka ? Huku ndiko yalipotoka Magoli msiyoyajua kukamilisha Idadi ya Goli Mbombo Goli...
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi zinazotegemea misaada hali inazidi kuwa ngumu, Elon Musk aanzisha mpango wa kuiua USAID

    Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa." Kupitia mtandao wa X Musk alisema “USAID ni shirika la uhalifu. Ni wakati wa kufa” Hii ni baada ya taarifa iliyosema...
  16. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

    Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija. Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu...
  17. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Fountain gate dhidi ya simba mechi nzuri yenye kuvutia upinzani wa soka la bongo hii haina uhusianao na singida?

    JIoni ya leo tunashuhudia mechi halisi mpira halisi na matokeo halisi yaani fair play yasiyo na chembe ya mashaka fountain gate dhidi ya simba ni mechi ya kukamiwa simba ni aina ya mechi simba anazo zipenda huwapa mazoezi na ukomavu wachezaji wao si mechi za bahasha si ajabu kukuta kibu d au...
  18. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Wanaume, 2025 hii mnapitia nini kwani?

    Nimeona hii reply kwenye uzi, ikanifikirisha sana. Mtu mpaka anaandika hivi lazima kuna kitu kizito nyuma yake. Nini kimewafikisha hapa? na kuna chochote tunaweza kufanya kuwapunguzia hizi frustrations...
  19. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Karibu tukujengee hii nyumba ya chumba kimoja kwa mkopo

    MKOPO MKOPO wa ujenzi, Nyumba hii inasifa zifuatazo. Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom. Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa wanaojenga nyumba zakupangisha ni nzuri sana na haina gharama kubwa. Gharama yake ni kiasi cha...
Back
Top Bottom