hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka muda hii hakijaeleweka tu? Idd ni lini?

    Wakuu mwenye taarifa rasmi kutoka BAKWATA kama mwezi umeonekana ama la. Wengine hatutaki ugomvi na mabos wetu kesho.
  2. JamiiForums Tanzania Hii 'Mashemeji derby' inaenda kufuta ule upuuzi wa Kariakoo

    Kipindi tukibaki na usingizi wa "derby ya tano afrika"naangalia mashemeji derby ikiwa imenoga sana hapa Hii inanifariji kwamba ule upuuzi wa kariakoo huenda ukafutika mda si mrefu kwa kupata mbadala wake na utabaki kuwa wa viongozi na wanasiasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ee Mungu wa Tanzania, waja wako twakuomba, isijirudie tena hii, tumejua, wa pili kumbe hawi na uchungu kama wa kwanza kwa mali na Watanzania

    Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Je, hii ina maana trafic polisi huwa wanatuonea barabarani?

    Nimeona hii ninayoonyesha ya "CAREFULLY OVERTAKE" mara nyingi traffic polisi wanatutia hatiani kuwa tumeovertake kwenye restricted zone, je hii alama ya carefully overtake kwa Tanzania ina tofauti na mataifa mengine?
  5. JamiiForums Tanzania Zawadi ya Jumapili! Sikiliza na download playlist hii ya nyimbo za dini

    huyu kuna nyimbo kama vile picha ya mama -bahati bukuku nina siri-israel moyo wangu-rose muhando kunyata nyata- christina shusho-ningare martha mwiaapaya godluck gozbet joel n.k https://hearthis.at/ignas-ndimbo/dvj-nasmiletz-gospal-vol-4-nina-siripicha-ya-mamaherikijitonyamamartha-mwaipayamgendi/
  6. JamiiForums Tanzania Aina hii ya maisha mpaka lini kuchelewa kulala na kuwahi kuamka

    Mbinguni tutafika tukiwa hoi wakuu sio mchezo fikiria tu lifestyle ya kuchelewa kulala na kuwahi kuamka mwili haupati fursa ya kupumzika ipasavyo unalala saa 7 usiku afu saa 10 alfajiri unapaswa uwe tayari umeamka. AIna hii ya maisha lazima upate changomoto ya afya ya akili ukiongeza na ugumu...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu vikosi vya SADC vilivyopo DRC kushidwa kukabiliana M23 wanaungwa mkono na Rwanda ni hii

    Ukweli usemwe Naweza kua sipo field ila kwa huu mtililiko wa Mambo nirahisi kuona matobo na udhaifu uliopo haitaji kuwa na akili za jasusi kung'amua unafiki,usaliti unaondelea hapa kati tangu mwaka Jana 2024 vikosi vya SADC vilivyowasili DRC mwaka Jana Mwaka Jana 2024 wote tulishuhudia vikosi...
  8. JamiiForums Tanzania Imenichukua miaka 3 kufanya utafiti wa hii Style. Imependwa "MAPIGO NA MWENDO" ni one of the best

    Kwa muda nlikuwa kimya nikifanya utafiti wa styles mbalimbali za ujenzi wa Taifa. Taifa linajengwa kwa namna mbalimbali miaka ya uhuru imagine tulikuwa kama Milion 9 hivi. Sasa? 60 plus Milion. Unadhani watu wasingekuwa busy tungefika huko? Anyway mimi si mwanasiasa. Ni miaka kadhaa nimekuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mikopo ya awamu ya tano matumizi yanaonekana, Mikopo ya awamu hii ambayo ni mikubwa zaidi imetumikaje?

    Mikopo ya awamu ya Tano; Treni ya kisasa ya SGR Bwawa la umeme la Nyerere (JNHEP) Daraja la Kigogo - Busisi Tanzanite Bridge John Kijazi interchange Mfugale Flyover Ubungo Bus Terminal JK Nyerere international airport Terminal 3 Magufuli city - Dodoma Barabara za Mwendokasi - BRT Ikulu mpya -...
  10. JamiiForums Tanzania Utoaji wa taarifa wa aina hii wa kuzusha taharuki na hofu kwa ndugu za wasafiri upigwe marufuku na serikali.

  11. JamiiForums Tanzania KITAAOLOJIA: Namna ya kusurvive hapo hapo ulipo, VETA sio suluhisho, pesa ipo hapo hapo ulipo

    Hellow wakuu Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo Ipo hivi.. Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Umeshakaa ukijiuliza mistari hii kwenye taulo ni ya nini? 🤔

  13. JamiiForums Tanzania Katika hii picha umelewa nini

    Karibuni wakuu kufumbua hili fumbo zito.
  14. JamiiForums Tanzania Zetrovert aina hii ya watu ni Hazina kubwa sana kwa JF na Taifa kwa Ujumla. Waheshimiwe

    Ni watu washali sana wanapenda ugomvi na malumbano hawawezi kaa sehemu kwa amani. Wapo kwenye nyuzi za watu kuharibu na kuchafua hali ya hewa. Haipiti siku hawajagombana na mtu au kupigwa ban kwa mwezi huwa ni kawaida tu kwao. Hawa kitaalamu wanaitwa zetrovert. Ni wababe wanakuwa na akili...
  15. JamiiForums Tanzania Tafakuri yangu juu ya hii report ya CAG

    Mimi binafsi ninavyoona ,kwa hizi hasara ambazo zimejitokeza katika ripoti ya CAG ni wazi kuwa , pengine ni ile sheria ya kamba inafanya kazi tuiite the rope's law kwamba kila mmoja anakula pale kamba yake ilipofikia kwa sababu walaji wanaamini in the next government (Mungu ajaalie)...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kama tumeshindwa mwendokasi, unadhani ni baada ya miaka mingapi Dar Es Salaam itakuwa na metro kama hii ya Tokyo?

    Kama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro Hii iko chini ya ardhi.......
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ndo maana Hersi anatuona kama sisi sote wala Mihogo

  18. JamiiForums Tanzania Kuna hii habari imekuwa ikiwachanganya watu katika mahusiano hasa wadada kudhani ni haki yao!

    Wadada wa mjini wengi wamekuwa wakijikuta katika mivutano mikubwa ya mahusiano bila wao kujua na kubaki wakilia mjini! Unakuta binti kaingia katika mahusiano na mtu wanaamua kusogezana pika pakua wakati akienda kwa mwanaume amemkuta na kiwanja na kibanda au nyumba kabisa! lakini baada ya miezi...
  19. JamiiForums Tanzania Aina hii ya Nidhamu mbovu na ya Kishamba ya Mashabiki wa Yanga SC kuwa nje Uwanja wa Taifa huku Waziri Kabudi akiwa na Kikao Kizito inaitwaje?

    Na wenye Akili tunajua tu kuwa ni Injinia Hersi (Rais wa Yanga SC) ndiyo Kawaleta hapo kwa Makusudi na Kimkakati zaidi.
  20. JamiiForums Tanzania Mh Gwajima Mbunge wa Kawe umefikia wapi kuhusu hii ahadi yako ?

    https://www.facebook.com/share/r/14jspCwC7r/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…