Ukabila Hauna maana yoyote kwa dunia ya sasa, lakini Bado zipo jamii zimekumbatia sana Mila na desturi zao , masai ni Moja wapo.
Tupo Dunia ya kibepari ambayo inahitaji akili nyingi na macho ya dhahabu ya kuona vitu na fursa, stori za sasa ni pesa pesa pesa. Cha ajabu kwa ndugu zetu masai...