hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Vurugu katika Vyuo Vikuu vya USA leo hii, Bw. Walid Shoebat alivibashiri mwaka 2008

    Walid Shoebat ni Mpalestina aliyekuwa gaidi chini ya PLO-Palestine. Baada ya kujua ukweli aliacha ugaidi wake na kusimamia ukweli upande wa Israel. Mwarabu huyu ktk mahojiano yaliyofanya 2008 alielezea Uislamu kuwa si tu kuwa dini hatari bali pia kuwa uislamu ni mfumo wa kisiasa ulio hatari hata...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nyerere angelirekebisha Katiba hii, mateso yote haya yasingelikuwepo

    Alisema kabisa kwa kinywa chake kuwa katiba hii akitokea dictator ataumiza sana watu. Ndicho kinachotokea leo! https://youtu.be/br-LSD8AjSw
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda sana hii picha kutoka The Chanzo. EBU TAZAMA!

  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Video: Sheikh Mwaipopo awaombe Radhi Waislamu. Ameanza kukengeuka au anatumika? Hii ni Kebehi kwa Waislamu

    Haya maneno ya kusema Waislamu hawapo organized na ni wanafiki si sawa. Tena anaongea Sheikh Mkubwa kama huyu na Maarufu Duniani. Maana yake nini? Webabu Ritz Adiosamigo gTurn adriz huyu Sheikh avuliwe usheikh wake au apongezwe. Maan anaanza kujisahau na kuonesha rangi yake halisi.
  5. Mributz

    JamiiForums Tanzania Freezer hii hapa bei kiduchu

    Freezer lita 280 800k Dsm 0718909429
  6. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kilichonitokea baada ya kusoma thread hii.

    Habari za asubuhi wana jukwaa. Wiki hii katika pita pita zangu humu JF nilikutana na uzi wa @Tuliowahi kuvamiwa na majambazi tukutane hapa sasa mimi na kiherehere changu nikafungua nikaanza kusoma comments za wadau😄 Sasa jana usiku nimelala nikaota tumepanda gari, tukavamiwa na wezi njiani...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu umenishinda, naelekea Zenji leo hii 23/05/2025.

    Hakika uvumilivu umenishinda, siwezi kusubiria hadi j.pili, siwezi kuangalia kwenye luniga, leo hii naondoka na boti kuelekea zenji kwenda kuhakikisha Timu bora Africa Simba Sport Club inashinda na kuchukua kikombe. Naomba wazenji wanitafutie mahali pa kufikia. UBAYAAAAA.......UBWELAAAAA.
  8. KIXI

    JamiiForums Tanzania Tazama hii video: Mtoto anampiga mama kisa analazimishwa kusoma — Maoni yenu ni yapi?"

    Huyu mtoto angekunjwa hapo na mama yake watetezi wangeingilia kati kuwa mama anatesa mtoto Enzi zetu unapigwa na mwiko unakuvunjikia unataka kukimbia unakoswa koswa na sahani ya udongo na akikushika anapiga hata mbanio wa sufuria ya ugali unashika adabu chapu
  9. Trainee

    JamiiForums Tanzania Wale mabingwa wa kutukana waislamu na uislamu naomba mkuje pande hii mnisaidie jambo hili

    Kuna watu humu wanawatusi sana waislamu na uislamu wao. Wanawashutumu mambo mazito mazito. Sasa mimi naomba tufanye hivi... Madrasa tunazijua vizuri mitaani na wengine tunazifikia mpaka kuweza kujua hata mafundisho yatolewayo humo. Misikiti kadhalika ni hivyo hivyo Naomba hao watu, kwa moyo...
  10. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Simba asipochukua kombe la CAF Jumapili hii baada ya mchezo nitawatumia watu 10 milioni 1 kila mmoja wa hapa JF

    Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii. Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
  11. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Mwangi amepigwa na kuteswa na mamlaka za Tanzania na kutelekezwa Ukunda, familia yake yathibitisha

    Taarifa imetolewa na Citizen tv hivi punde Ahsanteni sana === Waufukweni said: Mwanaharakati maarufu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ambaye alikuwa akishikiliwa nchini Tanzania, ameripotiwa kusafirishwa kwa njia ya barabara na kutelekezwa katika mji wa Ukunda, uliopo pwani ya Kenya. Taarifa...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Nani huwa inamkuta hii?

    Kuna mda ukikaa unajikuta kama umepoteza mwelekeo,, unapoteza interest ya vitu alafu unajikuta huelewi maisha ako yanaendaje 😞
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ilikuwa na lengo la kututusi Wanayanga. Ikemewe inatulaanisha

    Kuwa Yanga ilikuwa imeanzishwa kama team ya watu wasio na Elimu. Hii ni kama kauli ya kutupa laana. Mimi nina Elimu nipo Yanga. Ni Daktari nipo Wizara Nyeti nazunguka Duniani. Ninaipenda Yanga na nina akili huwa wakikosea nawakosoa. Sasa msituchukulie sisi wote ni kama yule fala aliyetutukana...
  14. M

    JamiiForums Tanzania agano la kale ndio lina sheria ya fungu la kumi leo hii makanisa yanalidai, ila pia limekataza kitimoto,bikira tu ndie aolewe, why makanisa hayafati?

    habari wadau. naombeni mnijibu kwa nini leo hii wachungaji kanisani wanafata mistari ya biblia ya agano la kale kukusanya sadaka za fungu la kumi kwa waumini wao, na wanasisitiza ni sheria ya Mungu usipotoa ujue unamuibia mungu. ila sheria zingine za agano la kale wachungaji na makanisa...
  15. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Je , hii ni indirect Insult kutoka kwa wakenya dhidi ya democracy ya Tanzania?

    Ukimsikiliza vema mtaalam hapo chini, utagundua anasema Kenya is far better kwenye Democracy kuliko Tanzania ambayo ipo kwenye dictatorship. Ki international Diplomacy ….hii haijakaa sawa…. He is literally insulting and questioning democracy ya Serikali ya Tanzania. Kama Taifa, kuna mahali...
  16. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Waarabu kumshindwa Israel katika hii ramani ni jambo la kushangaza

    Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani. Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana. Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa...
  17. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Hili ndio kaburi la ajabu zaidi

    "KABURI LA AJABU" Kuna kaburi moja linavuma sana... Halionekani kwa macho, halina jiwe wala msalaba. Halipo makaburini, bali linatembea kati yetu. Ni kaburi linalobeba ndoto zilizokufa, vipaji vilivyonyamazishwa, mapenzi yaliyovunjika, na watu waliokata tamaa wakiwa hai. Hili ndilo kaburi...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Lazima fainali kieleweke

    Habarini Za MDA huu ,kutokana na taarifa kwamba mechi ya makolo imehamishwa kwenda Uwanja WA New Amaan Complex,hivo kupelekea baadhi ya mipango Yao kufeli ... Wameamua kuja na mpango Mbadala wakuhakikisha kuwa lazima fainali hii kieleweke.. Mbuzi hao wanasafirishwa hao mpaka Zanzibar Uzi tayari
  19. fact only

    JamiiForums Tanzania NDOA (Kwa Sasa yani generation hii believe me bikra sio ndoa na ndoa sio bikra)

    Habari wana JF. Nilipata mwanamke Bikra na nipo nae mpaka Sasa lakini nimeshapata red flag kutoka kwake so nimeona nilete thread hapa "Ndoa sio Bikra na Bikra sio ndoa", Kwa lifestyle la sasa au generation hii wakuu hata mwanamke bikra ni mjanja mjanja vilevile, ingawa yeye nyeti zake zinakuwa...
  20. Lamborgini

    JamiiForums Tanzania [b]beginer traders join hii community discord server.

    Fx
Back
Top Bottom