hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna taarifa zinasambaa kuhusu kundi hili katia picha hii kwamba wakikutana na kuanzisha chama basi kitakuwa babkubwa

  2. JamiiForums Tanzania Hii mikoa ikipiga kura za visasi dhidi ya CCM ya Samia haipati hata asilia 25

    Tanga, kauli ya kifo ni kifo bado inawauma sana. Katavi, imetupwa kushoto kuliko hata Kizimkazi yenye watu 20000 Mwanza, tukio la machi 17 2021 bado linawauma sana. Maana bado hawaamini kama ni mkono wa Mungu Geita, waemkaa kimya ila wanasema walishatengwa kabisa baada ya machi 17 2021...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kijana anaomba ushauri kwenye hii changamoto yake

    Habari wana JFs, Nina rafiki angu wa miaka mingi ambae tumekua karibu kama ndugu ameniomba ushauri kama mtu wake wa karibu, lakini nimepata mtihani kidogo katika kumpa majibu kutokana na uzito wa jambo lake. Nilimshauri kulileta humu kwa kutotaja majina yake ilimradi tu aone ushauri na busara...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Thank you RORYA 🙏Wajumbe ♥️

    Hizi ndio Nyakati tulizokua tunasubiri kwa Muda mrefu SIASA za UKANDA,Basii.
  5. JamiiForums Tanzania Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima ameandika barua kuomba msamaha kwa Rais na Watanzania

  7. JamiiForums Tanzania Makonda pole sana hakika hii ndo Arusha haina utofauti na Kigamboni!.

    Pole Sana Mkonda , hakika hawa ndo wajumbe .
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Njombe: Wanafunzi tena waliovaa sare wanatafuta nini Ofisi za CCM – Wilaya ya Wanging'ombe Jumapili hii?

    Leo tarehe 3 Agosti 2025 nimepita kwenye Ofisi za CCM Wanging'ombe hapa Mkoani Njombe, nimekuta baadhi ya Wanafunzi wakiwa nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wanging'ombe. Sijajua nini hasa ambacho kinaendelea lakini imenishangaza kidogo kuona Wanafunzi wakiwa nje ofisi hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa uovu wanaoufanya Magaidi wa Hamas na Islamic Jihad hawapaswi kupewa nafasi ya kuishi katika duniani hii!!!!

    VIDEO ya kuhuzunisha ya sekunde 40 inayomuonyesha mateka wa Israel Evyatar David, akionekana kuwa na mifupa na dhaifu ndani ya handaki akilazimishwa kuchimba kaburi lake mwenyewe. Video hii ilitolewa kwa idhini ya familia yake, baada ya Hamas kuchapisha kanda hiyo bila ridhaa yao. Familia...
  10. JamiiForums Tanzania Huwa mnadili vipi na ndugu wa aina hii?

    Za jumapili wakuu moja kwa moja kwenye mada, hivi huwa mnadili vipi na ndugu wa namna hii yeye akikutafuta ni kukuomba hela tu,, na hakuna chochote anachokusaidia kwenye maisha yako. Ni dada yangu mtoto wa mama angu mkubwa, kuna kipindi waliuza eneo lao kama milioni 30 hivi, wakapewa mamilioni...
  11. JamiiForums Tanzania NYUMBA YA NDOTO YAKO UNAIPATA HAPA ,ANGALIA DESIGN AND BUILD YA HII MANSION KALI YA 5BEDROOMS WITH CINEMA ROOM

    TUNAFANYA KAZI NZURI FROM DESIGN TO UJENZI TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  12. JamiiForums Tanzania Kama kuna muuzaji wa miche humu naomba anisaidie bei za miche hii ya miti

    1: waburgia ugandesis 2: cordia africana 3: Waburgia ugandesis 4: vepris lanceolata 5: indian almond (Terminalia catappa)
  13. JamiiForums Tanzania Namshauri Bilionea Patrice Motsepe Rais wa Heshima wa CAF afute michuano hii ya CHAN

    Michuano Gani ambayo Haina shamrashamra, michuano inafanyika kwenye nchi ambayo watu hawana muda, marketing iliyofanyika ni ya kiwango Cha chini sana, Yan mtu anaetoka ulaya akija hawez kujua kabisa kwamba Kuna michuano ya mpira wa miguu inafanyika nchini, Naona kabisa bilionea Motsepe ataifuta...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ghorofa simple haiwezi kukushinda kama una ndoto za kumiliki ghorofa, angalia picha hizi

    GOROFA SIMPLE 4BEDROOMS FIT ON 20X20M PLOT VISIT OUR OFFICE SINZA DAR ES SALAAM INSTAGRAM mkuzibuilders CALL/WHATSAP +255624004650
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Nape anatuhumiwa kuendesha vikundi vya uhalifu kwa wapinzani wake uchaguzi kura za maoni jimbo la Mtama

  16. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari aliyepiga picha hii Kenya anatafutwa na serikali ya Uganda

    Kosa ni kutumia picha ya raisi bila kuihariri na kuiongezea mivuto.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Cosmic Singularity: Je, hii ni hoja inayojitosheleza kueleza ulimwengu ulivyoumbwa?

    Naomba wale wenye uelewa tujadili. When time (t) was t=0, and space and matter were not existing, hiyo singularity point ilitokea wapi mpaka kuleta Big Bang iliyoumba ulimwengu? Is it just a mathematical way of explaining things that have baffled human minds? Will our minds ever grasp the...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa Kariakoo, wapi naweza pata VR Box? Maana naona imeanza kuwa maarufu

    Hii kifaa inaitwa VR BOX, Nimeitafuta kwa mda mrefu sasa bila mafanikio. Leo nipo darasalama tena nipo mjini kabisa. Mwenye dukani kwake anauza anipe taarifa.
  19. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wadau

    Kuna mtu aliniomba 1M May, nikamwambia ntaangalia uwezekano ila akiona kimya ajue imefeli. Leo August kanitumia ujumbe unasema, "NILIKUOMBA PESA ILA UMEKAA KIMYA INA MAANA HAINA UMUHIMU KWAKO". Shida sio kusema nimekaa kimya. Shida ni hapa kwenye umuhimu yaani we ukiwa na shida ukanikopa pesa...
  20. JamiiForums Tanzania Dah! Mzee Tom Cruise (63) anapiga hii mashine nimeumia sana

    Wakali wa movies Sina haja ya kumuongelea Tom Cruise ni nani wengi wenu mtakua mnamfahamu Ila nimeumia sana sana kama vile ndio mke wangu huyu, anapiga hii mashine nadhan mnamfaham huyu dada kwenye movies, hata movie mpya ya Ballerina, anaetamanisha kwa kumuangalia tu, ananitoa udenda...ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…