hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

    Kwema ndugu zangu watanganyika? Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa, nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka, akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa ratiba hii, CHADEMA wako sahihi kutokushiriki

    Tuwekeni ushabiki kando, kinachotangazwa na kupigiwa upatu kama kikao Cha wadau wa siasa hakina Ajenda ya majadiliano hata Moja. Yaani mnafika, wanakaribishana Hadi saa Tano, Chief Hang'her anaongea kama mgeni rasmi. Saa sita wanapiga picha, "kikao" kimeisha picha zimepigwa. Imetoka hio. Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu Nawezaje Kuikuza Hii Movie ionekane Screen nzima?

    Heshima kwenu wakuu. Naomba mnielekeze jinsi gani naweza kuikuza hii movie ijae/ienee/ionekane kwenye screen nzima...? Naombeni msaada wenu wakuu. Shukran.
  4. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli, CCM ingewezaje kuwepo madarakani mpaka leo hii bila uhuni na wahuni wake?

    Kwa sasa kumekuwa na vita kali ya maneno, dhihaka, majigambo, vitisho na kebehi mbalimbali baina ya makundi mawili ndani ya CCM, kundi moja likiunga mkono utawala uliopita wa Magufuli (huku likikosoa vikali utawala wa sasa wa Samia) dhidi ya kundi linalounga mkono utawala wa sasa wa Samia (huku...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnaobambikiwa watoto na kuwakubali wakizaliwa kwakuwa tu wamefanana nanyi hizi ndizo mbinu kuu za wanawake wenu

    Mwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya. 1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha. 2. Atakulazimisha muende...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama kauli hii kaisema Mzee Bulembo, naomba wana CCM watunukiwe tuzo ya unafiki uliotukuka

    "Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi, Hii TV ni Aina Gani Wakuu...?

  8. JamiiForums Tanzania Polepole: Hii sio awamu ya Sita bali ni ya Tano kipindi cha pili, aliyeondoka ni Magufuli peke yake

    Wakuu, Mbunge wa kuteuliwa na mtunga Sheria Humphrey Polepole, anadai hii awamu ya rais Samia sio awamu ya sita. Rais Samia alisema yeye ndiye rais ya awamu ya Sita. Kwamba ni awamu ya sita kipindi cha kwanza. "Hii serikali sio mpya,haikupigiwa kura, huwezi ukaita awamu ya sita, awamu lazima...
  9. JamiiForums Tanzania Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

    Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Serikali kuachia gesi kupanda bei namna hii maana yake imeruhusu miti ikatwe maporini mpaka ichakae.

    Juzi tarehe 9 december uhuru day nimetoka nyumbani kwa uhuru na mtungi wangu wa gesi kwenda dukani kubadilisha au kujaza sijui wanavoita wenyewe nimepokewa na mdada ambaye siku zote namkuta hapo baada ya salamu akaniambia kuwa "gesi imepanda'. 'Leo nakuuzia kwa bei ya zamani ukija next time...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ni mind game kesho mtu anakufa Kama kasimama

    Yanga ni zaidi ya mbumbu watu walishajua kuwa nyie mnapenda skendo za nje ya uwanja ndio maana Simba wameamua kuwachezea mind game ili Yanga mconcetrate na ya Simba kususia mechi msahau maandalizi
  13. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata bidhaa hii?

    Habarini wakuu kwa yoyote mzoefu wa kariakoo anasidie wapi naweza pata bidhaa hii. Hupatikana katika maduka ya kiharabu msaada wadau.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya, kusherekea uhuru hakuna maana na bora siku hii iwe siku ya kazi tu kama siku zingine

    By Martin Maranja Masese kupitia twitter: Leo pia chakula kutoka kwa familia ya Freeman Mbowe kimekataliwa gereza la Ukonga. sababu zilizotolewa ni kwamba huo ndio utaratibu mpya na maelekezo yapo hivyo hadi hapo watakapotoa utaratibu mwingine. Kumbuka leo ni maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

    Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Dunia hii inagawanywa katika makundi mawili

    Dunia hii inagawanywa katika makundi mawili, na jina la “utawala wa kiimla” zinatwikwa nchi zinazothubutu kusema “lahasha”. Kwa mujibu wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa uliosainiwa mwaka 1945, kuwa na mfumo fulani wa utawala ni suala la mamlaka ya kila nchi, ambalo linaamuliwa na watu wake...
  17. JamiiForums Tanzania Ombi langu kwako mwana JamiiForums mwenzangu kwa siku hii ya leo

    Hesabu 6:24-26 SRUV BWANA akubariki, na kukulinda; BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili; BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani. Amen.
  18. JamiiForums Tanzania Hii ni namba ya nchi gani?

    Eti waku hii namba ya nchi gani naogopa kuipokea
  19. JamiiForums Tanzania Wale wazee wa tuma kwenye hii namba wamerudi tena

    Halotel ndio uchochoro wao
  20. JamiiForums Tanzania Kwa hii CCM inayopasuka na sisi tunavyojipanga kidigitali 2025 tukishiriki uchaguzi tunaweza kukamata dola

    Tunashuhudia Chama chetu kikisonga kidijitali na kusajili maelfu kwa mamilioni ya wanachama. Tunashuhudia Ccm ambayo imeanza kumeguka kati ya wapinga upigaji madili na wapiga madili. Kwa hali hii ya kisiasa ni wazi kuwa 2025 kama tutashiriki uchaguzi basi tutatoka na ushindi mkubwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…