Wapi naweza kupata bidhaa hii?

Alex korosso

Senior Member
Jun 10, 2017
126
214
Habarini wakuu kwa yoyote mzoefu wa kariakoo anasidie wapi naweza pata bidhaa hii.

Hupatikana katika maduka ya kiharabu msaada wadau.


IMG_2682.jpg
 
Kariakoo stend ya msimbaz..upande mmoja kituo cha polis..achana nao..upande wa pili kuna migahawa kibao na maduka ya dawa za asili, nenda mtaa huo utaupata udi huo
 
Back
Top Bottom