Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,871 Reaction score 6,475 Jan 18, 2022 #1 Mkuu ,Kiranga nmekutana na hii mitandaoni huko Nikaona nikupenyezee hapaa Hawa vijana wana matani sana na nyie😅
Mkuu ,Kiranga nmekutana na hii mitandaoni huko Nikaona nikupenyezee hapaa Hawa vijana wana matani sana na nyie😅
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 87,472 Reaction score 151,564 Jan 18, 2022 #2 Ni haki yao ya kikatiba kutumia uhuru wa kujieleza. Next time niite kwa mambo ya msingi.
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 14,226 Reaction score 30,461 Jan 18, 2022 #3 Mtu mzima kutishwa na ndoto/story za kusadikika za uchawi ni dalili za kutokomaa kiakili.
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,545 Reaction score 49,419 Jan 18, 2022 #4 Athiest hawezi kuota ndoto hizi
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 61,127 Reaction score 124,689 Jan 18, 2022 #5 Unawatafuta
GangMkush Senior Member Joined Nov 15, 2021 Posts 162 Reaction score 278 Jan 18, 2022 #6 Mnakuwa mnayaanza wenyewe, tukiwahoji badala ya kutujibu mnakuwa mnatutukana na vitisho vya blasphermy
Mnakuwa mnayaanza wenyewe, tukiwahoji badala ya kutujibu mnakuwa mnatutukana na vitisho vya blasphermy