hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Stephen Wassira wewe siyo wa kumsema/ kumbagaza Kikwete namna hii. Umesahau Fadhila?

    Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto? Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?
  2. JamiiForums Tanzania Imeandikwa muishi nao kwa akili, akili ya kwanza hii hapa jinsi ya kuishi na wanawake

    Habari wakuu Mwanamke kama namtongoza akiniuliza una mpenzi au mke ?? Nitamjibu kwa kujiamini kabisa ndio nina mke. Watu wengi wanadhani wakisema wanamke basi watakataliwa. Lakini majibu ni kinyume chake Hebu tutumie mfano wa duka lenye wateja wengi na lisilo na wateja, Duka lenye wateja...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoto hii ina maanisha nini?

    Habari wakuu poleni na Majukumu ya kutafuta ugali ,japo ni mgumu naamini sote tutaupata. Wakuu kuna hii ndoto imenishtua sana leo naomba wale wenye utaalamu wa ndoto hii wanielezee iko hivi. Nimeota nipo shule ya bweni sasa siku hiyo ilikua ni siku ya kufunga shule majira ya mchana hivi mimi...
  4. JamiiForums Tanzania Sikujua kama Urusi Ina nguvu namna hii.

    Marekani peke yake,ama NATO ama Marekani na washirika wake,kwa nyakati tofauti wamekuwa wakipeleka majeshi kwenda kufanya kile wanachokiita kuisaidia kuziokoa nchi zilizo ama vamiwa ama kuongozwa na watu wao waliowaita madikteta. Kwa mara ya kwanza toka nimeijua Marekani na hata NATO.naposema...
  5. JamiiForums Tanzania Wenye nyumba kupandisha kodi je hii nayo inaenda na kupanda bei za mafuta?

    Kuna changamoto kwa sasa tunapitia watu kupandisha bei ya vitu kwa taarifa kuwa mafuta yamepanda bei sababu ikiwa vita vya Ukraine, sawa tunakubali ila kuna kama wengine wanafata mkumbo tu, maana jana mwenye nyumba wetu katuambia kodi mwezi ujao itapanda sababu ikiwa gharama za maisha kupanda...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

    Vibanda vya wafanyabiashara wadogo 'Machinga' na mama lishe zaidi ya 30 vimeteketea kwa moto katika Soko la Karume Jijini Dar es Salaam, asubuhi ya leo Aprili 8, 2022. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ACP), Muliro Jumanne Muliro amekiri kutokea kwa moto huo na kusema chanzo cha...
  7. N

    JamiiForums Tanzania "Mchambuzi" huyu wa Clouds fm alimaanisha nini na akafuta hii tweet chonganishi?

    kwa kweli nchii hii ina safari ndefu embu jionee maarifa na uwezo "mkubwa" wa wachambuzi wa kibongo a.k.a ma genius, huyu bwashee kajiandikia ka tweet chake halafu kafuta.
  8. JamiiForums Tanzania Kigamboni: Moshi mkubwa watanda winguni na kuleta taharuki

    Kuna moshi mkubwa Kigamboni na inasemekana ni reserve ya mafuta inaungua. Inatengenezwa scarcity? ===
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii aliyoota mke wangu

    Mke wangu kaoota nyoka anamzuia kila akijaribu kupita njiani. Kila akijaribu kutafuta upenyo nyoka anaziba njia
  10. JamiiForums Tanzania Je, Marais wengine wa Afrika Wana aina hii ya 'Uzalendo' aliyonayo Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema?

    Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani. Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii. Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi. "Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
  12. JamiiForums Tanzania Hii movie inatwaje?

    Habari wakuu naomba msaada kwa anayeijua hii movie jina lake
  13. JamiiForums Tanzania Hii ni Experience yangu niliyoipata kwa Mwanamke Mwembamba

    Huyu mwanamke ndo wa kwanza kabisa mimi ku sex naye akiwa ni mwembamba. Binafis nimekuwa nikipenda wasichana wanene, wenye hips, huo ndo ugonjwa wangu sana, yaani nikiona wa hivyo nachanganyikiwa kabisa. Basi nikasema anyway ngoja nijaribu na upande wa pili hasa kwa kuwa huyu dada alikuwa...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya itasoma bajeti yake mapema kwa sababu ya uchaguzi. Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi, Aprili 7, 2022

    Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi wiki hii. Bajeti yenyewe itakuwa ya ksh 3.3 trillion ambayo ni zaidi ya mara dufu ya bajeti ya Tanzania. ======= Budget reading Thursday as MPs end revenue share row These measures will be contained in the Finance Bill, which must be tabled in...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Biden ajichanganya, amtaja Michelle Obama kama aliyekuwa "Vice President"

    Hizi ni zama za mitambo tu, hatuchekani kabisa hapo, Duh!
  16. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya kufunga Mkanda karne hii

  17. K

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA safari hii kwenda na nani kwenye uchaguzi wa Kenya?

    Nakumbuka kipindi kile walimtosa mpinzani mwenzao Raila na kumuunga mkono Uhuru Kenyatta tena nakumbuka mzee Lowassa alifunga safari mpaka Kenya kwenda kuwashawishi wamasai wamuunge mkono Uhuru Kenyatta. Sasa mwaka huu Raila anaungwa mkono na Uhuru Kenyatta. Je,CHADEMA watalazimika kumuunga...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa MQL anifundishe kutengeneza system hii

    Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) kwa kutumia MQL script language hata kwa malipo Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically, ukishaitengeneza na kuweke vigezo vyako vya ku trade, unaijaribisha...
  19. JamiiForums Tanzania Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Ya kina Hapi, Sabaya, Makonda na verse hii ya DMX (r.i.p)!

    Katika wimbo wake wa 'what's my name' kuna sehemu mgumu huyu (dmx) anasema; "Look at all these off‐brand niģgaz runnin' around yappin' about they be holding figures as big as jigga's"! Halafu kuna sauti inasindikiza hiyo verse inasema, "that's the bullshit"! Nimejikuta tu nakumbuka siku chache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…