Browser nyingine siyo safe kabisa angalia hii

Heavy User

JF-Expert Member
Feb 2, 2020
954
1,732
leo nimeingia Play Store kuitafuta UC browser kwasababu inasevu data sana, cha ajabu sijaiona. nafikiri imeondolewa Play Store.

Nikiwa Play Store nascroll down, nikakutana na browser ngeni yenye logo kama ya UC browser, hiyo browser inaitwa Broswer Go, inavyofanana na UC broswer moja kwa moja nikajua hawa ni UC browser wamekuja kivingine baada ya kuondolewa Play Store.

Hii browser ngeni imenishtua juu ya usalama wa data zangu. ni halali kabisa UC browser ilivyoondolewa Play Store.

Hebu angalia meseji ya ukaribisho ya Browser go pindi unapoi-install.

Browser Go.jpg
 
kwanza pole
pili kama upo kwenye kundi la maisha ya kawaida husimamii taasisi yeyote
haina haja ya kulinda hizo datta zako maaana sio mhimu hivyo hazina kudukuliwa
kudukua taaria ni za mtu ni jambo gumu kiasi sio kila mtu anaweza fanya
lakini kukiwa na umhimu wa taarifa zako kudukuliwa ni rahisi sana pia maan kuna watu maalimu kwaajili ya hio kazi kwa hivyo huna haja sana ya kuficha tficha na kua na uoga yaan utadukuliwa tu easy
 
Back
Top Bottom