hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. 4

    JamiiForums Tanzania Mungu anaonya serikali hii , kwa vita hii mmeanzisha kamata watu ,hamtashinda

    Wakuu nawasalim katika yule alie juu ya kila kitu kila mmoja kwa imani yake .Niende kwenye mada moja kwa moja Serikali ya ccm, Naona mmeanza kutangaza vita na wananchi kwa kisingizio cha uhain, kisa watu kukataa MKATABA MBOVU WA BANDARI , mbaya sasa nao vyombo vya dola wanaendelea kutekeza...
  2. JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii?

    Nimeota nipo sehemu nisioijua ni kama mji hivi, umechangamka kiasi nikajikuta na mtu nisiemjua, tukaenda kwenye mwembe uliokua umemwaga maembe mengi lakini hayana muokotaji. Basi tukaanza kuyaokota lakini mengi yalikua mabichi nikasema niokote mabichi ndio makubwa na la kuiva lilikua dogo...
  3. JamiiForums Tanzania Simba SC kufungwa mara tatu mfululizo na Yanga hii itakuwa ni fedhea

    Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo? Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia. Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.
  4. JamiiForums Tanzania Kwa tulipofikia mikutano ya siasa kwa nchi yetu haina tija zaidi ya kucharuana tu! Pigeni marufuku hii mikutano uchwara!

    Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa! Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Mo ina maana gani?

    Rais wa heshima wa Simba Mohammed 'Mo' Dewji, amewaambia wanasimba wote: "Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji' Nimejiuliza hii kauli ina maana gani? Kwa nini itoke sasa? Kama ni kutoa pesa kwa nini atoke hadharani...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Rorya hii si sawa

    Hiki anachofanya DC wa Rorya, Mh. mchopanga je ni sahihi?
  7. JamiiForums Tanzania Hii movie: The Channel, 2023

    Kuna hii movie ya 2023, inaitwa The Channel. Ni simple tu, kwamba mshikaji (ex marine) anaenda na wenzie kama wanne hivi (nao ni ex marine) akiwemo kaka yake mmoja kupora bank. Mission ilikua simple, in and out ndani ya dakika chache. Ila kuna mtu aliwauza, wanatoka wanakuta polisi...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenye kuuza hii aina ya brush au anaefahamu mahali zinapoweza patikana, anifahamishe tafadhali

  9. JamiiForums Tanzania FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada kutambua aina hii ya puppy

    Wasalam, Kwa baadhi yetu ambao pets hasa mbwa na paka ni sehemu ya maisha yetu na tuna mapenzi na wanyama hawa lakini pia tuna ufahamu wa aina mbalimbali za wanyama hawa. Naomba kusaidiwa aina ya mbwa huyu (puppy). Nilikuwa na shepherd mdogo lakini wajanja wakapita nae 😅, hivyo sikutaka kujipa...
  11. JamiiForums Tanzania TCRA naomba mchunguze namba hii inanisumbua

    Kuanzia jana napata message kutoka namba 0738264152 inaniambia naomba unitumie hiyo hela kwenye namba hii ya Airtel 0695662564 jina AGNES ALKADO nakusubilia kwa wakala. Naomba fuatilieni tukomeshe usumbufu huu
  12. JamiiForums Tanzania Hii collabo kati ya mtu mzima Jigga (Jay-Z) na Slim Shady (Eminem) Renegade nani aliua (verses kali)?

    Mataita, kwa wale wote ambao tayari wameupa sikio mkwaju huu wa "Renegade" kati ya mzee mzima Jigga akimshirikisha Slim Shady ni mchizi gani alipiga verses kali humu. Mpaka sasa mzani wangu bado upo 50/50 verses za machizi wote nazielewa kiaina. Sijui kwa nini hawa mataita huu mkwaju hawa...
  13. JamiiForums Tanzania Kuamini ukiachana na mpenzi wako atafikwa na baya ni ujinga!

    Ati ukiachana na mpenzi wako basi litampata baya huko aendako na hata kama likimpata baya usifikiri limempata kwasababu aliachana nawewe! Huo ni upuuzi tu ambao ni kama failure ya ubongo. Your not the one who made every heart beat for anyone, so stop that foolish idea. Wacha kufikiri kuna kitu...
  14. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, hii kodi ya 30% tunayokatwa kwenye gratuity wewe ndiye uliyeipitisha?

    Mheshimiwa Dr. Mwigulu sisi wafanyakazi wa Shule ya sekondari St Margaret Maria Alakok hapa Igunga mkoa wa Tabora kila tumalizapo mikataba yetu tunapaswa kulipwa gratuity ambayo ni asilimia 10% ya mshahara kwa kila mwezi kwa kipindi chote cha mkataba wako, sasa cha ajabu ni kwamba hiyo pesa kwa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Hebu tuijadili hii tabia ya kunyolewa ndevu na mwanaume mwenzio!

    Nimezaliwa kijijini ambako maadili ya 'kiuanaume' yanalindwa sana. Moja kati ya meeengi ya kiuanaume ni kwamba ndevu unanyolewa na mkeo tu au mpenzi wako. Kwa maneno mengine ni kwamba unyoaji wa ndevu ni kazi ya wanawake. Sasa siku hizi imekuwa kawaida kumkuta dume ananyolewa ndevu na mwanaume...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? 🤔

    Za usiku. Nimepatwa na sintofahamu ya kuombwa namba na demu fulani hivi Na huyo demu mwenyewe ni member kajiunga mwaka huu? Personally nadhani huyu ni mtu fulani hivi itakuwa ananijua na hata id zangu zote itakuwa anazifahamu. Wakuu nimeingiwa na hofu namba zangu zisije zikawa kwenye mikono...
  17. JamiiForums Tanzania Hii hapa orodha ya wanahiphop bora wa muda wote Tanzania

    Wakuu pamoja na kupenda siasa za CCM ila pia mimi ni mnazi mkubwa wa muziki wa Hiphop. Tangu utotoni nimekua nikipenda Hiphop. Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za GWM, Mr II, Dollar Soul, JCB & Watengwa, Nako2Nako, Juakali, hadi hawa waliopo kwenye chati kina PMawenge. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda...
  18. JamiiForums Tanzania Wenye Hotels na Lodges hasa mikoa hii. Mablanket yenu huwa mnafua kweli?

    Arusha, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Njombe na Rukwa. Haya mablanket yenu huwa mnafua kila mara kweli? Kuwa kila anapoondoka mteja mnabadilisha mnaweka jingine? Au tunaendelea kulalia na sisi wengine tukija? Mimi sioni dalili ya kuwa haya yanabadilishwa. Nikiangalia hivi sioni kabisa hizo dalili...
  19. JamiiForums Tanzania Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

    Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari. Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning. Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana ipi

    Wakuu habari Kuna binti mmoja nilikuwa na mfukuzia mwezi wa nne sasa, ni mdada anafanya kazi bandarini Field ya shipping. Lakini Jana nimeongea nae kwa Simu kwa mara nyingine Nikamwambia namuhitaji I need to build relationships then marriage soon as possible lakini jibu alilonipa leo asubuhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…