hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii Serikali imeteletekeza vijana waliokwenda shule

    Ni jambo la kushangaza sana kuona serikali haifanyi jitihada zozote kuokoa jahazi la graduates wengi walioko mitaani bila kuwa na kazi yoyote rasmi. Serikali inatumia gharama kubwa sana kuwasomesha hawa vijana ili wapate degree mbalimbali katika nyanja tofauti, baada ya hapo hatuoni jitihada za...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ni NBC Amateur League

    Habari wana-JF. Mimi ni mpenzi mkubwa na mfuatiliaji wa soka ila ligi ya Tanzania ilinishinda kwa namna inavyoendeshwa kishkaji. No professionalism kama wanavyojinadi kwa kusaini mikataba kwa mbwembwe. Ligi ya bongo sifuatilii maana sina hata timu ila leo nineona habari kuwa NBC wameongeza...
  3. JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa fedha za kigeni

    Jamani hii ishu ya dollar kutonunulika na wananchi popote kwenye taasisi zenye fedha imekaaje? Wapi tunaweza nunua?
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu device hii kwenye Toyota Raum

    Naomba anayejua hiki kifaa ni Nini na kinafanya Kazi Gani? Kiko kwenye Raum katikati ya siti ya dereva na abiria. Ukiwasha gari kinawaka.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Unaambiwa Klabu ambazo ni kubwa na bingwa tena katika Ligi zinafuatiliwa zaidi Duniani

    Unaambiwa Klabu ambazo ni kubwa na bingwa tena katika Ligi zinafuatiliwa zaidi Duniani zote zimepoteza mechi za ufunguzi wa msimu dhidi ya Klabu ndogo. PSG imepoteza dhidi ya As Monaco(Monaco ndogo kwa PSG)✓ Bayern Munich akafa dhidi ya RB Leipzig tena kwa bao 3-0(RB Leipzig ni ndogo kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna muda waandishi wa habari hii mikong'oto inawastahili kabisa

    Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, ilirushwa taarifa ya wakazi wa Ngorongoro kuandamana 'kupinga wanao washawishi wasihame' katika maeneo yao kwenda huko Tanga waliko andaliwa makazi mapya. Habari imewekwa wekwa ionekane kana kwamba wanahitaji sana kuhama kule, ila kuna watu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Onyo: Kama una Moyo mwepesi usiifungue hii picha.

  8. Y

    JamiiForums Tanzania Vinyozi acheni hii tabia

    Unaenda kunyoa halafu kinyozi anakugusisha dudu lake ili iweje. Kila ukitoa mkono anaufuata. Mimi binafsi sipendezewi na hili
  9. JamiiForums Tanzania Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

    Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali. Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo. Hakuna mwanamke...
  10. JamiiForums Tanzania Hii haikubaliki Mkude kachangia pakubwa sana Yanga sc kupoteza kwa penalty jana

    Maelekezo aliyowapa wenzie yameigharimu timu, alafu kibaya zaidi baada ya Yanga kupoteza amekutwa chooni akicheka kwa furaha.
  11. JamiiForums Tanzania Nimesoma nimerudia kusoma na kusoma ila nimeshindwa kuielewa hii habari ya US Dola na mafuta

    Dola 747 milioni zahitajika ununuzi wa mafuta Dar es Salaam. Mjadala wa kunusuru mkwamo wa waagizaji wa mafuta huenda ukafikia ukomo endapo Serikali itawezesha upatikanaji wa Dola 747 milioni (Sh1.9 trilioni) kwa ajili ya kufuta malipo ya bidhaa za petroli zilizoingizwa nchini kati ya Machi na...
  12. JamiiForums Tanzania Nimepitia mengi toka 2013 kwa kufupisha fupisha story hii mpaka 2023

    Mwaka 2013 nilipata kazi kwenye kampuni moja katika branch yake Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu, sasa basi maisha yalianza kwa kufanya kazi kwa sababu sikua najua chochote ilibidi nijifunze kupitia kwa yule niliyemkuta ndio alinipa uzoefu sababu yeye alikuwa kanitangulia na anajua vingi kuhusu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kama ni kweli tutegemee zaidi kupanda kwa diesel na petroli

  14. S

    JamiiForums Tanzania Hii issue ya Daladala na Bajaji Arusha serikali ya mkoa imeshindwa

    Tulishuhudia mgomo wa daladala za kutoka Morombo kwenda mjini Arusha, wakaahidiwa kulishughulikia. Wakiwa ktk mchakato wa kulishughulikia bajaji wakaandamana, serikali ikawagwaya, imewaogopa maana waliitishia serikali kuwa watarudia kazi yao ya kuvunja na kuiba. Nafikiri Rais angewaondoa hao...
  15. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alisimama kidete Sheria ya Kulinda Rasilimali za Tanganyika ikatungwa. Leo hii Mkataba wa Bandari upo kinyume na sheria hii

    Kifungu cha 11 cha National wealth and reources (permanent sovreignty) kinazua makampuni yatayoingia mkataba na nchi yetu kutumia rasilimali kufungua kesi nje ya nchi kwenye mahakama za kitaifa. IGA ya mwarabu imeenda kinyume na sheria za nchi. Ila ilipitishwa na ikabarikiwa na mahakama kuu.
  16. JamiiForums Tanzania Robertinho hawezi kufika Nyerere Day kama kocha wa Simba kwa aina hii ya soka

    Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo; 1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja 2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake 3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa 4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu ndoa ya aina hii

    Wakuu habarini za jioni! Nafikiria kuanza mchakato wa kufunga ndoa na huyu mchumba wangu wa tangu vidudu Hadi Sasa, kutokana na Mambo kadhaa ambayo yapo nje ya uwezo wetu, naomba kufahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya serikali upoje? Nikiwa namaanisha process za kufunga ndoa ya kiserikali upoje...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Chukueni Siri hii

    Ipo hivi sisi binadamu ni roho, siku tulilifamu hili tutakuwa unstoppable kwenye Kila eneo la maisha yetu. Hawa kina Elon musk, Bill gates na mwenzao wengi walifahamu Siri hii wakatumia Nguvu hiyo kumanipulate Mambo mbalimbali kwenye maisha yao hadi sasa they are unstoppable.
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Mungu anaonya serikali hii , kwa vita hii mmeanzisha kamata watu ,hamtashinda

    Wakuu nawasalim katika yule alie juu ya kila kitu kila mmoja kwa imani yake .Niende kwenye mada moja kwa moja Serikali ya ccm, Naona mmeanza kutangaza vita na wananchi kwa kisingizio cha uhain, kisa watu kukataa MKATABA MBOVU WA BANDARI , mbaya sasa nao vyombo vya dola wanaendelea kutekeza...
  20. JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii?

    Nimeota nipo sehemu nisioijua ni kama mji hivi, umechangamka kiasi nikajikuta na mtu nisiemjua, tukaenda kwenye mwembe uliokua umemwaga maembe mengi lakini hayana muokotaji. Basi tukaanza kuyaokota lakini mengi yalikua mabichi nikasema niokote mabichi ndio makubwa na la kuiva lilikua dogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…