Unaambiwa Klabu ambazo ni kubwa na bingwa tena katika Ligi zinafuatiliwa zaidi Duniani

Kichuchunge

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
338
891
Unaambiwa Klabu ambazo ni kubwa na bingwa tena katika Ligi zinafuatiliwa zaidi Duniani zote zimepoteza mechi za ufunguzi wa msimu dhidi ya Klabu ndogo.

PSG imepoteza dhidi ya As Monaco(Monaco ndogo kwa PSG)✓

Bayern Munich akafa dhidi ya RB Leipzig tena kwa bao 3-0(RB Leipzig ni ndogo kwa Bayern Munich)✓

Manchester City wakapoteza dhidi ya Arsenal kwa penati.(Arsenal ni ndogo kwa Man City)✓

Yanga imepoteza dhidi ya Simba kwa penati(Vipi Simba ni ndogo kwa Yanga)?
 
ni kweli
 
Jana ali kamwe kasema kuwa malengo ya klabu mwaka huu ni kucheza hatua ya makundi CAFCL
 
Hapa ndo mtanange huwa mtamu..mtu huku Tz ni Yanga ila kule ni Arsenal..na mwingine huku ni Simba kule ni Monaco hahahahahhahahahhah
 
Back
Top Bottom