Chukueni Siri hii

Chukueni Siri hii

Ipo hivi sisi binadamu ni roho, siku tulilifamu hili tutakuwa unstoppable kwenye Kila eneo la maisha yetu.

Hawa kina Elon musk, Bill gates na mwenzao wengi walifahamu Siri hii wakatumia Nguvu hiyo kumanipulate Mambo mbalimbali kwenye maisha yao hadi sasa they are unstoppable.
Bangi sio chai.
 
Watakuelewa wachache.

Acha tupigwe matukio upande wa pili tuje tuone matokeo ndio tuanze kuhangaika kipindi wapiga tukio wakipukuta mikono.
 
Ndio, inatokea tu.
Mimi naweza weka reply tatu, halafu nikapoteza interest ya kucomment tena.

Mfano hii Comment nimeiandika kwa kujilazimisha.[emoji16][emoji16]
Pole sana aisee 😃😃😃...upumzike sasa😊🤗
 
Back
Top Bottom