hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumuhamisha kitengo kunaleta lakini wa uchunguzi wa kesi za polisi,je hii kesi imeishia hapa au uchunguzi unaendelea?

    Sitambui hii kesi ni jalida namba ngapi labda ningeweza kuikomalia ila nasisitiza kuwa kutenguliwa hiyo nyadhifa isiwe ndiyo mwisho wa kesi,kesi ya ubakaji sio kesi ndogo hata kama alobakwa ni malaya. Tunahitaji taarifa na hukumu ya kesi hii iende mahakamani.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

    1. DAR - ES - SALAAM Majiji Mengine .... 2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili 3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k. 4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina watu wenye ufahamu mdogo sana. Wasomi kwa wajinga. Nitatoa mfano mmoja au miwili tu.

    2018 kuna binti aliajiriwa kazini kwetu, ile first appointment. Binti alikuwa anakuja kazini kwa daladala na kurudi kwa daladala. Mshahara wake ulikuwa 700k ukiweka na posho ilikuwa kama 900k. Kwakuwa alikuwa kitengo chenye mianya ya pesa nyingi na ninaijua michezo michafu yote ndani ya ofisi...
  4. JamiiForums Tanzania Kutoka kuvamia hadi kuvamiwa, hii ni fedheha kubwa kwa Russia Super Power kutegemewa na Iran

    Nchi dhaifu kabisa na nchi ndogo kama Ukraine leo hii ndo ya kuivamia Russia? Nani alitegemea haya kutokea? Kwa hali hii, Irani na nchi zingine zinazoiamini Russia na kuweka matumaini kwake kwamba ataweza kuwalinda, waendelee kuamini hivyo? Kwa namna hii, Bado USA ndiye kiranja wa mataifa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna huduma za kuchangia mbegu?

    Mimi nauliza tu, Hivi Tanzania kuna sehemu Ke au Me anaweza kuchangia mbegu au yai ili kupata mtoto bila wazazi kukutan kimwili?
  6. X

    JamiiForums Tanzania Hii ni zaidi ya laana, ona kinachofanywa na huyu mama na mwanae wa kiume

    Mcheza porno za OnlyFans aitwaye Andressa Urach (36) anamtumia mwanae wa kiume aitwaye Arthur Urach (18) kurekodi video na picha za ngono kwa ajili ya kupost kwenye akaunti yake ya OnlyFans. Hiki ni kipande cha video ya interview waliofanyiwa mama na kijana wake. Ukisoma subtitle hapo chini...
  7. JamiiForums Tanzania Hii Nchi usikute ni Chanel ya vichekesho huko Mbinguni

    Kwa hisani ya ITV.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa jambo hili nipo sawa?

    Kuna jamaa tulifanya biashara ya kumuzia tovuti ya biashara. Alitanguliza nusu ya malipo, lakini alipoenda kumalizia, akaghairi na kuhitaji hela zake. Kiukweli, niliuza tovuti hiyo kwa sababu ya shida, nikamwambia sina hela hadi nitafute, na nitamrudishia bila ya kukata gharama ya usumbufu...
  9. JamiiForums Tanzania Hiki Chuo kinafundisha nini kwa hii ada

    Kumbe kuna vyuo vinazidi hata ada ya IST Tanganyika https://www.ndctz.go.tz/publications/joining-instruction
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya michezo ya kubaatisha inalijuwa majukumu yake? Usimamizi wa Serikali kwenye hii bodi ukoje?. Ama ndio mwenye kupata apate mwenye kukosa hakose

    Tume ya Kamari ni chombo cha udhibiti kinachowajibika kwa kusimamia shughuli za kamari na kuhakikisha kuwa zinafanywa kwa haki na salama. Kuhusu wachezaji, majukumu yake muhimu ni pamoja na: Kuhakikisha Haki na Uaminifu: Tume inahakikisha kwamba waendeshaji wa kamari wanakidhi viwango...
  11. JamiiForums Tanzania Wenye Mabaa sehemu mbalimbali hii Kero ina maana imewashinda au mnataka sasa Wateja wenu tutembeze Kichapo kwa hawa Watu ndiyo muelewe tumechoka nao?

    Inakera sana yaani wengine tukienda huko katika Mabaa ( tena na Mademu ) ambao tunataka Kuwatongozea huko huwa tunakuwa tayari tumeshakariri Mistari / Maneno yote kiasi kwamba tukiwa hayo maeneo huwa hatutaki disturbance na distraction yoyote kwani itafanya twende Off Point na tuliyoyakariri ili...
  12. JamiiForums Tanzania Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

    Hii hali inamsikitisha sana Putin. Ni suala ambalo he never expected kabisa. Hii vita ilipaswa kuwa operation ya siku 2 tatu ikizidi week. Sasa ni mwaka wa pili. Na hawa Ukraine wameanza kuingia ndani ya Russia. Wanasonga mbele. Nini tatizo? Putin kweli wa kusaidiwa na vinchi vidogo vidogo...
  13. JamiiForums Tanzania Swali: Serikali kushindwa kuwadhibiti wakopeshaji wa online ni ishara kuwa hii nchi wenye pesa wana nguvu kuliko serikali?

    Hello! Suala la kero za wakopeshaji wa mitandaoni limekuwa kero kubwa. Kila ukiperuzi mtandao wowote Tanzania usipotumia VPN matangazo ya mikopo yatajazana mbele yako mpaka kero. Kwa wakopaji kero wanazokutana nazo ni pamoja na kudaiwa pesa kabla ya siku ya makubaliano, kudhalilishwa, watu...
  14. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kijana wa karne hii kufuata ushauri wa "wazee" katika ndoa au mahusiano?

    Nyakati zimebadilika sana, wanawake single mothers , talaka kwa Wakristo na ndoa kwa watu wa makabila tofauti sio mwiko(taboo) tena, katika mazingira haya je kuna haja ya kuwasikiliza na kuwatilia maanani wazee walioishi karne hiyo kuhusiana na masuala ya ndoa au mahusiano?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hii inchi ni ya wote, siyo CCM

    Nipende kusema kuna kasumba inaonekana Kama kuna kundi linahaki miliki ya Inchi ya Tanzania kwa kupitia mgongo wa CCM, na kundi hili si wasafi bali ndiyo wanayoihujumu inchi yetu kuanzia rasilimali zetu mfano kuingia mikataba mibovu,wizi wa rasilima za inchi, uuzaji wa madawa ya kulevya,ukwepaji...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Yanga hii wanawaza unbeaten sio ubingwa tena

    Ubingwa 💯 Hapa tunahaha kupata un beaten za maana
  17. JamiiForums Tanzania Hii nchi utapeli upo kila mahali

  18. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje?

  19. JamiiForums Tanzania Ukimwangalia hapa Janabi. Ni kielezo cha Afya Bora ambalo Taifa linapaswa kuwa na watu wa namna hii.

    Janabi amekuwa akisisitiza sana ulaji mwema. Na "LISHE BORA" Huyu mtaalamu wa Vyakula na Lishe. Hivi ndivyo anatamani watanzania wote tuwe, tuwe na mwonekano huu wa Siha njema na Afya pia. Nawaza katika umri wake huu wa miaka 65 plus nadhani watanzania tuna mengi ya kuiga. Sijajua mkewe ana...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii video ina ukweli?

    Baada ya Rais wa zamani na mgombea urais kwa tiketi ya Republic bwana Trump kukoswa koswa na risasi kuna video nyingine nimeiona akipigwa kofi akihutubia. Nimepita kwenye baadhi ya mitandao sijaona hilo tukio. Hili tukio ni la kweli na kama ni la kweli, lilitokea lini? Video husika Picha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…