hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Je hii inafaa kusema tenda wema uende zako?

    Kisa Kinachosambaa sasa nchini Misri.. Vyombo vya habari nchini Misri vimesambaza kisa cha kusikitisha cha daktari mmoja aliyetumia zaidi ya miaka 30 akifanya kazi nje ya nchi yake, akiwa nchini Saudi Arabia, akipambana kujenga mustakabali wake na wanawe. Katika kipindi cha miaka 16 pekee...
  2. Hii ndiyo athari ya misaada

    Madhara ya msaada wa Trump nchini Nigeria yaanzaa kuonekana mubashara baada ya wanaume wawili wa dini ya kikiristo na kabila la Igbo innocent Okechukwu kumuoa mwenza wake na kubariki ndoa hiyo mbele ya kasisi wa kanisa hilo. Jambo Hilo limeonekana kulalamikiwa na wakristo wengi nchini humo...
  3. B

    Wanawake wengi siku hizi wamekuja na suala la "girlfriend allowance". Wanaume, hii imekaaje?

    Habarini, Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye...
  4. Serikali itumie njia hii kuwakamata hawa wahuni

    Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend. Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi . Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu. Ok, tuseme hakukusudia kuleta vurugu. Huyu mtu ana kosa la kuiharibu na kuipotezea hadhi fedha ya Tanzania. Hii fedha...
  5. SERIKALI IMEAJIRI LOBBY GROUP YA MAREKANI KUREKEBISHA PICHA – HUKU SIYO KUIUZA NCHI?

    Hili jambo la FARA hili mmh ni kama Serikali imeamua kununua "kipaza sauti" kule Washington D.C ili sauti yake isikike tofauti na inavyosikika sasa hivi.😂 1. Kwanini Marekani na kwanini Tom Graves? Washington D.C. inatawaliwa na kitu kinaitwa "Lobbying Engine." Siasa za Marekani, hususan chini...
  6. Mwamba huko Tarime kajinyonga kisa mpenzi wake na barua yenyewe alioiacha ndio hii

  7. A

    Je unajua siri hii kuhusu mafanikio

    Siri ya mafanikio yako ni maamuzi tu basi usidanganywe sijui connection. Sijui freemason sijui nini. Hayo yote yanatokea baada ya kuchukua maamuzi tu. Wewe jaribu kuchukua maamuzi kwa kile unachokifikiria katika kichwa chako uone kama hizo connection na mengine hayotokufuata yenyewe. Asanteni...
  8. Just imagine kuishi kwenye nchi X

    Imagine unaishi kwenye nchi X ambayo maji yanaweza kukatika hata siku 7 bila sababu za msingi Na hapo nchi X ina mito mingi, maziwa mengi na bahari ipo sehemu kubwa tu, na ukichimba chini maji yapo ya kutosha lakini wananchi wake wanateseka na shida ya maji kuanzia wanazaliwa hadi wanakufa, na...
  9. W

    Ipe maneno katuni hii ya DW

    Katuni ya DW imeonesha inahusu hali ya kisiasa nchini Uganda kuelekea katika uchaguzi mkuu kesho huku kukiwa na malalamiko ya kukatwa kwa huduma ya internet katika nchi hiyo, Rais Museveni akipambana kubaki katika kiti cha urais. Je yapi matarajio yako kwa uchaguzi huo wakati huu muda ukiyoyoma?
  10. Makinda alimkatalia Mnyika, Leo hii Jaji Mkuu analalamika

    John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi. Mjadala ule ulioendeshwa mpaka zaidi ya saa nne usiku Mnyika alipinga kabisa wakuu wa mikoa na wilaya kuwa mamlaka ya...
  11. R

    Patrobas Katambi: Sikiliza hii ujifunze

    Kama itakusaidia kufanya kazi zako ( of which I do not expect from you), basi itumie. Sikiliza clip hii
  12. Hii ni Hali ya kawaida au Kuna Tatizo sehemu

    Salam wakuu. Bila kuwachosha Kuna Hali flani imekuwa ikijirudia Sasa nashindwa kuelewa je ni Hali ya kawaida au dishi lishaanza kuyumba Yaani Kuna Ile unatembea tembea mara umefika sehemu ukiangalia Yale mazingira na kinachoendelea pale ni kama siyo mageni yaani kama ushawahi kufika hapo kabla...
  13. Hii ndio tech. ya kibabe dhidi ya starlink...'STARLINK KILLER'.

    "Kalinka & Tobol" ni mifumo ya kivita ya kielektroniki (EW) ya Urusi ambayo hivi karibuni imepata umaarufu kwa madhumuni yake ya kugundua na kuvuruga mawasiliano ya satelaiti, hasa yale ya Starlink, wakati wa migogoro. Kalinka: Mfumo huu ni wa kisasa zaidi na uliundwa mahsusi kukidhi mahitaji...
  14. Elimu ya miaka hii ni changamoto

    Elimu ya miaka hii ni changamoto kwa vijana wetu, nna dogo yupo Darasa la nne ,heti madaftari kaunta Quare 2 yanatakiwa kumi na nne(14), dogo wenyewe kana umri wa miaka Tisa tu.... Umri huu na iyo mizigo mpka amalize Darasa la Saba si atakuwa na kibiyonngo? maana hapo bado chupa ya...
  15. Wakuu Naomba mchango wa mawazo yenu kwenye hii research title hapa

    Ni matumaini yangu mko salamaa! Mimi niko salamaa sijui ninyi huko, Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia. Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s...
  16. Wakuu Naomba Naomba mchango wa mawazo yenu kwenye hii research title hapa.

    Ni matumaini yangu mko salamaa! Mimi niko salamaa sijui ninyi huko, Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia. Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s...
  17. 4

    Makonda usitishe watu hapa , hii nchi sio ya baba yako au mama yako ,chunga kauli zako

    Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu. Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili...
  18. Padri ahoji Je hii ndio Kazi na Utu? Alihesabu miili 13 ya waliouawa MO29 mbele ya Kanisa

    Kwa nini ionekane ni kosa kwa Kanisa kukemea mauaji? Kwani nini
  19. Hii inaweza kuwa sababu ya kutumbuliwa kwake?

    Siku mbili hizi akiwa huko Zanzibar, alinukuliwa akisema kuwa namba 1 atawaongezea posho wazee wa kaki. Hiyo ni kweli na taratibu zote zilishafanywa. Ila sasa barua yenye huo muongozo pale juu ina ule muhuri mwekundu umeandikwa “RISI”. Maana yake wanatakiwa wajue wanaohusika tu. Yeye akaona...
  20. Hii nyumba inaweza kufikia gharama za ujenzi kiasi gani?

    Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au inayokaribia kumaliza nyumba ndo nijenge, vyumba viwili au vitatu vidogo na bati llitolee maji nyuma hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…