hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Tunakumbushana tu ! 2040 sio mbali sana, Hii ndio miaka utayokuwa nayo ukiwa bado hai, Usijisahau sana

    Mwaka 2040 sio mbali sana, Tusijisahau sana kwenye kujiandaa na uzee, kujali afya zetu, kuwekeza, n.k. Umezaliwa 1970, ukifika 2040 utakuwa na miaka 70 Umezaliwa 1971, ukifika 2040 utakuwa na miaka 69 Umezaliwa 1972, ukifika 2040 utakuwa na miaka 68 Umezaliwa 1973, ukifika 2040 utakuwa na...
  2. Mambo sita (6) - hii inakuhusu wewe mjasiriamali mdogo

    📖MHADHARA WA 13 Hello mjasiriamali mwenzangu. Naomba leo nishee mambo sita (6) muhimu ambayo ukiyazingatia hutopoteza wateja. Kama unataka kufungua biashara, au tayari umefungua biashara zingatia mambo yafuatayo; 1. UCHESHI NA MATUMIZI YA LUGHA Jaribu kuwa mcheshi kwa wateja hata kama wewe ni...
  3. M

    Kwa CCM hii, Maendeleo ya kweli kama Taifa tusahau milele

    Hivi hiki chama mnakielewa kina falasafa ipi ya kueleweka. Ukiitafsiri CCM ilivyo ukiwa umetulia kabisa utaona kua haitokuja kutokea CCM ilete maendeleo hata siku moja, Rushwa iliyokithiri ni kansa kubwa inayosababishwa na CCM. Hata watumishi wa umma kama walimu, manesi, maafisa kilimo, polisi...
  4. Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

    Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa Tanzania sasa kuna TATIZO limeshatimia hivyo WALIOPANGA KUANDAMANA wameibuka WASHINDI hata kama leo hii...
  5. N

    Anayekumbuka jina la Movie hii ya Simba

    Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
  6. J

    PreGE2025 Jokate Mwegelo: Vijana tusitumike kama mgongo kwa wengine kwa maslahi yao kuelekea uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Joketi Mwegelo amewataka vijana wa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Akizungumza kwenye ziara ya siku moja akiwa Mkoani Iringa Katibu huyo mbele ya vijana amewataka...
  7. SI KWELI Hii ni Noti mpya ya TSH 10,000 yenye picha ya Rais Samia inayotarajiwa kuanza kutumika

    Haijathibitishwa
  8. Hii nguvu kubwa sana inayotumika na Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya CHADEMA, nguvu hiyo hiyo ingetumika, bado tungekuwa hatujawapata akina Soka?

    Watanzania wote tunashuhudia jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga katika kuzima maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA hapo kesho. Tunashuhudia askari wengi sana wakimwagwa mitaani, huku wakiwa na magari ya washawasha, wakirandaranda na farasi, wengine hata wakiwa wamebeba na silaha za...
  9. G

    Maandamano ya chadema hayatakuwa na uzito, Jumatatu topic kubwa ni simba na Yanga kwenye mashindao ya Caf ya weekend hii.

    Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya...
  10. Wadada wembamba vaeni cargo, msiache hii trend iwapite!

    Wadada, wembamba! Jitahidi kwenye kabati lako usikose cargo pants moja au mbili, mkivaa zinawapendeza sana. Ukijua kuipatia na shirt au jersey na chini raba mnapendeza kinoma. Kama una girlfriend mwembamba msuprise cargo one time, atafurahi. Kama kitovu kizuri unaweza kionesha kinanoga na...
  11. Jinsi Mawakala wa Huduma ya pesa kwa simu wanavyo shirikiana na matapelii wa ile hela tuma kwenye simu hii.

    Nimestukia huu mchezo. Unaenda kwa wakala wa pesa unatoa lets say laki moja. Wakala anazuga hajaona meseji yako then anakwambia hebu nipe simu yako niangalie kama umepata meseji. Kumbe lengo lake anataka kujua unasalio kiasi gani. Atakupa hela yako utaondoka then meseji ya tapeli itaingia...
  12. Hii ndiyo route itakayotumika katika maandamano ya 'Samia Must Go' tarehe 23/09/2024

    Haya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya nchi yangu. Tukutane Magomeni
  13. R

    Nina hofu, hofu yangu ni hii kuhusu maandamano ya tarehe 23/9/2024

    Polisi tunavyowajua, wanaweza kuwaua viongozi wakuu wa chadema kwa kisingizio cha vurugu. How? Wanawavurumisha watu na ku create commotion, lakini target yao ni viongozi, wanawaua na kusema hawajui aliyewapiga risasi, may be waandamanaji wengine walikuwa na visa na hao viongozi na kutumia mwanya...
  14. Hivi bado tuna sababu ya kuwa na serikali hii katika taifa hili.

    Nianze kwa kusema siamini katika chama chochote, na nasikitika kwa kila kibaya kinachoendelea katika taifa hili....kama mmoja wa wananchi na mlipa kodi inauma kuwa wamekula kodi zetu kwq miaka yote tangu uhuru hadi sasa na hakuna aliyehangaika nao zaidi ya kuwasema tu....wamenogewa kiasi cha...
  15. D

    TCRA Polisi wako wapi watu wanaibiwa kupitia hii mikopo mtandaoni? Jerry Silaa msaidie Rais

    Kuna wimbi kubwa sana la matapeli likitumia majina ya watu maarufu km Mohamed Dewji(MO), Tulia Ackson, Jokate Mwegelo n.k. Hawa watu ni matapeli na wana mtandao mkubwa, unakuta kwenye comments wanashukuru kuwa wamepata mikopo kumbe ulaghai ili uiingie mkenge. Namna ya kukuingiza mkenge...
  16. M

    Hii naita 'upende utanunua usipende utanunua'. Mwaka wa kufosi watu hawana mchezo

    😂😂😂😂 Wakuu majuzi nilienda kumchek anko bush flani hivi one time. Nilifika mida ya jioni, nikalala kesho yake asubuhi nikaamka ile kutoka nje nikaona msululu wa ma pikipiki na baiskeli watu wamebeba mafurushi. Nikamuliza nikaambiwa ni wafanyabiashara na siku ile ilikuwa siku ya gulio au mnada...
  17. Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye misingi na maadili.
  18. Mshauri huyu mdau, Jee hii Biashara anayofanya inafaida, Hasara au imebalance?

    Sitaki kusema ni mimi au laaa..ila ni issue ya kweli.. Ipo hivi Mhusika kabla ya mkopo alikua anaweza kusave 400k kwa mwezi kutoka kwenye Salary, Akaona hio 400k inayozidi aikopee bank, riba Mil 3, afungue biashara, pengine atapata zaidi. Akachukua mkopo wa miaka 3, makato ni laki 4 na senti...
  19. G

    Is the risk worth it ? kununua pikipiki mpya, uitoe kwa mkataba wa faida ya “elf 3 kwa siku”,kisha uigawe bure baada ya miezi 13 ikiwa bado mpya

    Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000 Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja) Hesabu ya siku – elf 10 Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000 Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000 Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
  20. D

    Nitashangaa mno kama Mdude Nyangali atafika wikiedi hii bado hajaangukia mikononi mwa Polisi

    Salaam wanaJF. Kauli ya Kada wa Chadema, Mdude Nyangali kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatafuta roho yake ni kauli nzito mno isiyotakiwa kupuuzwa hata kidogo na vyombo vya ulinzi na usalama. Mdude amesema straight bila kumung'unya maneno kwamba Samia anataka atekwe, ateswe, auawe na kutupwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…