hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Wadau hamjamboni nyote? Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi Mungu ibariki nyumba ya Yakobo PM to be hospitalized for several days for prostate surgery, Prime Minister Benjamin Netanyahu addresses the Knesset, December 23, 2024. (Chaim...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hujapata msaada? Dawa hii hapa

    Habari ndugu zangu. Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu. Nimesumbuliwa na vidonda kwa miaka zaidi ya sita , nilikuwa siwezi kutumia maharage, dagaa, pilipili...
  3. JamiiForums Tanzania Ukitupia mil 15 unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi mitatu?

    NI NMB bonus account, mil 15 kama akiba ukatupia huko unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi 3?
  4. JamiiForums Tanzania Canada is the next india

    Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau Aliingia madarakani mwaka 2015 - mpaka sasa Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration. Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama...
  5. JamiiForums Tanzania Kuahidi hizi teams pesa kunasababisha wapoteze attention. Hii game Singida walikamia sana wakaacha kucheza mpira

    Nadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa. Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game...
  6. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani

    Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mapenzi! mapenzi! mapenzi! Nimetamka mara tatu. Sasa ole wako kijana! kabla hayajakukuta pitia hapa

    Vimiaka vyangu kadhaa katika mapenzi nimekuja na uzoefu ufuatao.. Mosi: Hakuna haki kwenye mapenzi,, the game is too brutal sometimes. 2,, Kuwa single ni level fulani ya uhayawani so avoid being single. 3,, The best friend of yours is your lover so be careful not to pass your only secrets to...
  8. JamiiForums Tanzania Japokuwa watu usema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na tabia hii kwa mkeo ?

    Japo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda...
  9. JamiiForums Tanzania Hii mbegu ya bamia inafaa Kwa soko la dar?

    Nataka kupanda hii mbegu Vipi sokoni inafanya vizuri? Au Kuna species nyingine Haswa Kwa soko la dar
  10. JamiiForums Tanzania kule Kenya,Vijana leo wameanzisha maandamano ya kupinga kutekwa kwa kijana mwezao. Tanzania hii haiwezekani tunataka mtu atuandamanie.

    Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama jioni kwenye taatofa za habari. Wakenya wana spirt ya asili ya kupambana na sio kutegemea wakina...
  11. JamiiForums Tanzania Huwa napenda kuona hii michirizi ya vyupi za wanawake.

    Wakuu Mficha maradhi kifo humuumbua,kiukweli mimi niko addicted na hii michirizi ya vyupi za wanawake,kila nikikutana na mwanamke lazima kwanza niangalie kama hiyo kitu inaonekana. Kuna mwingine humu ana haka kaugonjwa?
  12. JamiiForums Tanzania Hii Yanga ya sasa ikikutana na Real Madrid, Barcelona, Liverpool isipozifunga hizo team nipigwe ban milele

    Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je? Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
  13. JamiiForums Tanzania Andiko hili katika Biblia ndio kifungu katili zaidi kuwepo Duniani. Je, ni kweli Mungu aliamrisha ukatili wa namna hii?

    Mzuka Wana jamvi. Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita kushoto mapema. Kwa wasiojua Kiswahili au Foreigners nimewarahisishia kazi.
  14. 3

    JamiiForums Tanzania Hii biashara imekaaje wakuu?

    Habari za muda huu, Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo. Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na kwa kila millioni kwa mwezi unapata 50k, hii ni kusema ukiweka millioni kumi kwa mwezi utapata laki...
  15. JamiiForums Tanzania Imani za Jamii kuhusu uaminifu wa mwanaume wakati wa ujauzito: Ukweli au Dhana Potofu?

    Kwenye jamii zetu au huku mitaanj kuna story zinasema,, Mume au Mwenza wa kiume akienda kucheat(kuchepuka) hali ya kuwa Mkewe au Mpenziwe ni mjamzito anaweza kusababisha matatizo kwa mtoto au mama kabla/wakati wa kujifungua au kupeleka mtoto/mama kupoteza maisha kabisa. Hii imekaaje kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana wa Namna hii huwezi wakuta Mara na viunga vyake. Wapo sana Tanga& Daslam wapenda Taarabu

    Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena. Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma. Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndo tathimini kuelekea January 22 katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

    Ukweli ni kwamba Mbowe atashinda. Si kwasababu anakubalika sana na WanaCHADEMA hapana, ila ni kwasababu mirija ya chakula ya wajumbe walio wengi imefungamanishwa naye. Hivyo akishindwa kula yao ita-stop abruptly. CHADEMA ya sasa ipo chini ya Mbowe na washirika wake. Lissu atashindwa uchaguzi...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiota ndoto kama hii huwa inamaanisha nini?

    Nimelala nimeota amenitokea nyoka mkubwa sana alafu akaanza kupaa juu yani anakwenda mawinguni. Anajua hii inamaanisha nini aniambie..
  19. JamiiForums Tanzania Christmas yote hii halafu mashabiki wa Yanga wamejaa malalamiko

    Inafikirisha sana, dunia nzima ipo katika shamrashamra za birthday ya Yesu Kristo, hawa ndugu zetu vyura wanaharibu mood yetu kwa kujaa malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu. Ukiwauliza wanalalamika nini hawana jibu la kueleweka. Mara refa, mara analalamikiwa mchezaji wa JKT, wanamlaumu hadi...
  20. JamiiForums Tanzania Endapo Mbowe atakuwa mwenyekiti kwa mara nyingine, hii ndio itakuwa safu yake ya uongozi

    Hii kwa sasa ndio cream ya chadema ya Mbowe. Awa ndio tunatakiwa kuwaamini kuwakabidhi dola na hazina ya taifa. Tumepigwa parefu!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…