Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,862
- 4,543
Kwenye jamii zetu au huku mitaanj kuna story zinasema,, Mume au Mwenza wa kiume akienda kucheat(kuchepuka) hali ya kuwa Mkewe au Mpenziwe ni mjamzito anaweza kusababisha matatizo kwa mtoto au mama kabla/wakati wa kujifungua au kupeleka mtoto/mama kupoteza maisha kabisa.
Hii imekaaje kwenye ulimwengu wa kiroho au ulimwengu huu wa nje..?
Hii imekaaje kwenye ulimwengu wa kiroho au ulimwengu huu wa nje..?