hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndg zangu wahaya hii nyimbo "Bakunyimenyeite(Tetemesha)" ya mwanadada Saida karoli Huwa inamaana Gani ?

    Mficha uchi hazai/mificha maradhi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga. Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa wasukuma ama makabila mengine huku Kanda ya Ziwa nyimbo hii Bado Iko kwenye chati. Nyimbo hii Ina...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu DC ameidharau sana Yanga. Nimeshindwa mwelewa kabisa kwa hii kauli yake kwa TBR United

  3. D

    JamiiForums Tanzania CCM wana cha kujifunza kutoka CHADEMA kwa hii Demokrasia iliyokomaa wanayoionesha

    CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa. CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja. CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu...
  4. JamiiForums Tanzania Hii kitaalam tunaitaje☺️☺️

  5. L

    JamiiForums Tanzania Hii Picha Itadumu kwa Miaka Mingi Sana Na Kuonyesha kuwa hakuna picha Ya bahati mbaya Inayopigwa Ikulu

    Ndugu zangu Watanzania, Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na Picha hiyo. Embu Fikiria hapo. Kutoka pichani Mheshimiwa Balozi DKT Emmanueli Nchimbi Amependekezwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa kuondoa aina hii ya uraia, wahamiaji huko Marekani wanalo!

    Trump kweli kaamua,ila ataweza?? Naona maana nyingine zimekaa kikatiba !Muda utaamua! Vipi ikija bongo?? Trump has vowed to end birthright citizenship. Can he do it? President Donald Trump has said he plans to end "birthright citizenship", which refers to automatic American citizenship...
  7. JamiiForums Tanzania Ukimsaidia Mbongo jambo au fedha, kila tatizo atataka umsaidie tena. Hii ni ishara ya Low IQ

    Hi! Binadamu mwenye akili timamu au mwenye standard IQ anapaswa awe na aibu na utu. Nilomsaidia brother mmoja kumnunulia simu baada ya kuona simu yake ina matatizo. Sasa anataka nimsaidie kununua kaunta book za watoto wake. Anapiga simu kama ugomvi. Nilomsaidia mtu kupata kazi mahali kipindi...
  8. JamiiForums Tanzania Chukueni hii moto moto: Pacome alikuwa haumwi bali alichukia kuona Kocha anamuanzisha Benchi wakati Yeye si Mtu wa Benchi

    Na za ndani zaidi zimeendelea kusema kuwa Maelewano ya Kocha Mkuu wa Yanga SC ambaye wan Simba SC wamembatiza Jina la Uswazinyo / Uswahili Saidi Ramadhani na Pacome sasa si mazuri. Pacome alichukia sana hadi akawaambia Viongozi kuwa kama vipi atahamia Mtaa wa Pili kwenye Raha sasa.
  9. JamiiForums Tanzania Hii picha katika ulimwengu wa kiroho ina maana gani?

  10. JamiiForums Tanzania Wanaume leo tuishi na hii

    Wanaume, Maisha ni magumu, najua. Wakati mwingine unahisi kukata tamaa, lakini kumbuka, "maisha yanapokupa ndimu, tengeneza sharubati ya limau." Unastahili maisha bora, hivyo endelea kupambana. Huna PESA kwa sasa, lakini si MASKINI. Kukosa pesa ni hali ya muda, lakini umasikini ni mtazamo wa...
  11. JamiiForums Tanzania Hatifungani ya Samia Kianzio Tsh 500000: Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu

    Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu Kwa kuanza, unaweza kuwekeza kuanzia TZS 500,000 kwenye Samia Infrastructure Bond kwa muda wa miaka 5. Hii ni fursa maalum ya kufadhili miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini, hususan...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ilivyo, Bunge lijalo Naliona kama litakuwa na vurugu nyingi hiv.Maana raisi ameshapitishwa tayari

    Wajuvi hebu tuliangazie macho bunge lijalo,hiv litakuwa na sura gani? Naliona kama litajaa pongezi nyingi sana kwa walioteuliwa,halafu kila kitu kitapita bila kupingwa ikiwa kama hongo.Namuona mpina peke yake ndiyo akiwa anasimamia shoo sababu hana cha kupoteza. We unaona nini?
  13. JamiiForums Tanzania Ripota wa Israel anauliza kuhusu hii video ya Hamas, Israel ilishambulia kwa mabomu siku 450 huko Gaza walikuwa wanapigana na nani?

    Wanaukumbi. Ripota wa Israel anatoa maoni yake kuhusu video hii: "Nataka tu kuuliza kwa upole: Je, Israel imekuwa ikishambulia kwa mabomu kwa siku 450 huko Gaza? Hamas inaonekana kuwa katika nafasi nzuri kana kwamba haikupigana vita dhidi ya jeshi la Israel." Hii video ya Hamas leo Jumapili...
  14. JamiiForums Tanzania Koti Ya namna hii naweza ipata wapi!? na Gharama yake

    Koti Ya namna hii naweza ipata wadi!? na Gharama yake.. Inaweza nisaidia kwenda kusoma Harvard University Nikizaliwa🚼
  15. JamiiForums Tanzania Kutokana na hii story yangu hauwezi nikuta humu nashabikia kutoa watoto EMs na ISs na kuwapeleka kayumba

    IT IS A SIMPLE STORY BUT VERY MEANINGFUL.... Kile kipindi cha shule za EM zimeanza kuingia bongo kiliwakuta wazazi wangu wamejaliwa na Mungu uwezo. Wakaamua wanitoe kayumba na kunipeleka EM. Kufika kule wale walimu walishangaa ni namna gani napaswa kuwa darasa la sita, wakati hakuna...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ikiwa nafasi ya uenyekiti tu wa chama mnabagazana namna hii ingekuwaje kama mngeshika dola kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu na Mawaziri

    Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
  17. JamiiForums Tanzania Mechi za CAF za kufuatiliwa Week-end hii

    Week-end hii ndipo mizunguko ya michezo ya CAF inakamilika. Kutakuwa ni michezo 16 lakini ya muhimu kufutaila ni hii hapa chini kwa vile mingine itakuwa ni ya kumailisha ratiba tu. CAF-CL Yanga Vs MC Alger: Mechi hii itaamua ni nani kati ya washindani ataingia robo finali na itakuwa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mimi mtu akinifanyia ubaya lazima apate matatizo makubwa ikiwemo kifo na magonjwa je hii imekaaje ?

    Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba. Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu. Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo. Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
  19. JamiiForums Tanzania Hii litania bado valid?

    Hebu wakuu nanyi muicheki tuone kama bado inalipa. Hii iliandikwa kipindi kile cha mwaka 2015 wakati TAL anagombea urais. Katika uzi mmoja nikasema kama wakivuka salama hawa wakuu na FAM akawa mkiti, basi maridhiano yawe kwamba TAL apambane tena na SSH Ee Mungu Baba kwa namna ya pekee utuvushie...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aliwezaje kuiunga mkono hii switcheroo?

    Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani? Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake. Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…