Mwanamke mmoja aliyekuwa anaitwa Nancy alikuwa anafanya kazi kwenye kiwanda cha kusambaza na kusaga nyama.
Siku moja, baada ya kumaliza ratiba yake ya kazi, aliingia kwenye chumba cha baridi (friji) cha nyama ili kukagua kitu, lakini kwa bahati mbaya, mlango ulijifunga na akakwama ndani bila...