hela

  1. JamiiForums Tanzania Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  2. JamiiForums Tanzania Wagombea kugawa hela mbona inachukuliwa kawaida wakati NI rushwa ile

    Chama kisikae kimya kukemeea hii michezo wagombea unaambiwa usiku wanapita na kugawa 10000 kwa watu
  3. JamiiForums Tanzania Nimekutana na jamaa anagawa hela hata bila kumuomba

    Aisee haya maisha yananoga Sana kuna sehemu nikaenda kunywa nikakuta jamaa Fulani ye haongei kazi yake akikuona anakuja kukupa 10000 au 2000...je hio NI roho njema au stress jamaa kachanganyikiwa.
  4. JamiiForums Tanzania Hata Biblia Inajua...

    Mhubiri 10:19 "Karamu hufanywa kwa ajili ya kucheka, divai hufurahisha maisha; bali fedha hujibu kila kitu." Mungu huwapendelea wanaojituma. Miujiza haiji kwa wavivu, huja kwa wale walio tayari kuipokea kupitia kazi. Fedha huleta suluhisho kwa mahitaji ya maisha: chakula, afya, elimu, malazi...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabenki yachaji akaunti isiyokuwa na hela?

    Ni kitu cha kusikitisha sana mabenki hayapochaji hela za service charge wakati akaunti inapokuwa haina hela. Sasa ni service ipi wanakuwa wametoa hapo?
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mwingine amezikinai hela ndogondogo kama Mimi kwa maana bongo tunapeana kwa masimango sana

    Wakubwa shikamooni hela zenu zenyewe za madafu bongo ila kuzipata mpaka mgombane mpaka mtu umnyekee mtu umlambe boss viatu.sisemi Nina majivuno wala kiburi ila nimezishika noti zenu na zinaisha haraka.. So, hapa na change plan naenda plan B ambayo NI kutafuta mwanya Fulani nipige hela ndefu...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna wengine humu ambao hamna hela au ni mimi tu nimechaguliwa kuwa kama mfano?

    Ila cha kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa kunitwisha utu uzima. Mimi wa zamani humu ndani nilikuwa namiliki ma-Range, nyumba kali Sinza, Car Wash moja matata pale Madale bila kusahau mke mzuri tu, housegirl na mtoto mmoja wa kiume aitwaye RomyJohnson. Nilikuwa na nafasi kubwa sana pale...
  8. JamiiForums Tanzania Hela cash ukiificha sehemu unakuwa na hofu muda wote unahisi umeonekana ukiwa unaificha

    Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu cash Tu mambo ya tozo na makato na miamala kwa muda uyasahau. Sasa kimbembe kinakuja pale sehemu...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiwa huna hela mipango ya biashara ina click vizuri kichwani

    Ukiwa huna maisha umefulia balance haisomi kila idea unayoipenda ukiifikiria unaipangilia vizuri kabisa Kiasi cha mtaji,gharama za uendeshaji,faida,..imagine niliishiwa hela nikaanza kufikiria biashara ya uji,matunda,genge...na tena kisasa ma innovations kama yote.. Kosa waniingizie mkwanja Tu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nini Maana ya Vihela na Hela

    Habari wakuu Nina jambo hapa najua tunafamishana tu naomba kujua maana ya Vihela na Hela, mfano unaweza kuwa mtaani mnapiga story mara unasikia yule mtu alipataga Vihela ya kustaafu akajenga kanyumba🤔 Sasa mtu unajiuliza eeh ni sh ngapi hizo unaambiwa ni million 70 mpaka 80 hizo ndo Vihela, au...
  11. JamiiForums Tanzania Msemaji wa timu anaropoka kuhusu hela ya mboga Bilioni 2, wakati timu ya Pyramids imesajili mchezaji wa Bilioni 8.3

    Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili. Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

    Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk Bila hela hutoboi.. Mwisho wa uchambuzi.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa unapata hela kila DAWASA na TANESCO wanapoomba radhi kwa kukukosesha huduma, ungekuwa na milioni ngapi saivi?

    Wakuu, Nadhani saivi ningekuwa na mjengo wangu wa maana huku Mbezi Beach, pamoja na ndinga kaliiiiiii. Jamani, hakuna taasisi/shirika la kiserikali linakera kama DAWASA Wizara ya Maji na TANESCO 😫😫😫, yaani mtu ungekuwa na mamlaka unazifutilia zote mbali kila kitu kinaanza upya kwa kuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna business ya network Jana niliuIizia huku..nkauliza baadhi ya watu huku MKOA naona kimewaka huko helà hazitokii!!!

    KUULIZA KWELI SIO UJINGA AISEE JANA NILIKUTANA NA MATE MMOJA AKATAKA KUNIPA MAMBO YA KUWEKEZA NKAONA NIULIZIE HUKU JAMAA WANAITWA LSSC BAADA YA KUPATA MAJIBU HUKU NILIJIONGEZA KWA JAMAA MMOJA ALIEWAHI KUNIINGIZA KAMPUNI MOJA NIKAINGIZA HELA KWA TAMAA NIKAWEKEZA UJE MZIGO WEWE WAKAPITA NAZO...
  15. JamiiForums Tanzania "Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011"

    "Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011, jina litakuja: Chaelmi Majuu. Simu yangu ya kawaida inadaiwa." Ukipokea meseji zenye ujumbe kama huo, usikasirike, usimtukane aliyekutumia, wala usifanye haraka kum-block. Mhubiri Injili. Mwambie: "Je, kuna faida gani ukiyapata mapesa...
  16. JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

    Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa kwa moyo wote?
  17. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Mara nyingi ukimpa mdada hela/zawadi bila yeye kukuomba, huko mbeleni ndo atazidi kukupiga vizinga

    Habarini, Kuna huu ushauri unaotolewa na wadada humu jf na baadhi ya wanaume, kwamba ukitaka mdada asikupige vizinga mara kwa mara, usiruhusu mpaka yeye akuombe, mwanaume inatakiwa ujiongeze, utoe bila kuombwa, juzi kati nikajaribu kuiweka hii myth to the test Sample za research yangu zilitoka...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela ya mwanamke

    Kabla hujaanza kulalamika kuhisu pesa ya mkeo inaenda wapi fatilia vitu hivi kwanza usijekuonekana miyeyusho ◇ Kuna mashuka mangapi ndani, au unajua kujifunika tu na haujui limetoka wapi?😁 ◇ Masufuri na vyombo vya kupikia vipo vingapi? ◇ Mapazia ya mlangoni na dirishani yapo mangapi?? ◇ Mapambo...
  20. JamiiForums Tanzania Tangu nipate hela sijawahi kuota ndoto za kutisha

    Zile ndoto za kukabwa, mara kukimbizwa halafu hauwezi kukimbia au kuanguka toka juu halafu ukifikachini huumii n.k zimekoma maramoja baada ya kuanzisha hii kampuni yangu ya kuchezesha kamari. Nampongeza sana rais wetu. Sasahivi mkiliwa pesa za kubet mnakuwa mmenichangia pakubwa sana. SIJATAPELI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…