hela

  1. JamiiForums Tanzania Orodha ya wachezaji wanaolipwa hela nyingi duniani kwa mwaka 2022

    Lionel Messi anaongoza kundi la watu ambalo kwa pamoja wamekuwa wakijipatia zaidi ya $990m katika miezi 12 , huku kiwango cha kuwania nafasi hiyo kikipanda zaidi ya ilivyokuwa awali. Lionel Messi alikuwa na umri wa miaka 17 alipoanza kushiriki katika kikosi cha kwanza cha timu ya Barcelona ...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mwenye private car anaetoka arusha kwenda dsm nichangie hela ya mafuta

    Habari wakuu naomba msaada kwa mwenye private car anaesafiri kesho kutoka Arusha kwenda dar es salaam 22/5/2022 nitachangia hela ya mafuta
  3. JamiiForums Tanzania TTCL hii chance mkiizembea hamtoboi tena, fanyeni hivi mpige hela mpaka vichwa viwaume

    Wasalaam Ni mimi C.T.U nimekuja tena kwa mara ya pili leo nimeota ndoto ambayo nafikiri ni ndoto fulani ambayo nimeamua nije kuzungumza na nyinyi ndugu zangu TTCL Ndoto yenyewe ni kuwa TTCL inatakiwa kutengeneza mabilioni ya fedha kutoka kwa watanzania na nafikiri ndio dhima kubwa ya Rais ...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe tulipeni hela zetu wakulima tuliouza mbegu ASA, tunaumia

    Mimi ni mmojawapo wa wakulima tulioingia mkataba na wizara ya Kilimo kuzalisha mbegu bora za kilimo kupitia wakala wa uzalishaji wa mbegu bora za Kilimo; ASA. Ni takribani miezi 9 sasa tangu Agosti na September mwaka 2021tulizalisha na kuuza mbegu kwa mujibu wa mkataba wa uzalishaji hadi sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chanya Mkoani Tabora

    Rais Samia Suluhu Hassan yupo Mkoani Tabora kwa ajili ya kushiriki Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chany, leo Mei 17, 2022. Rais Samia ameanza kuongea ===== RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Lengo la Serikali ninayoiendesha inalenga kujenga miundombinu ya barabara na madaraja ili kuiunganisha...
  6. JamiiForums Tanzania Muogope sana mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela

    Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana. Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea. Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome. Wewe hauna hela...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kipindi Kama hiki Ngoswe halikuwa ameshapeleka Maombi ya sensa ?

    Wakuu eti kipindi Kama hiki Ngoswe alikuwa Ameshapeleka Maombi ya Sensa?
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ile hela mwanaume anayompaga mwanamke baada ya tendo inaitwaje?

    Habari za leo wadau ebu kwa wataalam na wahenga naomba ebu tujuzane kuhusu ili jambo maana kila mtu na ujuzi wake na je unaweza kutoa kwa mkeo ndani na kwanini mke apewi hii hela baada ya tendo
  9. JamiiForums Tanzania Unaweza kuchukua hela hapa?

  10. JamiiForums Tanzania CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

    Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo. Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi: Kesi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mkeo akikukimbia halafu huko aliko akakuomba hela, utampa au hutampa?

    Imagine mkeo au demu wako kakukimbia halafu baada ya muda flani anakutumia msg ya kukuomba hela je utampa? Ukimpa kwanini? Usipompa kwanini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

    Kuna Kampuni inadai wao wanajishughulisha na biashara mbalimbali, ikiwemo kuuza na kununua Mafuta oil diesel duniani, kuuza bizaa mbalimbali, kununua Madini, usafirishaji wa meli. Wao wanadai wanesajiliwa TRA, Brella, staili yao ni Moja tu, ukiwekeza kuanzia laki moja Hadi milioni 50 ndani ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rwanda vipi tena? Hela inawaondolea heshima kiasi hiki

    Rwanda imeingia mkataba wa poundi takribani milioni 150 ili ipokee wakimbizi haramu watakaodakwa nchini UK. Mpango aina hii muasisi ni Macron wa France. Yéyé aliingia mkataba na Libya. Pamoja na kuhamishiwa wakimbizi haramu Toka France Kwenda Libya mkataba wao pia unaitaka mamlaka ya Libya...
  14. JamiiForums Tanzania Nilikula hela ya ada form 3 nikatumia njia hii mpaka wazazi na walimu hawakugundua kama nimetafuna

    Habari wakuu! Leo nimekaa nikakumbuka matukio kipindi nipo o level,jinsi nilivyoharibikiwa kwa kujiingiza kwenye makundi ya wahuni shulen na nilivyoweza kuCHANGE fasta nakufanya vizuri kwenye matokeo yangu ya 4m 4 necta Kwanza ilianza nikiwa form 2 nikiwa shule ambayo ipo njee kidogo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia, gharama za maisha zinazidi kupanda juu. Penye njaa na mateso hapawezi kuwa na amani

    Mama Mpendwa Shalom Mwenendo uliopo mpaka sasa, japo tunakupongeza kila kona kwamba unaupiga mwingi mambo ni magumu. Hawa walioko vijijini ambao ndo hasa wapiga kura wako hawajui habari ya Ukraine na Putin wao, wanachokihitaji wapate maisha ahueni, wakati nchi nyingi zilizoathirika kama sisi...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote katika aina hii ya utapeli?

    Huu utapeli hakufanyika kwa Tamaa kama ilivyozoeleka na ndipo napopata mashaka. Ni ndugu yangu wa karibu naemwamini sana, nilimtumia pesa laki 6 anunue laptop kwajili ya chuoni. sasa nikawa nafatilia hio laptop naona ananipiga sana chenga, nikafikisha hii kero kwa mama yake ambae ni mamdogo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa askari wa JWTZ asimulia alivyofungwa jela miaka tisa kwa kusinginziwa Tukio la ujambazi Ubungo 2006

  18. JamiiForums Tanzania Tazama hela wanazopata Timu Zilizofuzu robo fainali Kombe za Shirikisho

  19. JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Aziomba hela za NGO's kutoka USAID

    Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao...
  20. JamiiForums Tanzania Matapeli wanavyotumia jina la Rais Samia, Ikulu kufanya utapeli wa kupiga hela

    Hivi ndivyo, matapeli wanavyotumia jina la Ikulu pamoja na Rais Samia Suluhu kufanya utapeli wa kupiga hela kwa watu mbalimbali. Watangazaji wa East Africa Radio wamesimulia moja ya tukio lililotokea. Source: East Africa Radio
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…