hela

  1. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi Watanzania asili ya Kiarabu na Wahindi wana Hela sana Dar, lakini hawatrendi na matukio kama wale wa Kitanzania na Afrika

    Hili jambo linanifikirisha sana. Sababu hasa ni nini. Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa. Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi. Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Xiaomi wamezindua Gari mpya ya umeme: Xiaomi YU7 SUV

    Baada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV. Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa. Pia itakuja na options za RWD na AWD, zikiwa na maximum speed ya 250 km/h. Ingawa features nyingi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hela za Mama Abdul hela za Mama Abdul, ni Uhuni!

    Mbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela? Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua kuwasamehe? Mbowe alisema Time will tell au muda ndiyo unasema sasa kuwa Lissu ni Muhuni alitumia tu...
  4. JOSEPHAT_07

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  5. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukosa au kukataa hela sababu ya mapenzi

    Mapenzi Shikamoo! Usiku huu nimeshuhudia mkaka anarudisha gari na fremu ya biashara kwa mmama aliyekua anadate naye sababu amepata msichana anayempenda na anataka kumuoa. Huyu mkaka amekua na mahusiano na huyu mmama ambaye ni rafiki yetu kwa zaidi ya miaka mitatu. Aliacha ajira serikalini...
  6. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. p UPDATES..... 4:15pm Kandanda imeanza tayari, Game inapigwa zazuri kabisa. DK 2 Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG inakuwa warusha. Unarushwa hauleti madhara yoyote 0-0 DK 4 Mpira unaendelea vizuri kabisa hapa. Simba...
  7. jannelle

    JamiiForums Tanzania Ukiniomba namba, nakuomba hela, ubaya ubwela

    Tumechoka usumbufu usio wa lazima, now ni Tit for Tat😂, ninyi si mabingwa bwana basi twendeni hivyo tu hakuna kujaza manamba yasio na faida, sms eti "VIPI NIAMBIE" khaa🚮 2025 nimeamua ukiomba namba nami naomba pesa, Shwaa #Jocking😂😂
  8. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Okrah sasa kumsaidia Baleke kuidai Yanga hela zake FIFA

    “Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa. “Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa...
  9. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Nimemuona leo “Poshy Queen” wa Harmonize anakunywa safari. Kumbe wasanii hawana hela…?

    Nikiwa eneo moja la Mikocheni ghafra bin vuuu namwona Posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari. Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na Windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Utamsikia anasema "Wanaume wote ni mbwa. Kama hawezi kunidekeza kama mtoto, kwendraaaaa!!"

  11. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu! Rafiki wa kweli katika dunia hii ni hela (pesa/money)!

    Ukipata hela umepata vyote! Ukikosa hela umekosa vyote! Kosa vyote lakini kamwe usikose njia za kupata hela na kuimudu hiyo hela ikae na wewe! Akili kubwa kuliko zote ni jinsi ya kuipata hiyo hela na kuifanya ikae na wewe. Ukishinda huu mtihani basi kila kitu utakachokitaka katika dunia hii...
  12. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Mwaka wetu wa mwisho machawa kuwekwa kwenye mgao, tusiache hela kizembe. Tutawaomba msamaha tu waTanzania

    Kila hela itayopatikana tufanyie mambo ya msingi. Tuache matumizi ya hovyo.Mi nilishachukua shamba kwetu Iringa na mwaka juzi muheshimiwa alinisaidia kupata diploma ya pharmacy. Ni ushauri wa bure tu Uzi tayari
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wanaume wakweli hununuliana bia,kupeana mabinti,connection za kazi na kukopeshana hela sio kuhongana magari

    Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu. Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona mnaficha kuwa mmemsajili Ikangalombo kwakuwa Zengeli mmeshindwana nae na mlimkopa na hamna Hela mliyoombwa na Meneama FC Kumnunua?

    Halafu ni nani aliyewaambia kuwa Siku hizi duniani kuna Siri? Halafu kumbe hata Kocha nae Saidi Ramazani (Side Rama) aligombana nae?
  15. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mpige katerero mwanamke wako, piga machine kama unaua nyoka, hela kwao ni kama mafuta ya kujipaka yanakauka shauri yenu

    Ndugu zangu salaam. Ukweli ni kwamba wanawake wanapenda sana dyudyu, wanataka papuchi zao zipigwe fimbo mpaka zimwage maji akose kabisa hata nguvu ya kukusongea ugali na akienda chooni au kujichamba aite jina lako huku anasukuma ukuta hapo ndipo atajiona yupo na mwanaume na wala siyo mwanamke...
  16. Dialogist

    JamiiForums Tanzania CHADEMA chukueni hili wazo langu mpige hela

    Wanandugu wa bodini... Nawasalimu kwa salamu yangu binafsi, uposondi...?? Mwaweza itikia... ndinandii.. Nimepata tashtwiti ya kuwashauri Chadema, hasa huu uongozi mpya... Katika njia ya kuanza kuimarisha chama kiuchumi, mnaonaje mkitengeneza hata tisheti elfu 10 (10,000pcs) zenye picha ya...
  17. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kubadilisha Egyptian Pound kuwa Hela ya Tanzania?

    Salamu. Ama baada ya salamu Mimi ni mzima wa siha muruwa. Mwezi Dec nilipata wasaa wa kutembelea nchini Misri, ratiba yangu ilikuwa very tight kiasi kwamba hata airport sikuweza kubadilisha Egyptian Pound kuwa USD. Sasa zimekaa ndani Nina zaidi ya Pounds laki Moja ya Misri, ubalozini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Muarabu katoa hela ndefu sana kwa Yanga

    Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi. Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko. Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
  19. E

    JamiiForums Tanzania Ibenge kala hela za watu na wameshindwa kufikia malengo

    Kiuhalisia safari ilibidi iishie Sudani , mgonjwa akaongezewa drip kidogo ndugu wakapata matumaini Ibenge mtu m bad sana
  20. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nime-request kuuza vipande vya UTT tangu Jumapili, leo ni Ijumaa bado hela haijawekwa kwene Acc? Je, ni sawa ndio inavyokuwaga?

    Wataalam wa UTT nipo acc ya ukwasi Kwa maelezo, niliambiwa ni siku mbili za kazi mpunga unakuwa ushasoma leo ni wiki. Hadi napata wasiwasi
Back
Top Bottom