hela

  1. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Hard Disc inauzwa, mwenye hela ya haraka aje

    Kuna Hard Disc inauzwa kwenye hela ya haraka aje aichukue. 1 TB aina ya Transcend Bei yake ni 70,000 Piga simu au WhatsApp: 0683535699
  2. O

    JamiiForums Tanzania Shule nitapoteza hela zao tu

    Habari za wakati kama huu wanajamvi!!! Kama inavyosomeka hapo juu hayo ni majibu ya kijana mmoja kutoka kilimanjaro ambae ana umri wa miaka 14 akifanya kaz ya kuuza duka moja hapa jijini Dar. Jioni moja nikiwa najirudisha zangu nyumbani kutoka kwa rafiki yangu mmoja hapa jijini nkasema niingie...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dereva Mtanzania anashikiliwa Sudan Kusini baada ya kugonga mtu, inadaiwa Polisi wagoma kumuachia wanataka hela

    Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni kwamba wanamtuhumua amemgonga mtu na kusababisha kifo wakati alipokuwa katika safari zake akipita...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Songwe: Wakurugenzi wa Halmashauri kazi zenu hazidumu milele, lipeni madeni ya Watumishi na Wazabuni

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amewataka wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha wanalipa madeni ya watumishi na wazabuni bila kuchelewa. Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Maendeleo ya Mkoa (RCC) kilichofanyika Februari 19, 2025, kwa ajili ya kupitisha bajeti ya...
  5. Knock life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana masikini manaobiwa tafuta hela na wanawake jifunzeni kwa Diamond

    Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wengi Watanzania asili ya Kiarabu na Wahindi wana Hela sana Dar, lakini hawatrendi na matukio kama wale wa Kitanzania na Afrika

    Hili jambo linanifikirisha sana. Sababu hasa ni nini. Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa. Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi. Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Xiaomi wamezindua Gari mpya ya umeme: Xiaomi YU7 SUV

    Baada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV. Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa. Pia itakuja na options za RWD na AWD, zikiwa na maximum speed ya 250 km/h. Ingawa features nyingi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hela za Mama Abdul hela za Mama Abdul, ni Uhuni!

    Mbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela? Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua kuwasamehe? Mbowe alisema Time will tell au muda ndiyo unasema sasa kuwa Lissu ni Muhuni alitumia tu...
  9. JOSEPHAT_07

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  10. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukosa au kukataa hela sababu ya mapenzi

    Mapenzi Shikamoo! Usiku huu nimeshuhudia mkaka anarudisha gari na fremu ya biashara kwa mmama aliyekua anadate naye sababu amepata msichana anayempenda na anataka kumuoa. Huyu mkaka amekua na mahusiano na huyu mmama ambaye ni rafiki yetu kwa zaidi ya miaka mitatu. Aliacha ajira serikalini...
  11. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. p UPDATES..... 4:15pm Kandanda imeanza tayari, Game inapigwa zazuri kabisa. DK 2 Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG inakuwa warusha. Unarushwa hauleti madhara yoyote 0-0 DK 4 Mpira unaendelea vizuri kabisa hapa. Simba...
  12. jannelle

    JamiiForums Tanzania Ukiniomba namba, nakuomba hela, ubaya ubwela

    Tumechoka usumbufu usio wa lazima, now ni Tit for Tat😂, ninyi si mabingwa bwana basi twendeni hivyo tu hakuna kujaza manamba yasio na faida, sms eti "VIPI NIAMBIE" khaa🚮 2025 nimeamua ukiomba namba nami naomba pesa, Shwaa #Jocking😂😂
  13. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Okrah sasa kumsaidia Baleke kuidai Yanga hela zake FIFA

    “Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa. “Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa...
  14. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Nimemuona leo “Poshy Queen” wa Harmonize anakunywa safari. Kumbe wasanii hawana hela…?

    Nikiwa eneo moja la Mikocheni ghafra bin vuuu namwona Posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari. Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na Windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It...
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Utamsikia anasema "Wanaume wote ni mbwa. Kama hawezi kunidekeza kama mtoto, kwendraaaaa!!"

  16. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu! Rafiki wa kweli katika dunia hii ni hela (pesa/money)!

    Ukipata hela umepata vyote! Ukikosa hela umekosa vyote! Kosa vyote lakini kamwe usikose njia za kupata hela na kuimudu hiyo hela ikae na wewe! Akili kubwa kuliko zote ni jinsi ya kuipata hiyo hela na kuifanya ikae na wewe. Ukishinda huu mtihani basi kila kitu utakachokitaka katika dunia hii...
  17. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Mwaka wetu wa mwisho machawa kuwekwa kwenye mgao, tusiache hela kizembe. Tutawaomba msamaha tu waTanzania

    Kila hela itayopatikana tufanyie mambo ya msingi. Tuache matumizi ya hovyo.Mi nilishachukua shamba kwetu Iringa na mwaka juzi muheshimiwa alinisaidia kupata diploma ya pharmacy. Ni ushauri wa bure tu Uzi tayari
  18. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wakweli hununuliana bia,kupeana mabinti,connection za kazi na kukopeshana hela sio kuhongana magari

    Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu. Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona mnaficha kuwa mmemsajili Ikangalombo kwakuwa Zengeli mmeshindwana nae na mlimkopa na hamna Hela mliyoombwa na Meneama FC Kumnunua?

    Halafu ni nani aliyewaambia kuwa Siku hizi duniani kuna Siri? Halafu kumbe hata Kocha nae Saidi Ramazani (Side Rama) aligombana nae?
  20. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpige katerero mwanamke wako, piga machine kama unaua nyoka, hela kwao ni kama mafuta ya kujipaka yanakauka shauri yenu

    Ndugu zangu salaam. Ukweli ni kwamba wanawake wanapenda sana dyudyu, wanataka papuchi zao zipigwe fimbo mpaka zimwage maji akose kabisa hata nguvu ya kukusongea ugali na akienda chooni au kujichamba aite jina lako huku anasukuma ukuta hapo ndipo atajiona yupo na mwanaume na wala siyo mwanamke...
Back
Top Bottom