heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Naapa sitoondoka Chadema labda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani

    Naapa sitoondoka Chadema labda Makamanda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani, Maana hawa wengine nimegundua walikuwa nyoka tu,akiwemo kiongozi wao Mbowe Na sitokuja kujiunga na Chama chochote kile,labda kiwe chini ya hawa makamanda Tundu Lissu na Heche, lakini siyo hivi vyama vya waganga...
  2. Msomi Unapataje Muda wa Kulumbana na Wanasiasa? Heche Yuko Sahihi. Tunazalisha Mabingwa wa Kukariri

    Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka. Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika. Na...
  3. A

    Heche tumia weaknesses ya serikali inayotrend-sasa kutapeli watu kuhusu matengenezo hewa uwanja wa mkapa kama mtaji wa kisiasa

    Siasa ni saikololojia....siasa ni mbinu...siasa ni kufitinishana. kwa kuwa Ccm kwa makusudi, imeamua kuhamisha attention ya wananchi kuhusu mambo yao muhimu....na kuyaelekeza kwenye kujadili michezo na wasanii...... Nashauri Chadema nao wapige hapohapo kwenye mshono. John heche, hebu badilika...
  4. PreGE2025 Devotha Minja: John Heche ameshindwa kuitisha kamati kuu kujadili kesi ya Tundu Lissu

    Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi...
  5. A

    PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

    Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana. Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
  6. Mfikishieni Kihongosi Ujumbe huu haraka sana - Kutoka kwa Heche

    ANAANDIKA Mh Heche makamu mwenyekiti CHADEMA TAIFA Huyu kijana Kenani Kehongosi ni Sabaya mwingine.. Huyu ni kijana amedhuru watu wengi sana. Ameruhusu madaraka yamvae na kwasababu hana uwezo anafikiri kujipendekeza kufanya hujuma kwa wapinzani kunampa sifa kwa boss wake.. namkumbusha tu...
  7. Heche: Golugwa aachiwe mara moja. Hakuna kosa alilofanya maana ana visa na ticket halali

    👇
  8. Tetesi: Heche atakamatwa na Polisi pindi tu Raisi wa Finland akiondoka nchini hapo ni kwenye ijumaa huko

    Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza. Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa. Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na...
  9. Wananchi Mwanza wazuia Jaribio la Jeshi la Polisi kutaka kumkamata John Heche

    Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ? Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ? YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?. inamaana hata Mikutano...
  10. A

    PreGE2025 Heche: Nimepata taarifa kuwa kuna mpango wa kunikamata wakati wowote kuanzia sasa

    Makamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata. Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa shughuli za siasa, kuliko hii hali ya kukamata, kuua na kupoteza watu. Moto wa no reforms no election...
  11. PreGE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?

    Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri. Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
  12. A

    PreGE2025 Wasira Kimya! Moto wa Heche wazidi kuchanja mbuga kuelekea Oktoba 2025

    Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche. Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye...
  13. PreGE2025 Heche apeleka 'No reforms No election' Chato asisitiza uhitaji tume huru ya uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amefika Wilaya ya Chato, nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tano hayati John Magufuli, kupeleka kampeni ya chama hicho ya No reforms, No election. Heche anayeongoza timu ya chama hicho katika ziara ya Kanda ya Victoria, ameingia Chato leo Mei 10, 2025...
  14. Heche aamua kujilipua Tarime na No reform No election

    https://youtu.be/jRUxerN3pq8?si=Ee2_5SrEbZWuZxhW John Heche akiwa kwao Tarime aongea kwa uchungu sana kuhusu mabadiliko ndani ya Tanzania. Msikilize hadi mwisho. Ni zaidi ya Mpigania Uhuru enzi za Wakolone.
  15. R

    John Heche, John Mnyika, Boni Yai, Godbless Lema na wengineo, msikate tamaa, siku hadi siku Watanzania tutazidi kujengeka na UJasiri wa kupinga UONEVU

    Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please Erythrocyte
  16. Nini tafsiri ya police kukamata watu , kuwaumiza na kuwatupa porini?

    Kuna kitu ambacho police wamefanya leo na wengi hatuja waelewa? Kwa muda mrefu tumekuwa tukitafuta nani anateka watu na kuwatupa porini, majini na kwenye hifadhi za wanyama wakali , bila mafanikio. Police wamekuwa wakilaumiwa japo na wao wanatekeleza maagizo. Naona sasa hivi wameamua...
  17. Unadhani ni kwanini maelezo ya Heche yamepuuzwa na wanachadema hususani mitandaoni?

    Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao? Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye...
  18. John Heche afika Ubalozi wa Vatican kutoa pole kufuatia kifo cha Papa Francisko

    Makamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko. Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
  19. W

    PreGE2025 Heche kuzungumza na wanahabari kesho

    Wakuu kesho itakuwa fire sana, ngoja tuje kusikia sakata lilikuwaje hada makamu kutoka kukamatwa hadi kuavhiwa kwake mana ni kama movie. === Taarifa iliyochapishwa na Chadema na kurudiwa na Blenda Rupia Mkurugenzi wa mawasiliano Chadema inaeleza "Usiku huu tumempata kwenye simu yake Makamu...
  20. PreGE2025 Chalamila: Kariakoo ni eneo la biashara siyo sehemu ya kufanyia mikutano ya hadhara

    Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…