Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.
Hawa wahuni na Genge lao , Suala la Maandamano limewatikisa sana .
Wamekaa kikao na kukubaliana kua, Wawakamate Top Officials wote wa CHADEMA wawekwe Ndani ,wake nao mpaka Huu Uchaguzi wao waloupanga Oktoba 29 upite, Kisha wawaachie .
Hofu ya Wapuuzi Hawa ni kudhani kwamba Viongozi Hawa wa...
Mwanachama wa ACT Selemani Bungala Maarufu kama Bwege anaeleza kuwa wakati mambo yanatokota kipindi cha Mbowe pale CHADEMA, Heche na wenzake walitaka kuhamia ACT Wazalendo lakini Zitto aliwakataa kwa sababu wangeendeleza siasa zao za maneno makali na hivyo kumuharibia kwa Rais ambaye alikuwa...
Asante kwa wote walioshiriki kwenye hili. Historia haitowasahau, mlicheza upande uliosahihi. Ule uchaguzi ili mark mwanzo wa siasa mpya na mageuzi makubwa kwa nchi.
Huu ni moja ya UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA
Nitaendelea
1 Heche na wenzake wapigania demokrasia, watumwa wa Bwana wetu Yesu Kristo, kwa Watanzania wote walioko katika mapambano ya demokrasia na katiba mpya, pamoja na viongozi wao na wanaharakati wote:
2 Neema na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo ziwe nanyi.
3 Namshukuru Mungu...
Habari wakuu,
Kama kweli ni kauli ya Maria Sarungi simuuungi mkono
Naona Maria Sarungi katema cheche huku akidai Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche pmoja na Jonathan Lema kuwa uongozi wao wa Mabavu umeua CHADEMA
ilhali tangu CHADEMA ikumbwe na matatizo...
Ameandika Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche kupitia ukurasa wake wa Instagram "Magari waliyopewa vyama vya mfukoni kufanyia kampeini ni rushwa.. Lengo ni kujaribu kuhalalisha uchafu huu unaoitwa uchaguzi. Bajeti ya serikali inapitishwa na bunge, Tume waseme wametoa hizo fedha wapi...
Bwana huyu nimekuwa nikimfuatiliia sana hotuba zake hasa wakati wa kampeni ya No Reforms no Election. Alikuwa akichambua vitu mpaka nasema yes this is the leader we want in our country na si Hawa wanaosema watanunua matrekta million 10. Heche anajua kueleza, anajua kujenga hoja . Anajua Tanzania...
Kiongozi Yule mnafiki.
Alaumiwe kwa kuua upinzani nchini, alikuwa anajifanya mwanademokrasia lakini alikuwa mtu hatari.
Kupitia taarifa alizokuwa anavujisha yeye mwenyewe aliumiza wengi Sana.
Lissu akitoka segereMatata anaweza kumfukuza John Heche kwa usaliti.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan bado ana muda wa kuyaita makundi mbalimbali ya kisiasa mezani ili...
"Kuna watu waliniuliza kama mna minimum reforms ambazo zikifanywa mnaweza kuingia kwenye uchaguzi, nikaambia Yes, kwa sababu sisi sio watu wa kuongea ongea, tumeandaa paper iko serikalini, Lakini vilevile sisi sio vichaa kwa sababu tunajua kuna mambo ambayo ni ya kikatiba yanaweza kuchukua muda...
James Mbowe ambaye ni mwanachama mwaminifu wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA) anasema moja ya kitu ambacho kilikuwa kinamuumiza ndani ya CHADEMA ni Mheshimiwa Mbowe kutukanwa kwenye mitandao na viongozi ndani ya chama kuwa kimpya.
"Hakuna kitu kibaya kama viongozi kuruhusu muasisi wa chama...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama kita-'Paralysis', tukaendeleza Moto ule, sasa ndio wameibuka na hayo mambo. Zuia wasitambue Uongozi, kwamba...
"Watanzania popote mlipo hili swali tujiulize mnaifanyia nini nchi yetu, ilimadini yetu yarudi mikononi mwetu, ili vijana wapate ajira, ili mbuga zetu zitumike kwa ajili yetu, Tunaifanyia nini? sisi wote tunafanya nini?" - John Heche, Makamu mwenyekiti CHADEMA
Nimesikitika sana kusikia kuwa Heche angewakaribisha waliookatwa CCM kama CHADEMA ingeshiriki uchaguzi.
Heche kumbuka CHADEMA hii sio kama ya Mbowe ya kuwa inakaribisha mamluki alafu baada ya uvhaguzi wanarudi CCM
Umekosea sana.
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.
Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA.
Akizungumza nje ya Mahakama...
Akizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya tanzanite duniani na yenye hifadhi kubwa za wanyama duniani?
Tafiti zimefuatilia kwa ukaribu namna kauli za Heche jzinavyokubalika na kuungwa mkono.
Alipokuwa Msibani kwa kamanda mwenzao alitamka bila kupepesa macho kuwa CHADEMA na wafuasi wake haitaogopa wala kujipendekeza kwa viongozi wanaoua na kuteka watu.
Kauli hii imeungwa mkono na Watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.