heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: CHADEMA imetoa mawakili nchi nzima kwa watu wote wenye kesi za uhaini, hakuna kurudi nyuma hadi ukombozi upatikane

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuiunga mkono CHADEMA sababu ya misimamo thabiti ya Heche na Lissu

    Huu ndio ukweli usiopingika. Hawa watu hawana siasa za kibiashara kama Mbowe Misimamo yao ni kulinda rasilimali za taifa letu. Kupinga utekaji na unyanyasaji. Kupinga wizi wa kura kwakutaka katiba mpya.
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche azidiwa, akimbizwa hosptali ya taifa ya Muhimbili

    MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora. Taarifa hizi, zimethibitishwa na mmoja wa wanafamilia wa mwanasiasa huyo. Anasema, Heche...
  5. JamiiForums Tanzania Ni muujiza viongozi kama Gwajima na Heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauaji yanayoendelea

    Ni muujiza viongozi wakina gwajima na heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauwaji yanayoendelea sisi tutakinukisha tarehe 9/12 kwa wauwaji.
  6. JamiiForums Tanzania IGP aitwa mahakamani shauri la HECHE

    Mahakama Kuu Dar es Salaam imetoa hati ya wito kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na wenzake watano kufika mahakamani kufuatia ombi la mawakili wa CHADEMA wanaotaka Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, afikishwe mahakamani au aachiwe kwa dhamana. Wengine ni Afisa Upelelezi Kanda Maalum...
  7. JamiiForums Tanzania John Heche kusitisha kula kuanzia leo akiwa mahabusu

    Katibu wa familia na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mwalimu Chacha Heche, ametoa taarifa kuhusu hali ya kaka yake, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ambaye kwa siku 13 sasa amekuwa mikononi mwa Jeshi la Polisi, katika mahabusu ya Mtumba, Dodoma. Kupitia taarifa hiyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Day 14: John Heche ahamishwa kituo cha Polisi, haijulikani anapelekwa wapi

    Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma. Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa Kanda ya Kati (CHADEMA) Bi ashura Masoud. Walijaribu kuongozana na gari la Polisi lakini magari hayo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mungu kawaweka Heche na Lissu gerezani kuonyesha ukweli

    Mungu ana mbinu ambazo mwanadamu hawezi kuzielewa. Sasa hawawezi kusingizia kuchomwa kwa nchi viongozi wa Chadema. Lakini hawawezi kusingizia chama ambacho kimefungiwa wakati wa uchaguzi na walikuwa hawafanyi hata mikutano. Kibaya zaidi sasa serikali inataka kusingizia wakenya na watu ambao...
  10. JamiiForums Tanzania JE KATIBA MPYA IKIPATIKANA, LISSU, HECHE NA POLEPOLE WAKIACHIWA, MAANDAMANO YATAKOMA?

    Jana Wananchi wa Tanzania waliamua kufanya maandamano ya kupinga Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025. Miongoni mwa vitu wanavyodai ni KATIBA MPYA ya WARIOBA Iliyopendekezwa na Wananchi, PIA kuachiwa huru kwa TINDU LISSU, HECHE NA POLEPOLE, Huko Arusha nimeona wamebeba...
  11. JamiiForums Tanzania Tarime tujitokeze tumuokoe heche hakuna muda wa kupoteza wasije wakamuuwa

    Tarime tujitokeze tumuokoe heche hakuna muda wa kupoteza wasije wakamuuwa Mnajua ndugu yenu yupo wapi hivi sasa hatuwezi kufanya amani kwenye mazingira kama haya tupaze sauti tumuokoe ndugu yetu. lazima tuzuuie huu uchaguzi ila mambo haya yaishe
  12. JamiiForums Tanzania Said anataka Heche na Mnyika wapelekwe gerezani

    Mawakili Gido Semfukwe na Shaban Marijani wanaowawakilisha aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili, kwenye kesi ya jinai namba 48250 ya mwaka 2025 walioifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar dhidi ya vigogo wa CHADEMA wakiongozwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mama Heche nina maradhi ya moyo, kwanini mwanangu anafichwa?

    Shida yangu kubwa ni kujua alipo mwanangu, kwasababu watoto wa watu wengi wamepotea” Mama mzazi wa kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche.
  14. JamiiForums Tanzania Mnyika Kwa nini utoe taarifa za wapi alipo Heche, kwani wewe ndo ulimkamata?

    Katibu wetu wa Chama umenikera mno leo Kwa mara ya kwanza Kwanini utoe taarifa za wali alipo makamu Mwenyekiti wetu? Kwani wewe ndo ulimkamata? Police wamekaidi kutoa taarifa za wapi alipo, wewe Kwa kiherehere chako umeharibu kila kitu Ona tumekosa pa kuanzia Wakurya huko Tarime...
  15. JamiiForums Tanzania Familia John Heche yasema, haiko tayari kuona ndugu yao akipoteza maisha bila sababu ya msingi kwa sababu ndugu yao hana makosa

    Polisi polisi na Serikali ya Samia mbona mnazidi kutengeneza chuki zaidi kwa Watanzania, Hivi hivi utasikia Heche haonekani tena au kafungulia kesi nzito ilimradi tu wahodhfishe CHADEMA. Hii si sawa. ================== Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikihoji alipo Makamu...
  16. JamiiForums Tanzania Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Heche kufuata njia ya Mdude na Polepole

    Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole. Mafwele kapewa maagizo mazito sana . Hutaki acha, sitoi codes.
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fungueni kesi Haraka sana kumshtaki IGP aoneshe Heche Alipo kabla hawajamdhuru

    Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa. Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa Poleni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia soma > John...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Heche: Suala la Uhamiaji kusema sikufuata utaratibu kwenye suala la kwenda kumzika Odinda ni upotoshaji

    Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche amekanusha kuvuka mpaka kuingia Kenya kwa mazishi ya Waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amollo Odinga. - Mamlaka za Tanzania zilitoa taarifa zikisema John Heche alivuka mpaka kinyume cha sheria.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…