hayati

Pir Hayati-ye Sofla (Persian: پيرحياتي سفلي‎, also Romanized as Pīr Ḩayātī-ye Soflá; also known as Pīr Ḩayātī, Pīr Ḩayātī-ye Pā’īn, Pīriāī, and Pīryal) is a village in Mahidasht Rural District, Mahidasht District, Kermanshah County, Kermanshah Province, Iran. At the 2006 census, its population was 210, in 47 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Mji mdogo wa Himo usipopewa hadhi ya Halmashauri chini ya Rais Samia wananchi watamkumbuka sana Hayati Magufuli

    Kupitia mgombea wa ubunge wa Vunjo Dkt. Charles Kimei aliahidi kuishawishi serikali iweze kuufanya mji mdogo wa Himo kuwa halmashauri ili kupanua mji huo unaokuwa kwa kasi na pia itafanya maendeleo kuja kwa haraka sana sababu baadhi ya huduma wananchi wanalazimika kwenda mpaka Moshi (manispaa)...
  2. Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    RAIS John Magufuli amesema sababu kubwa ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni masharti magumu yaliyomo katika mkataba wa utekelezaji wa kazi hiyo. Jiwe la msingi la ujenzi wa bandari hiyo liliwekwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete mwaka 2015 na ulitarajiwa kugharimu dola za Marekani...
  3. J

    Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

    Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli . --+ Inasikitisha sana kuona wanapiga ngoma mitandaoni lakini ngoma ile inachezwa Bungeni na mnademka vizuri sana. Mnafanya kazi ya kulinganisha watu badala ya kulinganisha ajenda za...
  4. Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

    Habari JF, Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote Tanzia nyingi...
  5. VIDEO: Tarehe 08 Desemba 2020 Hayati Rais Magufuli akitoa amri kwa CDF kuwaajiri vijana wa JKT wanaojenga Ikulu ya Chamwino

    Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana. Asikwambie mtu, hadi mtumishi wa ndani ya jeshi amefikia kuandamana ujue yamemfika shingoni kweli kweli...
  6. Hawa ni Viongozi waliotumbuliwa na hayati Magufuli kimakosa kwa sababu za kisiasa au chuki binafsi

    1. Dr. Nyambura Moremi Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii. Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya kware, mbuzi na mapapai vikakutwa na virusi vya corona. Kimsingi, Dr Nyambura hakuwa na kosa bali...
  7. Umoja wa Mataifa (UN): Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Salama Wana Mapinduzi wa JF? Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi. Link hii hapa chini karibu tufatilie...
  8. U

    Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
  9. U

    Kisa cha kweli cha Hayati Nelson Mandela akiwa Rais jinsi alivyokutana mgahawani na Askari aliyemtesa alipokuwa jela

    THE MAN WHO USED TO URINATE ON MY HEAD WHEN I WAS IN THE PRISON Nelson Mandela: "After I became president, I asked some members of my close protection to stroll with me in the city and have lunch at one of its restaurants. We sat in one of the downtown restaurants and all of us asked for some...
  10. J

    Msukuma awajibu January na Nape asema kumkosoa hayati Magufuli ni nongwa kwa sababu wabunge wamekula viapo vya utii

    Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii. Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya...
  11. M

    Napendekeza siku ya kumbukumbu ya Hayati Jemedari Dkt. Magufuli iadhimishwe sambamba na mashujaa hawa wa kizalendo nchini

    Kama kuna Maamuzi ambayo Generalist Mimi nitayafurahia na nitazidi Kumpenda (Kumkubali) Rais wangu Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, Serikali yake na Chama chake (changu) cha CCM ni kama akiliamua hili lifuatalo. Kwamba tarehe ya Kumbukumbu (Kumbukizi) ya Kifo cha Rais Hayati Dkt. Magufuli...
  12. Tunamjeruhi Dkt. Kigwangalla, wengine wakiguswa tunawaficha kwenye kichaka cha Hayati

    KOSEA SIYO DHAMBI, NI KUUFANYA USHAURI KAMA KUTAKA KUMFUTA MTU. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na kundi la watu wakiwepo hata baadhi ya viongozi ambao wanataka kuficha madhaifu aliyoyabaini CAG kwa kigezo kuwa ni kutaka kumchafua hayati Magufuli. Upotoshwaji huu wa wazi wazi unaofanywa...
  13. A

    Je, Hayati Rais Magufuli alikuwa ni mtu wa namna gani hasa?

    Je, unaweza kumwelezea Hayati kama alikuwa ni mtu wa namna gani? Wakati wa uhai wake kwenye vyombo vyote vya habari ukiacha mitandao ya kijamii, magazeti na television, na hata vijiweni ilizoeleka kusikia sifa nyingi positive kumhusu yeye. Kwenye mitandao ya kijamii kidogo kulikuwa na watu...
  14. R

    Bandari ya Bagamoyo ndio Benchmark kati ya wanaomuunga mkono na wanaompinga Hayati Magufuli

    Wakati wa uhai wake Hayati Magufuli aliupinga mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na alisema nii kichaa pekee ndiye anaweza kukubali masharti ya mradi. Pia wakati wa uhai wake viongozi takribani wote wa CCM walijipambanua kama wafuasi wake kindakindaki na baadhi yao wakiwemo wabunge...
  15. J

    Lusinde: Wabunge wanaomshambulia hayati Magufuli wakome, wengine walikuwa hawachaguliki Magufuli akawakingia kifua. Lusinde kupewa Udaktari

    Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amesema Hayati Dkt. Magufuli amefanya mambo mengi na kuna Watu walikuwa hawachaguliki kwenye Uongozi lakini kipindi cha Magufuli walipata nafasi Amesema wanaotaka Mradi wa Mwl. Nyerere usitishwe hawaelewi faida za mradi huo na tayari Serikali imeshatumia...
  16. Rais Samia na Serikali yako mmejipangaje ili kukomesha watu wanaoendelea kumchafua Hayati Magufuli?

    Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu. Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza...
  17. Baada ya Mazishi ya Hayati Magufuli tuambiwe ni kiasi gani cha pesa kilichotumika kwenye shughuli nzima

    Kwa jinsi hii shughuli ya msiba inavyoendeshwa inaonyesha wazi kuna mabilioni ya fedha yanapotea kwa kutumia mgongo wa kumzika kiheshima Rais Magufuli. Kuna wengine bila shaka wanatumia fursa hii kupiga pesa, pesa ambazo kwa namna moja au nyingine zingesaidia mambo mengi mno MF madawa...
  18. Bila Hayati Magufuli; Wabunge, madiwani na wenyeviti wa vitongoji leo wasingekuwa kwenye hizo nafasi

    Hayati Magufuli ndiye aliyesababisha wabunge wengi kurudi bungeni kwa ubabe wake alioufanya. Madiwani nao wamebebwa kushika hizo nyadhifa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli. Wenyeviti wa vitongoji ndiyo kabisaa hata uchaguzi hatukufanya walipitishwa bila kupingwa, yote hiyo ni hisani ya...
  19. K

    Kuna tofauti gani kati ya Hayati na Marehemu?

    Kwa wale wajuzi wa lugha yetu tofauti ya maneno hayo ni nini hasa? Michango ya wadau
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…