hayana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni mashirika gani ya Umma hayana tija yanafaa kufutwa

    1. TMA (Tanzania Metrology....) What does A stand for) 2. TTCL 3. .....endelea Na haya yalitoa gawio la Samia?
  2. JamiiForums Tanzania Kama maridhiano hayana nia Ya kufichua waovu na kuwajibishwa stay way from that nonsense

    Maridhiano bila waovu kuchukuliwa hatua kali za kisheria waliosababisha Yale ya October 29 waliomchukua Polepole walio nyuma yanayondelea kwenye kesi ya Lissu aya mambo sijui kesi za Ugaidi walioko nyuma aya wawajibishwe then ndo maridhiano yafuate. Lazima tujifunze kuwajibishana mkubwa kwa mdogo
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya Wanafunzi wa CBE Mwanza Campus hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET

    Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba ajira na kujiunga na masomo ya juu. Tunapofuatilia chuoni mara nyingi tunaambiwa tusubiri bila kupewa...
  4. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Kununua Hayana Amani Kama Kuwa na Mke Wako

    Kadri vijana wengi wanavyoendelea kukua, wengi wanajikuta wakiingia kwenye mahusiano ya pesa yaani kununua malaya kuliko mapenzi ya kweli ya kuishi ndani na mwanamke. Wapo ambao kila wakitaka kuwa karibu na mwanamke lazima gharama ihusike tendo linakuwa kama kazi ya kulipia huduma badala ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ma CCM hayana akili, yalitakiwa Kumuachia LISSU, bila kusubiri MAHAKAMA, ili Waonekane kama wanatuma "SIGNAL" ya kuhitaji Mazungumzo mezani kwa US/EU

    Maana yake yangemuachia Lissu, kwakua Lissu yeye anachotaka ni KATIBA MPYA NA TUME HURU ambayo ndani yake inajali Kila Lilo la HAKI. Alafu wakamuita LISSU , wakakaa naye Meza Moja, "Bwanaee tunaendelea na mchakato wa KATIBA Mpya wa Jaji Warioba) Tume huru ya UCHAGUZI Mpya kuanzia Muundo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maji ya Kilimanjaro hayana ladha tuliyoizoea, wajitafakari

    Maji ya Kilimanjaro hayana tena ile taste (ladha) ya miaka 10 iliyopita, mengi ni ya ladha ya chumvi.... Kampuni ya Kilimanjaro waonye waache uzembe... Hali kadhalika Kampuni ya Sequa maji yao ni muda mrefu wadau kadhaa wamekuwa wakiyalalamikia yananuka harufu ya udongo, kampuni hiyo ipo mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania Haya maembe yasiyo na kokwa/mbegu yakifika bongo washamba hawatasema ni freemason au GMO?

  8. JamiiForums Tanzania Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

    Hapo hakuna mpenzi, bali umepata msaidizi wa kula hela zako. Unakuwa na mwanamke asiyekushauri namna ya kutafuta hela, bali yeye anakushawishi namna ya kutumia hela ulizozitafuta kwa jasho, juwa kabisa hapo hakuna mapenzi.
  9. JamiiForums Tanzania Maisha hayana formula: Nani ajuaye kesho yake?

    Pichani ni Dorothy Muoma aliyekuwa mwanasheria mashuhuri nchini Kenya ambaye aliwahi kuhudumu kama Hakimu katika Mahakama ya Kitale. Katika kilele cha taaluma yake, alijulikana kwa mamlaka yake makubwa, utajiri, na maisha ya kifahari. Hata hivyo, maisha yake yalibadilika ghafla baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nini kinachangia makampuni ya mabasi kufa, pindi waasisi wanapokufa au kuwaachia watoto?

    Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa. Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz, Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani. Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana hasa wa Kizanzibar na DSM, sikieni, Haya maneno eti "KWANZA UMENIKUTA MJINI" hayana maana yoyote ikiwa bado wewe hoehae wajitafuta

    Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia Wazanzibari (Hasa watoto wa hapa Forodhani) na sasa vijana wa kitanzania kwa ujumla wake Yale mambo baadhi ya vijana watamba nayo eti kuzaliwa maeneo ya Forodhani, Kariakoo, Ilala, Temeke au wasema "mimi nimezaliwa hapahapa Kinondoni wala si Mtu wa kuja🤣 Mfano...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Maisha unabidi uyape maana maana hayana maana

    Habari wanaJF?, Kuna siku utanielewa kwamba vyote tulivyokuwa navyo ni kwajili ya kujifariji na kuyapa maana maisha . Kwanzia magari,nyumba ,Mke na watoto. Siku vitu hivi ukivipoteza unakosa maana ya maisha kabisa. Ni sababu zipi ambayo zinakufanya mpaka saivi haujajiua? (Nikawa na maana kifo...
  13. JamiiForums Tanzania Machafuko ya Disemba 9 hayana sura ya Kisiasa bali ni chuki ya Mihemko ya kidini

    Naamu Hakuna Msiba unaokosa Matanga na ukiona Moshi ujue kuna Moto Utawaka au Umewaka. Bado Watanzania tupo katika Majonzi ya Ndugu zetu waliopata Maafa ya D29 ambapo ni masikitiko makubwa yanatokana na dhamira ya watu wachache kujitafutia umaarufu na Kujilimbikizia Mali kupitia Majukwaa...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majizo, wasanii wanapaswa wawajibike kwa Makosa yao. Masuala ya kuajiri sijui kujiajiri hayana maana kama hawako upande wa wananchi

    Hamjambo wote! 1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba wameamua kuwapiga Pin. 2. Tunapoelekea kwa kiwango cha awareness na elimu ndani ya jamii...
  15. JamiiForums Tanzania mauaji na ukatili wa Oktaba 29 hayana dini, eneo wala jinsia

    Naona mashehe wengi ambao ni mashehena wameamua kuugeuza uislam uchawa. Wanatetea ukatili na mauaji ya Oktoba 29 sijui ni kwa sababu ya dini au uchawa na udini. Mie sijui.
  16. JamiiForums Tanzania Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji ya raia 1000 na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania hayana mashiko

    Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe? Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Mengi yanayozungumzwa Mtandaoni hayana ushahidi, wanatumia pages zangu kupata followers

    Mtandaoni kuna maoni hasi dhidi ya Serikali au Viongozi wa Serikali, hamuoni kuna kiwango fulani Wananchi hawapendezwi na kinachoendelea? Gerson Msigwa: Mengi yanayozungumzwa hayana ushahidi, tatizo hili siyo Tanzania tu, mitandao imekuwa ikitumika vibaya katika Nchi nyingi, sasa hivi kuna AI...
  18. JamiiForums Tanzania Ila maisha hayana adabu, dunia duara

    Maisha haya shikamoo. Sikuwahi kufikiri kuna siku nayo katibu mwenezi wa chama mstaafu kuna siku naye familia yake itaomboleza kama Watanzania wengine ila maisha ni kitu cha hatari kweli. Sasha kiburi kinakuponza kila siku nakukumbusha kuwa unamjua Jiang Qing hili Mama lilikuwa katili kushinda...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Haya ni manyangau, hayana hata aibu/haya/soni. Yamesha jilimbikizia mali Dubai likitokea la kutokea yanakimbilia huko na familia zao. What next?

    Haya yamesha kula nyama za watu, ukiisha anza kula nyama za mtu huwezi kuacha. Yameshakuwa manyangau , hayakamatiki. Tunatokaje hapa tulipofikia? Tumpuuze Polepole au tumuunge mkono for a second Indepencence/liberation strugle!?
  20. JamiiForums Tanzania Msaidieni apumzike. Yanayoendelea hayana comeback

    Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona Kwenye Biblia takatifu kitabu cha Mithali kuna mstari unasema .. HERI MEKO KAVU PAMOJA NA UTULIVU....! Hakuna kitu kinamaliza watu kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…