haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanga haya magoli 14 mnayozidiwa na Simba kayafunga Mayele?

    Kila siku mnapiga kelele humu kwamba Fowadi ya simba ni mbovu. Simba imewazidi Yanga Magoli 14 mpaka sasa, hayo magoli yote mliozidiwa yalifungwa na Mayele? Mchezaji wenu wa kawaida sana mnayemsifia kama vile ni malaika toka mbingu ya Soka aliyeachiwa upako na Pele. Hebu acheni mambo yenu!
  2. JamiiForums Tanzania Tukisema Simba sc ni timu kubwa Africa huwa mnabisha haya jioneeni wenyewe hapa

    Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho. Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.
  3. JamiiForums Tanzania Haya mabango ya barabarani yamenifurahisha

    Habarini wana JF, kiufupi mimi shughuli zangu za kutafuta coins nazifanyia tu hapa hapa mtaa fulan huku Dodoma, ila zilipita siku nyingi kidogo kama mwezi hivi sijaenda town. Sasa leo nikaona acha niende huko mjini kununua mahitaji kidogo, aisee nimeshtushwa kidogo baada ya kila kona ninayopita...
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu haya kabla hujafa/kupoteza uhai katika ulimwengu huu wa mwili na roho

    1. Usingizi 2. Ndoto 3. Mateso 4. Ridhiki 5. Afya 6. Uhuru • Ushawai kuota ndoto yenye mateso,haya unatambua kuwa usingizi ni nusu kifo? na ushawai kuota umeumwa na unapelekwa hospitalin ila gafla ukashutuka na ukajikuta uko na (Afya njema kabisa🙏) ukaamka na kwenda kutafuta Ridhiki, unapata...
  5. JamiiForums Tanzania Kocha mpya taifastars :Kashinda sawa lakini apite hapa atueleze haya..

    Ushindi usitunyamazishe huyu kocha tumhoji kikosi aliita yeye? Je anauhakika gani wa viwango vya wachezaji aliowaita Kama vile Beno kakolanya alimuona wapi kwenye ushindani? Hivyo hivyo kwa metacha toka mwezi wa 12 amecheza mechi 3 tu yeye kocha anauhakika gani wa kiwango chake,, Feisal hana...
  6. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Marburg ni nini? Majibu sahihi haya hapa

    Marburg ni nini? Kwa mujibu wa WHO, virusi vya marburg ambavyo ni sawa na virusi hatari vya Ebola, viligunduliwa kwa mara ya kwanza baada ya watu 29 kuambukizwa na saba kati yao kufariki dunia mwaka 1967 huko Marburg na Frankfurt, Ujerumani pamoja na Belgrade huko Serbia. Hata hivyo, WHO...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaoanza biashara zingatia haya

    Kijana kama unataka kuanza biashara ili uweze kufika pale unataka hakikisha mambo haya una yazingatia 1.Panga chumba ama jengo la biashara kwa mtu ambaye ni muelwa hii itakusaidia kipindi ukikwama kodi. 2.Kuwa muwazi kwa baadhi ya mambo kwa mmiliki wako wa jengo hili litakusaidia kukuvumilia ...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Haya ya kweli? Muda huo miaka ya 1724 camera zilikuwepo ?

    History and Mystery Lovers homas Fuller, an African sold into slavery in 1724 at the age of 14, was sometimes known as the “Virginia Calculator” for his extraordinary ability to solve complex math problems in his head. He was asked how many seconds there were in a year and a half, he answered...
  9. JamiiForums Tanzania Nawatakia Waislam wote Ramadhan njema, haya ni yangu machache

    NAWATAKIA WAISLAM WOTE RAMADHAN NJEMA, HAYA NI YANGU MACHACHE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ninapenda kuwatakia Waislam wote Ramadhan njema. Mwezi huu ni muhimu katika dini ya kiislam kwani inaaminiwa kuwa ndio mwezi ambao Quran tukufu ilishushwa Kwa mara ya Kwanza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani

    ~ Tozo kandamizi. ~ Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani. ~ Maisha kupanda bei, leo hii kula mlo mara mbili ni anasa. Maana maharage tu ni Tsh. 3,000. ~ Kufutia mafisadi makosa huku wasio na urafiki nae wakisota gerezani ~ Ndege za waarabu kushusha makontena hifadhi za taifa.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mataifa yanayoongoza kuuza Silaha Afrika, ndio wanaochochea migogoro?

    Watu wengi wamekuwa wakisema nchi za Afrika zina migogoro na vikundi vingi vya waasi sababu ya biashara ya silaha ya mataifa ya nje ambayo yamekuwa yakiuza silaha kwa vikundi vya waasi Haya ndio mataifa yanayoongoza kwa kuuza silaha za mauaji Afrika
  12. JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi haya ndiyo Mafanikio Kuntu ya Rais Samia kwa hii miaka yake Miwili Madarakani

    1. Kiwango cha Ujinga ( Ungumbaru ) kwa Wananchi wa Taifa lake Kuongezeka. 2. Utamaduni wa Visasi na Chuki kwa Waliokuchukia na Usiowapenfa Kuongezeka. 3. Kiwango cha Elimu Kushuka na kuwa ICU huku Ufaulu wa Kisiasa kwa Wanafunzi Kuongezeka. 4. Kiwango cha Wanaume wengi kupenda kuwa kama Dada...
  13. JamiiForums Tanzania Jamani Mapenzi haya dah, acha tu

    Katika pita pita zangu mitaa ya Kariakoo ' Nikakuta Jengo kubwa Kama Ghorofa Nane linabomolewa...Nikauliza why nikaambiwa Mangi mmoja Kanunua Anabomoa Ajenge upya lingine maana site Hakuna. Bei Tsh.1.2b hiyo manunuzi tu. Bado Gharama ya kubomoa na kujenga Mjengo wa ghorofa 10, mpya wenye Maduka...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Lema aliwahi kutabiri na yakayokea, kuna la kujifunza au ni coincidence?

  15. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  16. JamiiForums Tanzania Zingatia Haya Ili Kuipita Changamoto/ Shida Unayopitia.

    Kwanza ujipe muda ili kuitatua changamoto yako. Changamoto na shida zinaweza kutokana na; Makosa yako mwenyewe kwa kurudia kosa, Makosa ya wengine mpaka yamekuathiri, Makosa katika kufanya kitu kipya, Kukosa rasilimali za kutimiza malengo yako, au Kuwa katika sehemu mbaya, isiyokufaa...
  17. JamiiForums Tanzania Wanasiasa mpo wapi? Watu wanauawa sana. Mmenyamaza kabisa hamyasikii na kuyaona haya?

    Week hii aliuawa dada mmoja huko Kibaha, Week hii hii tena kuna dada kauawa huko Musoma. Ukirudi nyuma weeks mbili ago kuna mtu aliuawa na mwingine alipatikana baada ya kupotea kwa muda fulani. Kuna watu kadhaa wamepotea na kuuawa lakini sisikii Waziri, Naibu , Wabunge wala wapinzani wakikemea...
  18. JamiiForums Tanzania Leo ni miaka 2 tokea kifo cha Hayati Magufuli

    Miaka 6 ya utawala wa Mwendazake ilikua ya Machozi, Jasho na Damu kwa Watanzania. Haya ni baadhi ya matukio niliyoyakumbuka kwa haraka, baadhi yalitokea nikiwa huko nyumbani na mengine yametokea nikiwa nimeshaondoka. 1. Alizika uhuru wa vyombo vya habari na kutia saini sheria kandamizi kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kama una mtoto/ndugu wa kiume mfundishe haya

    Mwanaume anasemwa kutokana na mafanikio yake. Sio lazima kuwa Bakhresa. Ila ni ile thamani anayoongeza kwenye jamii inayomzunguka. Mtu anayechota maji mtaani anathaminiwa kuliko mtu anayekesha kwenye vibanda vya kucheza gemu. Hivyo ajitahidi aweze kipengele fulani cha maisha na akitumie...
  20. JamiiForums Tanzania Haya ndio mazingira ya soko kuu la Samaki Hai

    Hili ndilo soko kuu la samaki kwa sasa lililopo eneo la Maili Sita katika Wilaya ya Hai Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wa samaki waliohamishiwa eneo hilo walikabidhiwa eneo hilo lisilokuwa na miundombinu yoyote inayoendana na aina hiyo ya biashara. Hakuna miundombinu ya vyoo maalumu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…