haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Hamas waliyokubali ili vita visimame.Na kama Israel itayakataa basi bora vita viendelee

    Msemaji wa Hamas,Osama bin Hamdan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut jana Jumanne, amesema iwapo Israel itaendelea kutoyazingatia mambo hayo na kuendelea na kuivamia Rafah basi hakuna namna nyengine ila ni kuendeleza vita. Walichokubali Hamas ni : 1 .Kuwepo usitishwaji...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka haya mambo ninakiri kabisa tumetoka mbali na nchi yetu ilikuwa masikini mno

    Wakuu bado hatujafika tunapotaka ila kiukweli kuna hatua tumepiga kwa miaka hii. Haya ni mambo ambayo yalikuwepo ndani tu ya miaka isìyozidi 30. 1. Shule za sekondari zilikuwa chache mno kiasi kwamba kwenye darasa la wanafunzi 60 wanaopata nafasi ya kujiunga kidato cha kwanza labda ni watano...
  3. JamiiForums Tanzania Maziwa gani yanakukosha kati ya haya?

    Eti ni maziwa gani yanakupa ladha murua kati ya haya mawili?
  4. JamiiForums Tanzania Haya wale Wagonjwa wenzangu wa Ugonjwa wa Kitajiri wa Pumu (Asthma) leo ni Siku yetu ya Kimataifa

    Zifuatazo ni faida chache walizonazo Wagonjwa wote wa Pumu ( Asthma ) duniani 1. Wengi wao huwa ni Werevu sana 2. Wataugua Magonjwa yote ila kamwe hawatapa UKIMWI ( Dally Kimoko ) 3. 99% huwa au huja kuwa Matajiri sana kwani Kiasili huu ni Ugonjwa wa Kitajiri na Matajiri 4. Katika Mapenzi...
  5. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

    Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi Hakuchukua muda mrefu Chuma inayoshikilia tairi limekatika
  6. JamiiForums Tanzania Haya mambo ikiwa umetokea familia masikini hauwezi kuyajua.

    Katika MAISHA ikiwa umetokea familia masikini unaweza kuwa na haya mawazo au fikra hizi. Pesa au mali za urithi zinaweza kukufanya na wewe kuwa na mali. Ni rahisi Sana kuzaliwa ukiwa mtoto wa kishua Ila kuwafanya watoto wako na wajukuu zako kuwa wakishua. Inakuhitaji Kuwa na maono katika...
  7. JamiiForums Tanzania Fanya haya ili udumu na mkeo

    1.hakikisha una mmudu hakuna kitu kinacho mvutia mwanamke/kinacho mshawishi mwanamke kuamua kuolewa au kuishi na mwanaume zaidi ya tendo la ndoa Yale Mambo ya vyakula sjui out nyingi magari fedha havina maana Kama mwanamke hatosheki kwenye swala la ngono Kwa maana hiyo unapo amua kuishi na...
  8. JamiiForums Tanzania Haya njooni mnipe hizo program za kuflashia simu

    wakuu kichwa cha habari kinajielza njooni mnipe program za kuflash simu nipo kijijini nijitafutie hela ya vocha hapa maana kuna changamto ya kuflash simu NAWASILISHA
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Nimeajiriwa ngazi ya chini Serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. Mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi changomoto sijajipanga. Niwaza hadi nimefika mwisho sijui nifanyeje, nina madeni mengi, na hapo hata...
  10. JamiiForums Tanzania LUKU za Maji zinakuja lini jamani ili haya mabili ya kubambikiziana yaishe?

    Naomba nikikumbukushe Mhe. Waziri Mama Samia alituhidi Mita za Maji na akasema hataki tena kusikia mambo ya kubambikiziana bili ya yule peleka huku ya huyu weka kule zife Kiukweli inasikitisha inatia aibu hasa Dar es Salaam ongezeko la mabili linaendelea kama kawaida ..unit wanazokupa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Chapakazi Dodoma: Je, unashida gani ndani ya jiji la Dodoma? kutokana na ubize wako huwezi kufanya ? haya kijana wako nipo hapa nitume nikutumikie

    Habari za kazi wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku, Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu na chapakazi sitaki nizungumze sana ila ufanyaji wangu wa kazi utajieleza. lengo la kuandika uzi huu maalumu ni kwamba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa napenda kukutaarifu boss wangu natuma...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa msimu huu haya ndio Mafanikio ya Simba sc (MAKOLO) mpaka sasa

    Wakati msimu wa 2023/2024 ukiwa unaelekea ukingoni huku mbumbumbu Fc, wakijanasibu kuwa wamepania kwelikweli kufanya makubwa katika dakika za jioooooooooooooooni kabisa za ligi ya NBC, yafuatayo ni mafanikio kutoka umbumbuni mpaka wakati huu msimu ukiwa ukingoni 1. Ngao ya jamii ✅ 2. Muungano...
  13. JamiiForums Tanzania Haya wale Bana Wenge BCBG Wenzangu hapa JamiiForums mmeshasikiliza Wimbo mpya unaotamba sasa Congo DR wa JB Mpiana uitwao ZEBUKA?

    Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au Ufaransa au Ubelgiji au Marekani ( hasa Mji wenye Wakongo wengi wa Dallas ) au Rwanda na Burundi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

    Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na kiti chake cha ikulu kwenda kukalia kanisani,sawa na alivyofanya Makamo wake wa Rais. Hili jambo kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali fanyeni haya ili tutoe ushindani AFCON 2027

    Nikiwa kama mdau wa michezo hasa Mipira wa Miguu, nashauri Serikali kufanya haya ili kuboresha kiwango cha mpira nchini, na hata ushiriki wetu kwenye mashindano yajayo ya AFCON,2027 yatakayo fanyika nchini kwa kushirikiana na wenzetu wa Kenya na Uganda. 1. Tutafute Kocha wa daraja la juu...
  16. JamiiForums Tanzania Ngono ni hitaji namba 3 kwa mwanamke. Lazima uanze kumpa haya mawili kwanza

    Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko. Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke. 1: Chakula. 2: Mavazi. 3: Ngono. Kabla hujajiandaa kupiga misamba na style mbalimbali za kumfaidi mwanamke wako hakikisha kwanza unamlisha vizuri...
  17. JamiiForums Tanzania Unapopata nafasi ya kuwa karibu na Viongozi zingatia haya

    UNAPOPATA NAFASI YA KUWA KARIBU NA KIONGOZI/ MTU ANAYEKUZIDI KIPATO/ MAARIFA/ DARAJA/ CHEO, ZINGATIA HAYA Na Comrade Ally Maftah Ukitaka kufanikiwa ni lazima ujenge ukaribu na watu kadhaa wanaokuzidi maarifa/ elimu / kipato / kipawa / ushawishi / mvuto / cheo, kwa lengo la kupata nafasi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
  19. JamiiForums Tanzania Mchinjita: Yafanyike haya ili kunusuru Mwendokasi

    Ili kunusuru Mradi wa Mwendo Kasi, ACT Wazalendo Tunapendekeza yafuatayo; i. Mfumo wa Kielekroniki wa kukusanyia nauli uliotelekezwa, ufungwe maramoja na uanze kutumika. ii. Bodi ya wakurugenzi ya DART ivunjwe yote na kuundwa upya, kwa kuzingatia wataalamu wa sekta ya hiyo ambayo itauendesha...
  20. JamiiForums Tanzania Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu. Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…