haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA yaomba michango kuzindua kampeni Nyamagana

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza. Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
  2. JamiiForums Tanzania Hawa wanajifunzia wapi haya mambo?

    https://www.facebook.com/reel/901390448542878
  3. JamiiForums Tanzania Kukosa haya vs kuwa na confidence

    Hii kitu inanisumbua sana na kuona kama sijiamini patelea pote. Haiwezekeani unajenga kujiamini na kuacha kuwa mstaarabu. Kjna mtu nakutanaga nae kufanya kazi moja mbili tatu...huyu bwana najikuta napata maswali, je sijiamini au ? Au sija job mastering, naona uwezo ni mkubwa tu. Huyu mtu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, haya maji ni salama? Tulipata maji haya Geita mwaka 2019

    Maji haya yalifika kwa wingi mkoani kwetu Geita mwaka 2019. Sasa naomba kufahamu kwa matumizi ya kupikia yako salama kweli? 👉Na hayo mapovu meupe ni chemical gani ambayo imetumika? Maana yanakaa kwa dakika 6 ndio yanakuwa kwenye normal state ya colorless 👉Lakini kwanini maji yanakuwa machungu?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Je, yapo majengo mangapi Kariakoo yaliyoongezwa kwenda chini (underground floor) na wamiliki?Wanaofanya haya wanapewa kibali na serikali?

    Baada ya kuanguka ghorofa huko Kariakoo chanzo kinadai mmiliki alitaka kuchimba chini ajenge underground floor kwa ajili ya kuongeza fremu za biashara. Naamini huyu siyo mmiliki wa kwanza kufanya hivi, amefuata nyayo za wamiliki wengi waliotangulia. Naamini pia kwamba majengo yaliyochimbwa...
  6. JamiiForums Tanzania Pengine kwenye hili wataona haya ama wataona aibu

    Juzi kwenye bango la tangazo la msiba wa mwanamziki mkongwe King Kikii waliambatanisha na picha ya mama.. Hii ilikuwa ni aibu kubwa na Nilikuwa kituko cha karne! Wengi walihoji.. Jamani hata kwenye misiba!? Leo tumepata janga pale Kariakoo baada ya jengo moja la ghorofa kuporomoka na kufukia...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Dar Es Salaam, ningefanya haya kujiandaa na Majanga na wakati wa Majanga

    Ndugu zangu wana Jukwaa, poleni kwa sote kwa yale yanayoendelea. Tuendelee kuweka nguvu zetu kwa panoja ili hatimaye hatua za uokoaji ambao serikali imeshaingilia kati ziweze kulete manufaa kwa wahanga. Pamoja na hayo ni vema tukatumia wakati kama huu kabla watu jawajasahau( watanzania ni...
  8. JamiiForums Tanzania Bwana yawezekana kupitia machozi haya kesho yangu haitakuwa hivi tena

    BWANA YAWEZEKANA KUPITIA MACHOZI 😭 HAYA KESHO YANGU HAITAKUWA HIVI TENA Mungu wangu nakushkuru kwa neema hii ya majira haya ya usiku. Ni mapenzi yako tu mimi kuendelea kuwa hai. Asante kwa neema hii🙏 Bwana yawezekana maisha ninayoishi leo au mapito ninayopitia nimesababishiwa na mtu au ni...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Salam kutoka Marekani: Mkisikia nimerudi bila damu ni kwa sababu ya masuala kama haya

    Sijawahi kutoa damu ila kwa hii hela mimi niogope kutoa damu iliweje. Fikiria ukitoa damu unapata dola 10. Nikitoa mara kumi nakuwa na dola 100. Sasa chukua dola mia, nikienda kumuua Yanga akicheza na Tabora hiyo hela itakuwa sh ngapi? Haya bado pia hapo nakuwa nimeingia kwenye bahati ya...
  10. JamiiForums Tanzania Sheria iliyopitishwa na bunge inayowaruhusu maafisa usalama kutenda jinai na wasihojiwe ndiyo inatuletea matukio haya ya watu kuuawa na kutekwa.

    Very painful Karne ya ishirini na moja unaruhusu binadamu mwenziyo kuuawa na kuteswa kwa kisingizio Cha kutekeleza majukumu. Nani asiyejua Kuna bahati mbaya na ndiyo maana kwenye makosa ya mauaji yapo ya kukusudia na Yale ya kutokusudia. Sasa inakuwaje bunge letu, Baraza la mawaziri pamoja na...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wote kuweni makini sana Mwanamke anapokuambia haya maneno kuwa anahitaji Care, Attention, Support na Honesty, kwani humaanisha hiki kifuatacho

    Wanachokimaanisha hapa hawa Wanawake si hasa hayo Maneno Manne tajwa hapa katika Kichwa changu cha Habari bali ukitaka kujua / kukijua kile wanachokimaanisha hasa nakuomba chukua kila Herufi za mwanzo za hayo maneno yaani katika Care chukua herufi ya mwanzo ya C, katika Antettion chukua herufi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania 'Nikipata kile kiasi nusu yake nitaweka nitatunza" maneno haya si mageni

    Za asubuhi wapambanaji mapambano mema. Mufanikiwe katika Harakati zenu za Kila siku. 'Msisahau kuweka akiba. " maneno haya si mageni... Kuna maneno ambayo si mageni masikioni?? Ebu tuyataje
  13. JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

    Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini. Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida, usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa kwako li akampeleke kwa mganga mpya. Ni mara chache sana kukuta mwanamke wa kisukuma ni tasa, kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu hebu nisaidieni, inawezekana mimi ni mgeni kwenye haya mambo

    Salaam wakuu. Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama. Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini. Nawasilisha...
  15. JamiiForums Tanzania Rafiki huwa anapenda kuniambia maneno haya

    “Mhaya, kwenye maisha yako kamwe usiwaingilie watu wa jinsi tofauti ambao wamewahi kulala kitanda kimoja wakiwa uchi.” Anamaanisha nini? Usijifanye sana mshauri kwenye doa za watu, usijifanye kupeleka maneno kule ili watu waachane. Usijifanye kumuwekea dhamana mwanamke ama mwanaume kwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

    Unaweza kudhani ni kweli kabisa Mzee Baltazar alisafisha kweli wanawake 400; dunia ya sasa imekuwa ni mazombi, just play with social media. they believe everything from the social media without critical analysis, cha ajabu hata vyombo vya habari now days vimekuwa useless, wapo busy na nani...
  17. JamiiForums Tanzania Naona dhahiri vyama vingine vya upinzani vimetendewa haki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT. Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana...
  18. JamiiForums Tanzania Mshamba wa jiji nahitaji msaada wa kufika maeneo haya

    Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza scania mende hii ni kwa ajili kuweza kufanya matanuzi na kukamata wachumba kede kede wa daslam...
  19. JamiiForums Tanzania 2024 US Election Results: Too Big To Rig, Really?-Makubwa Haya!

    Salaam wanajamii na hasa wafuatiliaji wa jukwaa hili. Ni jana tu tumepata matokeo ya uchaguzi ya ndugu zetu wa Marekani, ambapo Trump, Donald aliibuka Kidedea. Sema nimeshangazwa kwa nini jukwaa hili halikuchangamkia uchaguzi wa mwaka huu wa Marekani! Wadau wataeleza. Trump apongezwe kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

    Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika) Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi. Akasema kama una...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…