hawafai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BIG BROTHER ALEX

    KIDUKU, CHINA, URUSI, WAKIJA ETI WATAKULINDA DHIDI YA MAREKANI WAFUKUZE, HAWAFAI

    KWA Maduro Venezuela tukasema MMH hakuwa na makubaliano ya kumlinda, tukafunika kombe, Mmmh HATUJA KAA SAWA mara KHAMENEI hatunae, TENA HUYU walimhakikishia kabisa wakajifanya KUSIMAMA kidete, Kiko WAPI, HAWA JAMAA Nina mashaka na UWEZO WAO KWA KWELI Yani hakuna jaribio walio zuia, ni...
  2. Pdidy

    Ushauri kwa mzee wangu Mangungu Zanzibar njoo na mabaunsa hawa watu hawafai

    Ushauri wangu ni huu🤝🤝🤝🤝🤝🤝👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
  3. mirindimo

    Walioko ofisini nafasi za juu lakini hawafai kuwepo walitakiwa kushtakiwa

    Yale mauaji ya October 29 yaliyo ongozwa na Polisi wetu kuanzia aliesababisha mpaka alieshiriki kuua hapaswi kua Ofisini sasa hivi.Aliekua anampa report Rais kua wale ni raia kutoka nchi jirani yule ndio angekua wa kwanza kuacha kazi na kushtakiwa. Halafu Polisi waliosema kua ni AI sasa hivi...
  4. Busu la Kenge

    Hawafai kuitwa Binadamu

    Kuua watu na kutupa kwenda kuzika bila kuwapa miili ndugu zao. Nyie ni wanyama hata wanyama wana ustaarabu kuwaliko. R.I.P Robati na wengine wote mliodhulumiwa nafsi.
  5. H

    Kama wasio wasomi hawafai kuwa viongozi basi kura zao pia hazifai wajipigie kura wasomi!!!

    Huo ndiyo uhalisia hakuna haja ya wasomi kuomba kura kwa wasiowasomi wakajichague wasomi wenyewe basi!!
  6. G

    Majasusi wa Urusi wamkabidhi beji maalumu Rais Traore , huku wakitoa mienendo mibaya ya Marais karibu Asilimia 90 WA afrika hawafai kubebwa na Urusi.

    Ripoti za Siri zimevuja Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi. Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba...
  7. C

    Kama bodi ya ligi wanaficha jina la kiingozi aliyepiga simu kuzuia Simba wasifunguliwe geti,basi hawafai kuwepo kazini

    Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha. Unaacha kumtaja ili ulinde hadhi yako wakati yeye yupo na anaendelea kuwasapoti wanaosema hatuchezi!Huu ni...
  8. Z

    Kama viongozi waandamizi wa Chadema wamebaini kuwa Lissu na Henche hawafai kuwa viongozi wa Chama, wewe unasubiri nini?

    Chadema tayari imesha kufa KIFO CHA MENDE. Kama una macho, masikio na akili haina haja kuambiwa kila kitu. Kama Salum Mwalimu, Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge wameamua KUJITENGA NA LISSU NA HENCHE basi elewa kuwa huo ni USHAHIDI TOSHA kuwa LISSU na HENCHE HAWAFAI KABISA kuwa...
  9. Knock life

    Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi

    Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi
  10. R

    Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  11. The Palm Beach

    One on one Interview: Mch. Godfrey Malisa (anayesemekana kufukuzwa CCM) akifungukuka. Asema wamevunja katiba, hawafai kuwa viongozi tena..!!

    https://youtu.be/-NdDsArLVlU?si=eH35yrxDVCmdL3QM ➡️Huyu mzee anayesemekana kuwa amefukuzwa uanachama CCM, ni wazi kuwa yuko so determined kuhakikisha kuwa mchakato wa kumpitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea urais huko CCM unarudiwa kwa kufuata taratibu na katiba...
  12. K

    Watu niliokuwa nawaamini wakati mdogo, nilipokuwa mkubwa nikagundua kumbe hawafai kabisa

    (1)Watu wazima nilijua ni wema hawatendi Zambi,kama kuiba na kuzini,kumbe mmhhhh (2)Viongozi wa dini nilijua wanamuwakilisha Mungu kutokana na yale wanayoyaonge kumbe,,,,,,,,, (3)Wanasiasa na majina yao makubwa,niliwaheshimu sana wakati nawasoma shule nilipokuja kuwa mkubwa nimegundu ni wezi...
  13. Allen Kilewella

    PreGE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
  14. William Mshumbusi

    Viongozi Simba hawajitambui. Eti Mgunda hawafai? wanatafuta kocha Takataka yoyote kutoka nje? au wanatafuta kocha wa Mshahara mkubwa.

    Mgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
  15. MSAGA SUMU

    PreGE2025 Mohamed Kawaida: Lema aache wivu kwa Makonda, demokrasia iliona wote hawafai 2020

    Mwenyekiti wa UVCCM taifa ndg Mohamed Kawaida amemtaka aliyekuwa mbunge wa Arusha ndg Lema aachane mara moja na CCM pamoja na Makonda na badala yake ambane mwenyekiti kuhusu matumizi bora ya pesa za Chadema. " Nimekuwa namsikia Lema kwa siku kadhaa akimuandama mara kadhaa katibu wangu mwenezi...
  16. S

    Makonda anaeneza ukabila? Ni nini kinamfanya aongee kisukuma huko usukumani?

    Hii tabia ya kuongea kisukuma akiwa mikoa ya wasukuma ni hatari, ni kueneza ukabila. Kwani watanzania wengine hawana lugha yao? Kwanini wasikitumie? Samia unatengeneza bomu. Hilo jamaa halifai anapsua nchi. Kisukuma kilivyo kibaya mi ningeona aibu kukitumia tena karne hii.
  17. georgeallen

    Simba achaneni na kocha Nabi; hafai na hawafai kwa lolote. Bora mara mia mumrudishe robertinho

    Nawatahadhirisha simba waachane na Nabi na Kishingo. Hawa makocha hawana jipya la kuiokoa simba kucheza relegation playoff.
  18. Meneja Wa Makampuni

    DED na DC wa Wilaya ya Mtwara Waliohamisha Mradi Hawafai Kukaa Ofisini: Rais Dkt. Samia Amechukua Hatua Sahihi kwa muda sahihi

    Nakupongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya uamuzi wa kuwatimua kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya (DED) na Mkuu wa Wilaya (DC) wa Wilaya ya Mtwara, kufuatia maamuzi yao ya kuhamisha mradi kutoka kata moja kwenda kata nyingine kutokana na...
  19. M

    Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

    Kuna Jumong na A man called god zote ni korean, mtaalamu akiwa Song il gook, a.k.a Jumong Jamani tuacheni maskhara, kwa upande wangu, movie/series zitakuja na kuondoka, hizi mbili ni mwisho pongezi kwa wote waliofanikisha hizi series (directors, actors, etc), wamefanya kazi kubwa sana kwa...
  20. J

    Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

    Sio mpenzi sana wa kuanzisha mada za kikabila, ila ukiona kabila au jamii yako yoyote, iwe ukoo, kabila, nchi, au race inashmbuliwa unfairly lazima uweke mambo sawa Kuna mada imeanzishwa hapa kushambulia "wanawake wa kaskazini" kuwa ni wanawake wasiofaa kutokana na sababu alizozitoa mtoa mada...
Back
Top Bottom