hatuna

The Håtuna games (Swedish: Håtunaleken) were a 1306 conflict between Birger, King of Sweden (1280–1321) and his two brothers, the dukes Eric Magnusson (ca. 1281-1318) and Valdemar Magnusson (c. 1282–1318).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi ya wazalendo wachache

    Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi wa wazalendo wachache. Kwenye ukanda wetu Tanzania ndiyo nchi ambayo siasa zake hazileti maendeleo yeyote ya maana. Mpangilio wa serikali yenyewe ni wa kibaguzi na unapendelea Wanzanzibari wachache. Mahakama ni za kisiasa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  3. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kigoma hatuna deni na Mama

    Kigoma Hatuna tena deni na Mama; 1. International airport imejengwa, 2. Lami mpaka mlangoni, 3. Ambulance boats kama zote Lake Tanganyika. 4. SGR mpaka Burundi.
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji kufanya majaribio Rais Samia ameweza kuivusha salama Tanzania hatuna budi kumuamini muda mwingine tena

    Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena. Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yanga wamebeba ubingwa mara nne mfululizo, msimu huu wamechukua makombe yote hapa Tanzania na kisha wakatufunga mechi zote, Simba hatuna Wazee

    Wazee wetu walioshiba makande wameendelea kuongeza mgogoro ndani ya timu yetu, hawaoni shida ndani ya timu yetu, wanaona kufika fainali kombe la losers ni mafanikio makubwa ndani ya timu yetu. Yanga ameshabeba ubingwa mara nne na nilivyomsikia Injinia kule Kigamboni akisema kuwa wanapanga...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maharagande: Miaka 64 ya uhuru hatuna umeme wa uhakika

    Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu Chama cha ACT Wazalendo. Mbarara Maharagande, amewataka Watanzania kukipuuza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwakuwa kimeshindwa kutatua changamoto zao hasa kwenye upatikanaji wa huduma ya umeme wa uhakika. Maharagande ameyasema hayo wilayani Tunduru kwenye mkutano...
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Hivi wadau wa soka Bongo hatuna kumbukumbu?

    Juzi palikuwa na msiba wa mzee Ally Pazi Samatta,,media zote zilitoka na kumuaddress kama baba mzazi wa Mbwana Samatta it's true but hamna anaekumbuka kuwa mzee Samatta ni gwiji mstaafu wa soka la nchi hii? Amekuwa kamptain wa Simba na Taifastars for more than 5 years hilo...
  8. kekundu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watumishi wa Umma hatuna deni na Mh Samiah Hassan Suluhu

    Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais, toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka, kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025. TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania FAIDA⏭️AKIBA⏭️ZIADA. Ziada ndio ilipaswa itujengee nyumba, ka-usafiri, etc ila wengi wetu hatutakuja kuiona hio ziada na sio kwamba hatuna jitihada.

    Tunachoambulia ni kuinunua hio ziada kwa kukopa juu ya kukopa, tukitegemea tutachukuliapo kidogo kutoka kwenye akiba ila kiuhalisia tunajikuta tunaanza kuimega na faida pia maana ziada ya kuinunua ni tamu ina gharamas sana. Kinachoendelea ni sisi kubaki katika rotation ya mzunguko wa pesa ambao...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenda kuhiji Maka au kwingineko nje ya Afrika kana kwamba hatuna makaburi na milima?

    Nchi ya Saudia inaingiza mabilioni ya dola tokana na hija ambayo, kimsingi, ni kwenda kuzuru makaburi ya waarabu na kutupatupa mawe na kukimbia hovyo kama vichaa kwenye vilima vyao. Je Afrika hatuna haya mambo hadi tupoteze fedha na muda mwingi mbali na kuwatajirisha watu tena wanaotubagua...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna ubalozi wa Uingereza hapa nchini wakati Sisi ni koloni lake?

    Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna amani ni uoga tunadanganywa

    Watu wanafanya mambo ya hovyo kwa kisingizio ya kulinda amani na utulivu wa nchi. Najiuliza hiyo amani iko wapi kama tu ukitoa maoni unaanza kuwindwa, watu wakitekwa na kuuwawa polisi wanakaa kimya kwa kupumbaza watu uchunguzi unaendelea lakini mtu akisema ukweli polisi wanatumwa kwake kuzingira...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi kubwa 3 za Mbunge wa Tanzania.

    1. Kumsifia Rais. 2. Kuitetea Serikali, na ya mwisho ni, 3. Kujipanga kurudi tena bungeni ili kutekeleza no. 1 & 2. Hawana kazi nyingine zaidi ya hizo, mbwembwe zote mnazoziona zipo kwenye cycle hiyo. Usipotekeleza no. 1, hurudi bungeni. Straight RED card. Usipotekeleza no. 2 huwezi...
  14. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Kwa Ripoti ya Gwajima, Hatuna Waandishi wa habari Tanzania. Hao akina 'Mayalla' ni njaa tu kweli

    Wasalaam Sio nia yangu kuwadharau lakini ukweli ukinambia umesomea mambo au Taaluma ya uandishi wa habari hasa hapa kwetu nakudharau sana Ndio maana ni kitu kila mtu anaweza kufanya...wengi wanafanya kazi halafu ndio wanaenda kusoma...haya naongelea kwa muktadha wa nchini kwetu Ni tofauti na...
  15. Qs Cathbert

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi binadamu hatuna plate number kama yalivyo magari na vyombo vingine vya moto?

    Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote🫠
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Chadema hawa Virusi G55 Wakishaondoka wote Tangazeni Nafasi Zilizo wazi Vijana tuje tuzizibe haraka Sana hatuna kazi huku kitaa na Degree Zetu.

    GT Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana. Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi. Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo Bwana hivi unafahamu maanda ya kuunda kweli .Ndio maana CCM wanatuona sisi hatuna Akili

    Pitapita yangu nikakutana na habari za huyu millard ambaye kwa sasa uwezi kumuona mambo ya ukweli yupo na kusubiri matukio tu. Nisioongee sana kwa mtu mwenye akili ya utanda wazi hapa kaunda nini zaidi ya kununua na kuboresha. kwani ukisema kabuni mfumo kwenye robot ni kosa.
  18. N

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kenyatta (Mwanza–Shinyanga) imekuwa changamoto

    Ukipita katika hii barabara utajiuliza maswali mengi sana. Kama kweli Tanzania tuna viongozi na serikali inayojisifu kuwa inakusanya Kodi kupita malengo. Ni aibu sana kuwa na barabara kuu Kama Ile tena katika Jiji la pili kwa ukubwa. Haina hadhi hata ya kuwa barabara ya mtaani tu. Kama Kuna mtu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Panapo uzima nitasomesha watoto wangu ulaya au Marekani waende kupata exposure, Watanzania wengi hatuna exposure ndio maana tunafeli maisha

    Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa...
  20. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Ina maana JF majobless/wenye maisha magumu ni wa kiume tu?

    Ni kawaida humu JF kwa washikaji wasio na kazi kuomba connection mbalimbali za kazi wakati huohuo wakilalamika juu ya ugumu wa maisha unaotokana na kutokuwa na kazi,sijawahi kuona hawa wenzetu wa upande wa pili wakilalamika maisha magumu au kuomba connection za kazi.Ina maana majobless wa JF ni...
Back
Top Bottom