hatuna

The Håtuna games (Swedish: Håtunaleken) were a 1306 conflict between Birger, King of Sweden (1280–1321) and his two brothers, the dukes Eric Magnusson (ca. 1281-1318) and Valdemar Magnusson (c. 1282–1318).

View More On Wikipedia.org
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Hakuna Jambo baya Kama kujidanganya Wenyewe kwamba Matatizo yetu hatuna Matatizo yapo wasikilizeni Wanataka nini?

    Tuna tabia ya Kujidanganya Wenyewe kwamba hatuna matatizo ni kweli matatizo yapo tena makubwa Sasa hivi wale ambao walikua wanajificha kwenye amani kabla ya Maadamano...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tutakuwa na Tanzania bora, leo hatuna nchi imejaa mafisadi wanajitajirisha wao wenyewe. Tupiganie nchi yetu

    Viongozi wote tuliowaamini wakishirikiana na wezi na mafisadi kama akina Rostam Aziz na wengineo wamemaliza utajiri wa nchi, hawana uchungu na nchi yetu, wakati wananchi wa kawaida wanateseka wanakosa hata jinsi ya kupata matibabu. Hao ndiyo wanaotuua kwa sababu wanaogopa maslahi yao...
  3. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni miaka zaidi ya 60 tangu tupate uhuru, ila ni kama hatuna uhuru

    Miaka 60 baada ya uhuru Tanzania hatuna wasomi wakuendesha bandari zetu mpaka tusaidiwe na waarabu? Miaka 60 baada ya uhuru bado kumiliki gari Tanzania ni anasa! Miaka 60 baada ya uhuru kuikosoa serikali ni makosa! Miaka 60 baada ya uhuru bado watanzania vilio vyao ni maji na umeme? Miaka 60...
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania Alipewa kitengo cha kutuma SMS kuhusu uchaguzi anafanya kweli ila raia hatuna mpango huo wa uchaguzi

    Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako. Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini?? Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana na kuonesha hatuna Utu. Majini yametutawala kichwani. Kumuua huyu Dogo?

    Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu. Mwangalie hapa anatabasamu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna tena uzalendo

    Ni mambo ya kusikitisha lakini ndio ukweli. Watanzania hatuna uzalendo kabisa. Kila mtu anawaza ubinafsi wa kiwango cha juu sana. Hatuko kitu kimoja.Adui akiingia,atafanikiwa kama M23 wanavyofanikiwa kuiteka Congo wapendavyo .Tumekuwa kama wacongo,hatuna uzalendo kabisa. Jambo hili ni...
  7. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Pole pole anachofanya ameamua kumuua mende kwa Nyundo , taratibu sisi Ccm hatuna hatia.!

    Pole pole ameamua kuia Ccm kifo cha Asili , taratibu polepole usifanye hivyo tafadhari.
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi hatuna VERIFIED BADGE katika profile zetu?

    Tunaogopa kujitambulisha na kujulikana kwa mamlaka au nini haswa?🤣🤣 Au it is not just worth it kuwa na verified badge?🤔
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Vyovyote vile, yakitokea Mabadiliko nchini, hatuna budi kuziunda upya Taasisi zifuatazo ili kuliokoa Taifa na Watu wake

    Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali, baada ya kuipatia nchi Katiba Mpya, hatuna budi kuzifanyia mabadiliko na kuziunda upya kabisa Taasisi...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Sasa kila Mwananchi ajipambanie kivyake

    Uzi huu utajieleza kwa picha
  11. M

    JamiiForums Tanzania RC SHINYANGA: Tunamshukuru Rais Samia ametujengea chuo kikubwa cha VETA Bugarama kwa shilingi bilioni 3.5 kwa sasa hatuna deni nae

    |||Chini ya uongozi wa Rais Samia Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, Mkoa umepokea Shilingi bilioni 155.24 kwa ajili ya kuboresha Elimu kwa kujenga na kukarabati Shule, kuongeza walimu na kuimarisha miundombinu ya Shule za msingi, Sekondari na vyuo vya kati. Mabadiliko haya yamesaidia kuongeza idadi...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai amesahau nini bungenj,waafrika hatuna akili

    Ulikuwa spika,umeshaandaliwa mafao yako ya mstaafu. Pumzika kwa heshima hutaki bado unataka kurudi mjengoni Umesahau nini huko Mtu mwenyewe mgonjwa na mfumo haukutaki tena Shame on you
  13. C

    JamiiForums Tanzania JUMA AWESO, wakazi wa goba hatuna maji wiki ya tatu sasa

    Habari za jioni bw Aweso Mm ni mkazi wa goba osterbay hapa jirani na bar ya Triple B,tuna muda wa wiki tatu hatujapata maji na wala dawasco hawajatoa taarifa yoyote ya nini tatizo. Kikawaida tunapata maji kwa wiki mara moja kila siku ya jumatano, lakini imepita wiki tatu sasa hatujapata maji...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania TUNAO WASOMI, HATUNA TAIFA — Tanzania inateketeza hazina ya kitaaluma kwa maamuzi ya kipumbavu ya kisera"

    Tanzania ina wasomi zaidi ya milioni 1.5, lakini takriban 700,000 wapo mitaani wakihangaika, wakiwa ni victims wa mfumo usiothamini maarifa (anti-intellectual governance structure). Hii si ajali ya kihistoria, ni deliberate neglect. Ni uhalifu wa kitaifa dhidi ya akili za watu wake. Kwa mujibu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi ya wazalendo wachache

    Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi wa wazalendo wachache. Kwenye ukanda wetu Tanzania ndiyo nchi ambayo siasa zake hazileti maendeleo yeyote ya maana. Mpangilio wa serikali yenyewe ni wa kibaguzi na unapendelea Wanzanzibari wachache. Mahakama ni za kisiasa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kigoma hatuna deni na Mama

    Kigoma Hatuna tena deni na Mama; 1. International airport imejengwa, 2. Lami mpaka mlangoni, 3. Ambulance boats kama zote Lake Tanganyika. 4. SGR mpaka Burundi.
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji kufanya majaribio Rais Samia ameweza kuivusha salama Tanzania hatuna budi kumuamini muda mwingine tena

    Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena. Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Yanga wamebeba ubingwa mara nne mfululizo, msimu huu wamechukua makombe yote hapa Tanzania na kisha wakatufunga mechi zote, Simba hatuna Wazee

    Wazee wetu walioshiba makande wameendelea kuongeza mgogoro ndani ya timu yetu, hawaoni shida ndani ya timu yetu, wanaona kufika fainali kombe la losers ni mafanikio makubwa ndani ya timu yetu. Yanga ameshabeba ubingwa mara nne na nilivyomsikia Injinia kule Kigamboni akisema kuwa wanapanga...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maharagande: Miaka 64 ya uhuru hatuna umeme wa uhakika

    Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu Chama cha ACT Wazalendo. Mbarara Maharagande, amewataka Watanzania kukipuuza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwakuwa kimeshindwa kutatua changamoto zao hasa kwenye upatikanaji wa huduma ya umeme wa uhakika. Maharagande ameyasema hayo wilayani Tunduru kwenye mkutano...
Back
Top Bottom