GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,178
- 119,971
Ally Zedi Rajabu mtia nia wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa wa Kitaji, Manispaa ya Musoma mkoani Mara amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya mgombea mwenza kutumia rushwa na majina ya watu wanaodaiwa kufa kuchaguliwa kuwa mgombea wa nafasi hiyo.
Chanzo: ITV Habari
Na ndiyo maana ukitaka tu kutafuta Wanamume wa Shoka Tanzania nzima ni Mkoani Mara tu ndiko utawapata 100%
Chanzo: ITV Habari
Na ndiyo maana ukitaka tu kutafuta Wanamume wa Shoka Tanzania nzima ni Mkoani Mara tu ndiko utawapata 100%