Shaffih Dauda: Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,933
25,268
FRAwiqNXMAAiogR.jpeg

Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion material needs TIME and MONEY”

Kauli hii inakuja muda mfupi kabla ya Simba kuingia uwanjani dhidi ya Orlando Pirates ili kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup 2022).
 
Hivi watu kwanini huwa hampendi kuambiwa ukweli? ... Hivi huwa mnaziona timu zenu ni bora kihiiiiivyoooo, yani mnajiona level moja na kina Al Ahly, Casablanca, Mamelodi, Esperance n.k?

Tukubali ukweli. Sisi bado tupo njiani. Bado tupo kwenye struggle ya kutengeneza huo ukubwa, ila kwasasa tusidanganyane.

Kuanzia uwekezaji mpaka miundombinu. Huo ukubwa tunaoujenga kichwani bado wazee. Hamna timu ya kubeba ubingwa wa Afrika hapa
 
Yes ni ni kweli tupo kwenye struggle ya kuutengeneza huo ukubwa.

Lakini katika huo mchakato wa kuutengeneza ukubwa , lazima tukubali kwamba kuna team ipo katikati ya njia kuelekea juu na nyingine bado iko huko chini(mwanzo kabisa)

Najua Mabumunda ya GSM tatakuja kubisha.
 
View attachment 2197584

Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion material needs TIME and MONEY”

Kauli hii inakuja muda mfupi kabla ya Simba kuingia uwanjani dhidi ya Orlando Pirates ili kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup 2022).

Yuko sahihi mzehe, simba out, Orlando nae anaenda kutoka. Kaskazini wakifika hatua hizi wanakiwasha balaa,,,ni heri ujitoe mapema kuliko kwenda kuaibika.
 
Ndio shida ya wachambuzi, ni wanafiki, wanaongelea vitu vilivyopo hapo ni sababu simba haijatwaa, sio kwamba haiwezekani inawezekana japo ni kwa asilima chache mnooo, michuano kama hii mnapoika atua ya mtoano ni zali kwa saana na kuchanga karata zako vema. Denmark alifika mpaka fainali92 kama sikosei akiwa kaingia kwa dharura, hakufuzu michuano ile... Liver alishabeba ndoo wakati kwenye ligi yake kamaliza mtu wa 5 sijui, kuna watu huwa na timu nzuri na uefa huwa wanaishia kutoka njiani.
 
Hata Kama tuko njiani
Lakini usikatishe watu TAMAA.
mpira una matokeo matatu.
Acha Simba wacheze usiwatoe kwenye reli.
Nia Yake Nini!
Hivi watu kwanini huwa hampendi kuambiwa ukweli? ... Hivi huwa mnaziona timu zenu ni bora kihiiiiivyoooo, yani mnajiona level moja na kina Al Ahly, Casablanca, Mamelodi, Esperance n.k?

Tukubali ukweli. Sisi bado tupo njiani. Bado tupo kwenye struggle ya kutengeneza huo ukubwa, ila kwasasa tusidanganyane.

Kuanzia uwekezaji mpaka miundombinu. Huo ukubwa tunaoujenga kichwani bado wazee. Hamna timu ya kubeba ubingwa wa Afrika hapa
 
Hivi watu kwanini huwa hampendi kuambiwa ukweli? ... Hivi huwa mnaziona timu zenu ni bora kihiiiiivyoooo, yani mnajiona level moja na kina Al Ahly, Casablanca, Mamelodi, Esperance n.k?

Tukubali ukweli. Sisi bado tupo njiani. Bado tupo kwenye struggle ya kutengeneza huo ukubwa, ila kwasasa tusidanganyane.

Kuanzia uwekezaji mpaka miundombinu. Huo ukubwa tunaoujenga kichwani bado wazee. Hamna timu ya kubeba ubingwa wa Afrika hapa
Timu zenyewe hizi tunazoringia uwekezaji wake sio sustainable (endelevu). Halafu ujiringanishe na Al ahaly etal!
 
View attachment 2197584

Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion material needs TIME and MONEY”

Kauli hii inakuja muda mfupi kabla ya Simba kuingia uwanjani dhidi ya Orlando Pirates ili kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup 2022).

Shafii Dauda ni mmoja wa wachambuzi wa soka uchwara!! Mpira haujui wala hajawahi kuucheza atawezaje kuuchambua?? Huyu hapaswi kuitwa mchambuzi wa soka bali mumbeya wa soka, na sifa yake kubwa ni kumiliki mdomo basi!!
Huyu anapaswa kuambiwa kuwa fani hiyo awaachie kina Ally Mayai Tembele ambaye hutamsikia hata siku moja akifanya umbea kwenye soka!!
 
Wajinga wamsimbazi hatamwelewa kamwe
Utamwelewaje mtu ambaye mmbea wa soka badala uchambuzi wa soka!! Hivi hapo alipo Shafii naye anajiona mchambuzi wa soka! Kama ni hivyo kila mtu ni mchambuzi ili maadamu ana mdomo na ana mapenzi na soka!!
 
Mamelodi imewekezwa hela nyingii sana. Na mmiliki wake ni rais wa caf kwamba wana advantage kwa marefa. Ila bado mamelodi haivuki robo fainali tena misimu zaidi ya minne now .

Kundi huwa inaongoza kila msimu ila ikifika robo tu inatolewa.

Kama Timu kubwa kama mamelodi imewahi twaa ubingwa wa africa mara 1 tu tena ni zamani sio leo toka kuanzishwa kwa timu. Sasa timu zetu za bajeti kisado zinaanzia wapi kutwaa ubingwa zama hizi
 
Back
Top Bottom