hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

    Habari! Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA. Hata. UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji. Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania inavyopiga hatua kiuchumi katika sekta mbalimbali

    Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Shughuli hizo ni pamoja na uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali. Uchumi mara nyingi hutazamwa kwenye ngazi za kijiji, eneo, taifa au Dunia. Kwa kipindi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Wanawake: Zijue dalili za Mwenza anayeweza kukuua katika Mahusiano, tafakari mahusiano yako na Uchukue Hatua

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mysol engie kampuni ya sola ya kitapeli na kijambazi, serikali chukueni hatua

    Wapendwa wana Jamii Forums, Niliingia Mkataba na kampuni ya sola ya Engie Mysol ambayo zamani ilikuwa ikiitwa MOBISOL wanifungie Sola ya watt 200 nyumbani kwangu Biharamulo ili watoto wangu waweze kusoma vizuri kwani bado hatujapata umeme wa TANESCO. Cha kushangaza nimeshalipia malipo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tumechoka matamko juu ya MSD, hatua za uwajibishwaji zifuatwe

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, amegiza Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD) kufumuliwa na kusukwa upya ndani ya miezi sita hilo likienda sambamba na kuondoa watumishi waliokaa zaidi ya miaka 20. Waziri Ummy amesema kumekuwapo na tuhuma kubwa za rushwa MSD na licha ya kuondoa wakuu wa...
  6. JamiiForums Tanzania Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

    Unakuta mdada mnatoka naye out kwenye date labda mmeenda johari rotana, mnakula na kunywa ila mwisho ikija bills anakukazia jicho kweli ili ulipe wewe bill. Bado unakuta asubuhi ukiwa unaondoka nyumbani anataka kodi ya meza wakati kiuhalisia alitakiwa akupe pocket money ya kutumia. Nadhani ni...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia chukua hatua, Wawekezaji kuzungushwa inatosha sasa

    Katika kilele cha Kongamano la kumbukizi ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Hayati Benjamin Mkapa, Rais Samia alionesha waziwazi kukerwa na tabia ya watendaji wa juu, vigogo, Mabosi wa idara, mashirika na taasisi mbalimbali za Serikali kuwazungusha wawekezaji wanaofika nchini kutaka...
  8. JamiiForums Tanzania Hatua ya kwanza ya makubaliano kati ya UN, UKRAINE na URUSI inaiwezesha URUSI kuuza nafaka na mbolea bila vikwazo

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua muhimu ya kwanza imefikiwa katika juhudi za kuwezesha nafaka kusafirishwa kutoka Ukraine. Guterres ameeleza kwamba hatua hiyo imefikiwa kwenye mazungumzo ya mjini Istanbul kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine. Wajumbe wa Umoja wa...
  9. JamiiForums Tanzania Je, wewe upo hatua ipi? Hatua za Ukuaji na maendeleo katika Saiko-jamii

    JE, WEWE UPO KATIKA HATUA IPI? HATUA ZA UKUAJI NA MAENDELEO KATIKA SAIKO-JAMII? Anaandika, Robert Heriel NOTE: Andiko hili ni Kwa ajili ya watu wote! Andiko hili lafaa Kwa watu wazima kujitambua na kujua namna ya kukabiliana na Mabadiliko ya ukuaji wetu WA kiakili, kimwili na kitabia Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hongereni TPDC kwa hatua kubwa kama hii

    Juni 8 wiki iliyopita TDPC na UDSM walifunga mkataba wa kujenga kituo kikubwa cha kuchataka gesi asilia eneo la UDSM karibu na Hosteli za Magufuli. Kito hicho Kitatazama barabara ya Sam Nujoma. Lengo la kujenga kituo cha CNG (Compressed Natural Gas) ni kurahisha upatikanaji wa gesi katika...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaendelea kupiga hatua kwenye teknolojia ya 5G, huku ikizitaka nchi nyingine kuacha teknolojia hiyo

    Fadhili Mpunji Moja kati ya sekta zenye maendeleo ya kasi duniani katika muongo huu, ni teknolojia ya habari na mawasiliano. Maendeleo ya sekta hiyo yanayotajwa kuwa mapinduzi ya tatu ya viwanda, kimsingi ni mapinduzi ya kidigitali, yanayohamisha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA)...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yenye Wabunge wenye Poor Thinking kama hii na walio 'very Sycophant' ndiyo mnategemea ipige Hatua Kubwa za Kimaendeleo?

    "Leo wananchi wanahamishwa, unapelekwa eneo unajengewa nyumba, unakuta hospitali, shule, unapewa hati ya nyumba, mimi naomba leo nitangaze rasmi naitwa Ole Kishoa ili nipelekwe kule na mimi nikapewe nyumba ya bure kabisa" - Jesca Kishoa, Mbunge Viti Maalum. Chanzo: EastAfricaTV Huwa napenda...
  13. JamiiForums Tanzania Kukutana na mama mkwe mtarajiwa ni dalili ya hatua nyingine kwenye mahusiano yenu

    Madada ndiyo walengwa wa uzi huu lakini makaka msiache kusoma na pia kutoa mawazo yenu. Mama wakwe ni wanawake na wao pia walikua vijana wakati fulani hivyo kukutana na mama kusikufanye uwe roho juu juu. Mpaka mwenza anaamua kukufahamisha kwa mama yake, inamaana kuna vitu ameviona kwako na...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mbinu wanayotumia wakinga kuchana msamba badala ya kupiga hatua, umoja ndio siri, ni mbinu rahisi mno

    Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini pale kariakoo ni mashuhuda, hawa watu ni kama wameimeza kariakoo, kuimeza kariakoo ni sawa na kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kufungua Maombi ya kusimamia Mirathi Mahakamani

    HATUA NA TARATIBU ZA KUFUNGUA MAOMBI YA KUSIMAMIA MIRATHI Je, mtu akifa na ameacha mali, haijalishi kuna wosia au hakuna wosia, zipi ni hatua za kufata ukitaka kufungua shauri la mirathi au ukitaka kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi? Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate...
  16. JamiiForums Tanzania Nape aagiza waliozusha umeme kupanda bei hatua zichukuliwe

    Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe. "Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
  17. JamiiForums Tanzania Ni hatua gani nifuate ili kuonana na Rais?

    Nina shauri langu la ardhi lakini naona linapindishwa waziwazi hakika sina pa kukimbilia sina wa kumlilia naona nitadhulumika waziwazi. Ni dhuluma za kipuuzi kabisa ardhi pameoza workers are not for customers or listening or do for normal clients. Naomba taratibu za kumuona Rais nimechoka...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika wakiona Wanaijeria wanapiga hatua wanalalamika kuibiwa fursa ila hawalalamiki kuhusu Wahindi, Waarabu, Wachina, n.k?

    Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana. Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
  19. JamiiForums Tanzania Niwape angalizo na mlichukulie hatua Serikali

    Msimu wa kuuza mahindi unakaribia nimesema mahindi mana huku ndiko kwenye purukushani. Wakati huo kunakuwa na vimipenyo vingi vya rushwa kwa wenye vitengo vya kupokea mahindi ktk magodawni ya serikali, pia unakuta nafasi ya vikundi vya wakulima kupeleka mahindi kwa kipaumbele lakini hakuna...
  20. JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

    Wakuu salaam, Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo ule wimbo angerekodia kwenye mazingira yanayomhusu na sio kanisani. Sasa leo Joti kaachia kazi yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…