hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hatua za kusajili kampuni ya kigeni (procedures for the registration of a foreign company in Tanzania)

    Habari, leo nakuletea makala kuhusu hatua na utaratibu wa kusajili makampuni ya kigeni nchini Tanzania. Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate Candidate, zakariamaseke@gmail.com (0754575246 WhatsApp). Kiujumla, hatua za kusajili kampuni ya kigeni zinafanana na hatua za...
  2. JamiiForums Tanzania Press conference ya Yanga 18. 10. 2022

    Yanga kesho wameitisha press conference ikiwa ni siku ya pili tu baada ya kuvurumishwa kwa mwaka wa 24 mfululizo katika hatua ya mtoano. Tutarajie kusikia yafuatayo: 1. Makubaliano ya pande mbili yamefikiwa 2. Malalamiko ya kutosha kwa muamuzi wa jana kwani wanaamini Arajiga ndio angefaa...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA iko kwenye hatua ya "Maturity"; Katika hatua hii, haiwezekani kuifubaza au kuifuta..!

    Kuna wana CCM kadhaa na mashabiki wao wasio na uelewa ama ufahamu wanasema kuwa CHADEMA haina dili tena, imekwisha. Hawa ni wajinga, wanahitaji kuelimishwa kwa sababu hawajui wasemalo... Katika dhana ya ujenzi wa taasisi yoyote, kuna kitu kinaitwa kwa lugha ya kiingereza Project Life Cycle -...
  4. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Ruto: Yule Mkalimani achukuliwe hatua za kinidhamu!

    Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza. Na huo ndio ukalimani proffessional! Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno ya mtoa hotuba. Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake, kunaiweka nchi katika matatizo si ya...
  5. JamiiForums Tanzania Miaka mitano ya Hayati Magufuli taifa lilipiga hatua kubwa kuliko miaka kumi ya Jakaya

    Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga. Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku...
  6. JamiiForums Tanzania Kuhusu kauli ya 'Chinjachinja' ya kada wa CCM, RPC asema atauliza kama ilikuwa na mahusiano mauaji ili hatua zichukuliwe

    Kauli za makada wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jijini Arusha na Jijini Dar es Salaam zinazotafsiriwa ni za kuchochea uhalifu dhidi ya wafuasi wa vyama vingine vya siasa, zimeibua mijadala katika mitandao ya kijamii. Moja ya kauli hizo ni ile inayodaiwa kutolewa na kijana wa Umoja wa Vijana...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nichukue hatua gani za kisheria dhidi ya benki ya CRDB?

    Habari zenu wadau. Nimesikitishwa na huduma mbovu za benki ya CRDB. Ukweli siku ya juzi nikiwa safarini kuna mtu alinipigia simu alikuwa na uhitaji wa haraka wa fedha kiasi. Na wakati huo huyo mtu alikuwa ananidai kiasi fulani cha pesa. Sasa kwa uhitaji wake wa haraka akaniomba kama niko...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China yapiga hatua kubwa katika sekta ya sayansi na teknolojia

    Na Caroline Nassoro Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya...
  9. JamiiForums Tanzania WHO, ILO: Hatua mpya zahitajika kukabiliana na matatizo ya afya ya akili kazini

    Machapisho mawili ambayo yote yanalenga ujumbe mmoja wa kushughulikia changamoto ya afya ya akili kazini ambayo ni muongozo mpya wa kimataifa wa WHO kuhusu afya ya akili na uwajibikaji kazini na tamko la pamoja la kisera la WHO na ILO, yanakadiria kwamba takriban siku bilioni 12 za kazi hupotea...
  10. JamiiForums Tanzania Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

    Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi. Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa mauaji yanayotokea vituo vya polisi kama vile polisi wamegeuka serial killers

    Nani anapenda kumzika ndugu yake ambaye amepoteza uhai kabla Mungu hajamuita. Mbaya zaidi wanaokuwa wamemuua hawachuliwa hatua kisheria. Kila siku kukicha tunasikia vyombo habari watuhumiwa kujinyonga selo za polisi katika mazingira ambayo tafakuri ikifanyika watu hawapati majibu. Tukio la...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi walioua mfanyabiashara Mtwara wameshachukuliwa hatua za haraka kama panyaroad?

    Najua watanzania wengi ni wabinafsi hawajali haki za wengine na wengine hawafahaumu,lakin Nchi haiwezi kua na amani kama kutakua na double standard na dhulma kiwango hiki. 1. Kama nchi imeamua kushughulikia uhalifu kwa kuua basi tuanze kupewa taarifa ya akari waliohusika na mauji ya kijana...
  13. JamiiForums Tanzania Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe 5/10/2022

    Salaam, Kwa heshma na taadhima tunakumbushana; Ule utaratibu wa kushiriki rasmi katika Bahati nasibu ya Taifa la Amerika [USA DIVERSITY VISA PROGRAM 2024] Kwaajili ya UKAZI WAKUDUMU, yaani Kibali cha Kuhamia na Kufanya kazi USA. Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto wengi wanakutwa na Saratani iliyofikia hatua mbaya

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani na Damu kwa Watoto kutoka Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Dkt. Heronima Kashaigil amesema kuwa watoto 5 hadi 7 wanahudhuria Kliniki ya matibabu ya Saratani kila siku, sawa na watoto 250 kwa mwezi. Utafiti uliofanywa na Shirika la ICCARE Tanzania ulibaini...
  15. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uhuru wa kifedha. Hatua ianze sasa

    Uhuru wa kifedha ni jambo la kufikirika kwa watanzania wengi na takwimu pia zinaonyesha ni asilimia ndogo sana yawatanzania walio na uhuru wa kifedha basi bila ata kufika mbali ata usalama wa kifedha nalo si jambo la kawaida. Usalama wakifedha ni hali ya kutokuwa na wasiwasi wa fedha kwani una...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yataja hatua nane kudhibiti mfumuko wa bei

    Serikali imetaja hatua nane zilizochukuliwa katika kudhibii mfumuko wa bei ili kuhakikisha unaendelea kubaki ndani ya wigo wa tarakimu moja. 1. Imeimarisha sekta za uzalishaji ili kuongeza upatikanaji wa bidhaa unaoendana na mahitaji. 2. Kutoa ruzuku kwa ajili ya kupunguza bei ya nishati ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya anga ya juu wapiga hatua mpya

    Mwezi Septemba vijana katika sehemu mbalimbali za Afrika, walifanikiwa kufanya jambo ambalo hawakuwahi kufikiria hata siku moja, kuwasiliana moja kwa moja na wanasayansi wa China walio kwenye kituo cha anga ya juu cha China. Mbali na kustaajabu kuwasiliana na watu walio kwenye anga ya juu...
  18. JamiiForums Tanzania Mtu mzima anatakiwa kutembea hatua 10,000 kila siku

    Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janab ametoa angalizo kuwa licha ya kuharibu bajeti ya afya kila mwaka, maradhi hayo yataathiri uchumi wa familia na nguvukazi ya Taifa. Profesa Janab ametoa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni yanga na simba kwa ushindi wa leo lakini michuano mtaianza hatua itayofuata

    Nawapongeza kwa kufanya vizuri kwenye mechi za mwanzo ni mwanzo mzuri kwa timu zote mbili itawajengea hali ya kujiamini na kujipanga vizuri kwa michezo ijayo,. Pamoja na kushinda timu zote 2 zimekutana na timu ambazo zina viwango vya chini, ukianzia Nyassa big bullet ya malawi ni timu...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania bila tozo inawezekana

    TANZANIA BILA TOZO INAWEZEKANA. Leo 12:15hrs 10/09/2022 Tozo ni makato yanayofanywa katika kila hatua ya mtu kutaka kuitumia fedha yake, jambo ambalo halishauriwi kwenye kodi,chukulia kwa mfanyakazi aliyelipwa mshahara wake benki,akitoa anakatwa tozo wakati tayari ameshakatwa kodi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…