Serikali ya Uholanzi imesitisha uamuzi wake wa kuingilia kampuni ya kutengeneza chipu, Nexperia, inayomilikiwa na China, baada ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili.
Mnamo Septemba, serikali ya Uholanzi ilisitisha kampuni hiyo kutokana na wasiwasi kuhusu usalama wa upatikanaji wa chipu barani...