Habari za muda Huu wadau,
naomba kufahamu ili kupata hati ya kiwanja/ nyumba ni Hatua zipi zinatakiwa kufuatwa na inahtajika taarifa zipi, Gharama kiasi gani na inachukua muda gani kupata hati yako asante
Aliyekuwa Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Ushindi wa Kiti cha Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji Jacobs Mwambegele mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu...
Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao.
Aidha miezi miwili...
Dar es salaam
Wakazi wa Kivule jijini Dar es salaam wameipa kongole Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuwasogezea huduma karibu katika eneo hilo kwa kuendesha Kliniki ya Ardhi na kutoa Hatimiliki za Ardhi papo kwa papo.
Akizungumza na mwandishi wetu Agosti 14, 2025 jijini Dar...
==
Chini ya Rais Samia, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa mkopo wa shilingi bilioni 2.8 kwa Halmashauri mbalimbali kwa ajili ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi, hatua iliyosaidia kupunguza migogoro ya ardhi kutoka 964 mwaka 2020 hadi 125 mwaka 2025.
Aidha, utoaji wa hati miliki umeongezeka...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa Hati ya Kuvunjwa Rasmi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Mwaka 2025 Ili Kuruhusu Kufanyika kwa uchaguzi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
Habari za muda huu ndugu zangu,
katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti...
Huyu mwajumwa jamani mtoto wa kitanga usinibadilishe dini ya kwangu inanishinda kusali mara moja nitaweza ya kwako kama masharti ya kumeza dawa za TB.
Picha isifutwe hiki ni kitaru cha jina langu chenye hati ya umiliki.
Mbona CCm wanagawana vitaru.
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.
Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima...
Habarini
Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti
Tokea nijenge nina mwaka sasa
Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba
Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae
Thanks
Dar es Salaam, 9 Julai 2025 – Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Cyprus leo zimesaini hati za makubaliano (MoU) za kushirikiana katika mashauriano ya kisiasa na usafiri wa majini, hatua inayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili.
Hati hizo zimesainiwa...
Tetesi:
Kuna hati hati inaendelea wenda U.S Army na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel kumtandika Iran.
Iran imeseme military bases zote za U.S hapo mashariki ya kati wata zigeuza kuni za kuwashia moto.
Tukae chonjo bora hali hii isifike level hii Tanzania nasi maumivu makali yatatuhusu...
Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kasri la Mfalme wa Sweden (wa pili kushoto na wa mwisho kulia) na Ofisa Msindikizaji wa Mabalozi (kushoto kwake) mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI Gustaf wa...
Wakuu jamaa yangu aliuziwa nyumba, sasa aliyemuuzia amefariki jamaa akiwa bado hajabadili jina la hati ya nyumba hapo inakuaje Ili kuweza kupata haki yake wakuu au ndio atadhulumika?
Mwenye nyumba alimdanganya kwamba hati hajapata kumbe anayo ndani, watoto wa marehemu wameiona sasa inasemekana...
Wakuu,
Mei 5 Serikali ya Tanzania ilisaini hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa mpigo;
1. Rais Samia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina...
Natumaini nyote wazima, naomba kujua gharama za kupatata Hati ya kiwanja ambacho kimeshapimwa na kupatiwa block number, kiwanja kipo chanika. Au kama kuna mtu anaweza nisaidia nikapata nitashukuru
Natanguliza shukrani
Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani,
::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na...
Naomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Aprili 13, 2025, nchini Saudi Arabia, imesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Elimu ya Saudi Arabia katika kuendeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.