Kuna hati hati ya U.S na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Tetesi:
Kuna hati hati inaendelea wenda U.S Army na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel kumtandika Iran.

Iran imeseme military bases zote za U.S hapo mashariki ya kati wata zigeuza kuni za kuwashia moto.

Tukae chonjo bora hali hii isifike level hii Tanzania nasi maumivu makali yatatuhusu hasa kiuchumi.
 
Mrusi na Mchina wapo kwenye Muungano wa Kikundi kimoja na Iran inayoitwaje ile vile Brics Group? Kwa hio kweli Group member mwenzenu anachapwa nyie mnamtazama tu kweli?
 
le Sio Muungano wa kupapasa kama NATO ,
 
Safi sanaa mazee dah mabokaz yapelekewe motooo popote yalipoo..dume la mbegu hapo Mashariki ya katii ni mmoja tu..wengine wanachezea ndongaa tu
1000041077.jpg
 
Tetesi:
Kuna hati hati inaendelea wenda U.S Army na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel kumtandika Iran.

Iran imeseme military bases zote za U.S hapo mashariki ya kati wata zigeuza kuni za kuwashia moto.

Tukae chonjo bora hali hii isifike level hii Tanzania nasi maumivu makali yatatuhusu hasa kiuchumi.
Hawawezi kitu kila siku IRAN ni mikwara tu tangu October 23 Israel ilivyoanza operation yake Iran yupo mguu nje mguu ndani Wacha moto uwake Makafiri wa IRAN WAPUNGUE
 
Mrusi na Mchina wapo kwenye Muungano wa Kikundi kimoja na Iran inayoitwaje ile vile Brics Group? Kwa hio kweli Group member mwenzenu anachapwa nyie mnamtazama tu kweli?
huo sasa utakuwa unyumbu
 
Safi sanaa mazee dah mabokaz yapelekewe motooo popote yalipoo..dume la mbegu hapo Mashariki ya katii ni mmoja tu..wengine wanachezea ndongaa tuView attachment 3368199
Hivi kweli Iran, misri, HEZBOLLAH, Jordan, Palestine, saudia, na wengine kweli wanakashindwa kannchi kamoja tu kadogo ama kweli wa mataifa hayo hawana MUNGU wa kweli ni upuzi upuzi wenzako ISRAEL MUNGU wanaomuabudu ni wakweli
 
Iran anambwembwe sana, Yaani mwezako anapiga sehemu nyeti za kukupunguza Nguvu wewe unarusha tu makombola kama hauna intelligensia. Alafu unatishia kupiga base za USA.
 
Ni muda mwafaka Sasa wa jwtz kwenda kuwasaidia ndugu wa damu wa Irani kumtandika israeli.maana wa Irani wamehangaishwa sana muda mrefu
😅una kumbuka jibu la russia kwa kenya baada ya kenya kuionya russia iache vita ?
 
Iran anambwembwe sana, Yaani mwezako anapiga sehemu nyeti za kukupunguza Nguvu wewe unarusha tu makombola kama hauna intelligensia. Alafu unatishia kupiga base za USA.
We jiongeleshe tu
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-14-14-53-32-177.jpg
    Screenshot_2025-06-14-14-53-32-177.jpg
    280.2 KB · Views: 34
  • Screenshot_2025-06-14-13-04-02-950.jpg
    Screenshot_2025-06-14-13-04-02-950.jpg
    353.9 KB · Views: 22
  • Screenshot_2025-06-14-14-50-36-060.jpg
    Screenshot_2025-06-14-14-50-36-060.jpg
    274.8 KB · Views: 27
  • IMG_20250614_150006.jpg
    IMG_20250614_150006.jpg
    286.6 KB · Views: 27
Tetesi:
Kuna hati hati inaendelea wenda U.S Army na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel kumtandika Iran.

Iran imeseme military bases zote za U.S hapo mashariki ya kati wata zigeuza kuni za kuwashia moto.

Tukae chonjo bora hali hii isifike level hii Tanzania nasi maumivu makali yatatuhusu hasa kiuchumi.
Mbona walishangia kwani ulikuwa hulijui hilo?
 
Ni muda mwafaka Sasa wa jwtz kwenda kuwasaidia ndugu wa damu wa Irani kumtandika israeli.maana wa Irani wamehangaishwa sana muda mrefu
Kule unashambulia ukiwa sebuleni hakuna nafasi ya kupasua tofali
 
Tetesi:
Kuna hati hati inaendelea wenda U.S Army na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel kumtandika Iran.

Iran imeseme military bases zote za U.S hapo mashariki ya kati wata zigeuza kuni za kuwashia moto.

Tukae chonjo bora hali hii isifike level hii Tanzania nasi maumivu makali yatatuhusu hasa kiuchumi.
Hizi hapa US Military bases, hebu tusubiri

Screenshot_20250613_134207_Telegram.jpg
 
Tetesi:
Kuna hati hati inaendelea wenda U.S Army na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel kumtandika Iran.

Iran imeseme military bases zote za U.S hapo mashariki ya kati wata zigeuza kuni za kuwashia moto.

Tukae chonjo bora hali hii isifike level hii Tanzania nasi maumivu makali yatatuhusu hasa kiuchumi.
Walikimbia Yemen wataweza kupambana na Iran hao. Ikiwa hilo taifa walio liunda walilipelekea kila silaha na silaha nyingi za Air defense wao watafanya nini hahaha. Hizo ni bleep wanadhani Iran ataogopa kumbe anawasubiria kwa hamu wajitokeze kwa sasa wako nyuma ya pazia hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom