Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini.
Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu...
Habari ya muda huu ndugu mwanajamii,
Naomba kueleweshwa na anaejua taratibu za kupata hati ya kudumu ya kiwanja alichonunua mzazi akaandika jina langu. Kiwanja kilinunuliwa nikiwa na miaka minne tu, enzi hizo kabla ya uwepo wa NIDA. Miaka 38 baadae, nataka kubadili ile hati ya karatasi ya...
"Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka miwili kupata hati yake?" - Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya...
Kesi ya Uhaini namba 26394/2025 inayowakabili washtakiwa 38 ambao walikamatwa kutokana na matukio yaliyotokea Oktoba 29, imeahirishwa mpaka Disemba 3, 2025. Shauri hilo leo lilikuwa linasikilizwa kwa njia ya mtandao mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki ambapo washtakiwa hawakufikishwa...
Benki ya CRDB imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 125.4 na Dola za Marekani milioni 32.3 kupitia mauzo ya hatifungani yake ya CRDB Al-Barakah Sukuk, hatua iliyovuka malengo ya awali kwa zaidi ya asilimia 400.
Uuzaji huo uliofanyika kwa siku 40 kuanzia Agosti 9 hadi Septemba 19...
Habari za muda Huu wadau,
naomba kufahamu ili kupata hati ya kiwanja/ nyumba ni Hatua zipi zinatakiwa kufuatwa na inahtajika taarifa zipi, Gharama kiasi gani na inachukua muda gani kupata hati yako asante
Aliyekuwa Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Ushindi wa Kiti cha Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji Jacobs Mwambegele mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu...
Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao.
Aidha miezi miwili...
Mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, Samia Suluhu, amesema, "Kwa upande wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, Serikali imejitahidi kuimarisha taasisi za mdhibiti, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ili ziweze kufanya kazi zake...
Dar es salaam
Wakazi wa Kivule jijini Dar es salaam wameipa kongole Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuwasogezea huduma karibu katika eneo hilo kwa kuendesha Kliniki ya Ardhi na kutoa Hatimiliki za Ardhi papo kwa papo.
Akizungumza na mwandishi wetu Agosti 14, 2025 jijini Dar...
==
Chini ya Rais Samia, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa mkopo wa shilingi bilioni 2.8 kwa Halmashauri mbalimbali kwa ajili ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi, hatua iliyosaidia kupunguza migogoro ya ardhi kutoka 964 mwaka 2020 hadi 125 mwaka 2025.
Aidha, utoaji wa hati miliki umeongezeka...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa Hati ya Kuvunjwa Rasmi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Mwaka 2025 Ili Kuruhusu Kufanyika kwa uchaguzi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
Habari za muda huu ndugu zangu,
katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti...
Huyu mwajumwa jamani mtoto wa kitanga usinibadilishe dini ya kwangu inanishinda kusali mara moja nitaweza ya kwako kama masharti ya kumeza dawa za TB.
Picha isifutwe hiki ni kitaru cha jina langu chenye hati ya umiliki.
Mbona CCm wanagawana vitaru.
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.
Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima...
Habarini
Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti
Tokea nijenge nina mwaka sasa
Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba
Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae
Thanks
Dar es Salaam, 9 Julai 2025 – Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Cyprus leo zimesaini hati za makubaliano (MoU) za kushirikiana katika mashauriano ya kisiasa na usafiri wa majini, hatua inayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili.
Hati hizo zimesainiwa...
Tetesi:
Kuna hati hati inaendelea wenda U.S Army na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel kumtandika Iran.
Iran imeseme military bases zote za U.S hapo mashariki ya kati wata zigeuza kuni za kuwashia moto.
Tukae chonjo bora hali hii isifike level hii Tanzania nasi maumivu makali yatatuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.