hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

    Wakati fulani mwaka juzi nikawa na safari ya kikazi Musoma. Sikuwahi kufika Musoma kabla kwa hiyo sikuwa mwenyeji wa maeneo nilitegemea boda. Nikashuka stendi nikamwambia boda nipeleke lodge nzuri nzuri. Baadaye nikaona nisichemke ngoja nimshirikishe mwenyeji wangu. Mwenyeji wangu sikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hata mimi ningekataa

    Japhet Maganga Katibu mkuu wa chama cha walimu (CWT) aliteuliwa mkuu wa wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera. Ndugu @ole_mushi akasema MagangThadei Ole Mushi huo uteuzi kwa sababu ana mshahara wa 7.8M kama Katibu mkuu wa CWT, lakini akienda kuwa DC atalipwa 3M. @ole_mushi akasema, licha ya kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Diamond Platinum hata kwenye filamu anaweza kufanya vizuri

    Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi. Imagine Diamond anaigiza movie kama hii; Diamond (askali polisi) anayedhalaurika kazini, kitengo...
  4. JamiiForums Tanzania Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

    Miaka ya tisini na mwanzoni nwa miaka ya 2000 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia South Africa,Ulaya au Marekani. Zilitumika njia zote haramu na halali ikiwemo kuzamia meli mpaka bendi ya Orchestra Vijana Jazz wakatunga wimbo wa Ngapulila.Hemed Maneti na Eddy Sheggy waliimba si mchezo RIP...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Chadema ni watu wa Amani sana. Hakuna hata sisimizi aliyekanyagwa

    Hiki chama aisee ni cha kipekee. Tangu hapo zamani kikifanya mikutano na shughuli zingine za mikusanyiko huwa wanatoma kwa amani na furaha tele kwa wananchi. Mikutano yao isipoingiliwa na dola huwezi kusikia hata Mwananchi mmoja akilalamika kukanyagiwa fungu la nyanya wala dagaa. Ngoja sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanadamu ni mtawala asiye na nguvu juu ya hata viumbe viishivyo ndani ya utawala wake?

    Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani, kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a huma siyo kiakili wala nguvu tu za...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya maeneo ya nchi fulani ingekuwa inawezekana ningewashauri wauzie hata nchi jirani wagawane fedha

    Nchi nilipo sasa hivi kweli Ni kubwa lakini watu waishio huku wanapata tabu maji shida, barabara taabu, Afya shida, umeme ndo kabisa ukiwauliza habari ya matumizi ya gesi ya kupikia hawaelewi kabisaa. Jamani kuna maeneo bado loh! Picha nimekatazwa kupiga.
  8. JamiiForums Tanzania Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

    Salaam wakuu, unajua katika maisha haya. Kuna baadhi yetu tumekuwa tukifanya baadhi ya vitu ambapo vimekuwa vikitufurahisha. kiasi kwamba imekuwa ngumu kuacha, hata Kama tushauriwe kwa ukubwa gani, au na mtu yoyote. kwa upande wangu Kuna vitu vinne, naona kabisa kuacha ni mpaka niingie...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna ambao hata kwenye usaili wa polisi majina yao hayajatokea?

    Kuna ambao hata kwenye usaili wa polisi majina yao hayajatokea?
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachungaji kumpigia Kura Mch. Dkt. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama kuwa Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani

    Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu, Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mch. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameishinda vita hata kabla haijaanza. Muda utazungumza

    Mch. Eliona Kimaro ameonesha ukomavu wa kiroho na wa kiutumishi wa hali ya juu sana. Baada ya kupewa barua ya kutakiwa kuchukua likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba bila shaka maana alipanga kuendesha semina), inayomlazimu kusitisha semina aliyokuwa ameianza hapo kanisani kwake, na kutakiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa hesabu za makadirio hata kama Mandonga kalipwa milioni 5 kwa pambano lake la ufunguzi bado kapunjwa mno, atafutiwe Meneja upesi

    Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/ Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6 waliojaza ukumbi wa KICC jijini Nairobi. Kwa wale ambao hawakuweza kufika hasa wa Mombasa, Nakuru...
  13. JamiiForums Tanzania Tusipangiane, hata wewe unaweza kwenda Ulaya kupitia shughuli unazofanya

    “Hata shabiki nae ana fursa ya kwenda Ulaya vile vile kwa biashara zake anazofanya. Kama wanadhani kwenda ulaya ni rahisi basi shughuli zao pia ziwapeleke Ulaya. Hata ulaya wanatumia mkaa pia wakauze mkaa ulaya. Usimpangie mtu kwenye shughuli yake,” Ibrahim Ajib Yuko sahihi au maneno ya mtu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanavyosema kila siku vijana wajiajiri, kuna hata mmoja kati yao amejiajiri?

    Hivi, viongozi wanavyosema kila siku vijana wajiajiri, kuna hata mmoja anaesema hayo, amejiajiri? Mie, nafikiri wanatumia neno kujiajiri vibaya, mfano: Juzi katambi kasema vijana jitoleeni, msisubirie kuajiriwa, yeye anajitolea? Mie, nadhani sera ya ajira ibadilike watumishi wa umma wawe na...
  15. JamiiForums Tanzania Tutafute Pesa hata kama kwa Kisomo na Duaa basi pia tuwe Makini. Kuna watu wanapesa hawana Raha

    Nimekumbuka tu maisha ya Tajiri mmoja ambaye alikuwa na mabasi mengi Mkoa flani ila kwa sharti la kuwa na kidonda ndugu kinachonuka. Bahati nzuri nlikuwa nafahamu story ya huyu mtu ambaye alikuja filisika. Sasa nikakumbuka kisa cha kijana mmoja ambaye alikubali awe anaingiliwa na Jini ili apate...
  16. JamiiForums Tanzania 2025 CCM haitapoteza jimbo hata moja, CHADEMA tulieni

    WanaJF, Heri ya Mwaka Mpya 2023! Kwa wapenzi wa siasa nchini niambieni Jimbo gani liko hatarini kupotea mwaka 2025. Kwa mtizamo wangu naona wabunge wote waliochaguliwa majimboni 2020 wako vizuri na sioni hata jimbo moja litakalipotea. CDM chagueni kazi zingine za kufanya ila mkidhani 2025...
  17. JamiiForums Tanzania Jirani Zetu Hawajanyang'anya Mlima Kilimanjaro Pekee Hata Waimbaji

    Sina haja ya kueleza hii inajieleza
  18. JamiiForums Tanzania Urusi walaumu Ukraine kwa kuendeleza mapigo hata walipoomba wasitishe kidogo kupisha Krisimasi

    Haingii akilini, umevamia nchi ya watu na kuanza kuiba ardhi halafu unaomba wasitishe kukupiga ili upate fursa ya kusheherekea krisimasi yako..... Aunilateral ceasefire called by Russia appears to have had little effect on fighting on the ground, with officials accusing each other of opening...
  19. JamiiForums Tanzania Wapinzani tuwe na busara za kisiasa. Mikutano ya kisiasa sio ishu ya maana hata huko USA na Magharibi chaguzi zikiisha siasa zinahamia bungeni.

    Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno? Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali? Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Vyuo vikuu vya Umma Tanzania viko hoi kifedha, skuli, ndaki, Idara hata Karatasi shida

    Habari! Niende moja Kwa moja maada, habari kutoka kwa wahusika, hali ya kifedha vyuo vikuu Tanzania so njema, inasemekana, ndaki, skuli, idara toka mwaka jana mwezi Juni hawapati pesa za uwendeshaji, mathalani hata karatasi tu za kuchapishia mitihani ya mazoezi ni shida tu, je hazina na Waziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…