Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.
Utafagia sana
====
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo Januari 2, 2023 amewaongoza Wananchi wa Kata ya Ruanda Jijini humo katika zoezi la kufanya usafi katika eneo la Umati ambalo limekithiri uchafu kwa muda mrefu.
Leo nimekutana na Habari Mkuu wa Mkoa wa Dar kaenda na kamati yake ya Ulinzi na Usalama Wavuvi Kempu na kawapiga biti kuhusu clip iliyorushwa inayoonesha namna watu wanavyokula bata.
Mbaya zaidi baada ya Amos Makala kuongea kaongea kiongozi mwingine sijui nani nae akapiga biti kuhusu club hiyo...
Hivi serikali kwa kimya chetu mnadhani mmetushawishi? Hivi hata haya siyo ujanja ujanja wenu usio kubalika?
1. Malipo ya shule vyuo vikuu tunakolipa kupitia loan board 100% + interest. Kwa maana vyuo vya umma havina tofauti na vyuo binafsi.
2. Malipo ya hospitali ambapo dawa, kumwona daktari...
Wajumbe wa MCC Kawe kama mpo pia na hapa JamiiForums naomba nichukue nafasi hii kuwatakeni radhi kama kuna nilikowakosea ili mnisamehe na nyota yangu ya kukubalika irejee kwa Jamii.
Kwani kama kuna sehemu ya kipekee ambayo mara kwa mara nimekuwa nikitamba kuwa nakubalika, ni maarufu na mimi...
Nimeingia kwenye tovuti ya TRC nimekutana na mpango kazi wa ujenzi wa mtandao wa reli ya kisasa ukiwa na awamu 5. Katika awamu zote hizo hakuna maelezo/ratiba yoyote ya ujenzi wa SGR ya kutoka Tabora mpaka Kigoma.
Kwanini? Serikali ya CCM imetupiga changa la macho tena?
Soma mwenyewe hapa...
Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga.
Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata mkimuongeza mshahara, kesho anaweza kushawishiwa kwa mshahara mkubwa zaidi hivyo atawasumbua tu...
Mwekezaji Mohammed Dewji, CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene 'Try Again' wana Simba SC hatutowaelewa kama hatutalisikia Jina la Mshambuliaji Kiboko ya Mayele aitwae Manzoki.
Msajilini haraka Ceaser L.obi Manzoki.
Hayati Magufuli anawaumbua akiwa amekufa mlitegemea mradi huo ungepaisha majina yenu lkn wananchi mnaendelea kuwatia hasira
Wananchi wanaona wazi waliyempenda na aliyekuwa rafiki yao anaandamwa na vijana wa mjini kwa nn mnajiaibisha kiasi hiki badilkeni someni alama Za nyakati wenye nchi ni...
Ukisoma Biblia , 2 Timotheo 2: 19 Mungu anasema yeye anawajua watu wake hata kabla hajaumba misingi ya ulimwengu.
Ukisoma tena Mathayo 22:14 Biblia inasema walioitwa ni wengi lakini wateule ni wachache.
Kwa msingi huo wewe unaweza ama inawezekana umeitwa tu, yaani umekuja tu Duniani lakini...
Ni habari ya kuhuzunisha kwa watumishi wa umma nchini, kupitia hotuba yake ya kusaini mikataba ya ujenzi wa reli ya mwendo kasi (SGR), Rais Samia Suluhu Hassan akitoa ufafanuzi wa ulipaji wa madeni alisema nchi lazima ilipe madeni ya nje kwasababu yame "Mature", akasisitiza kuwa tukikopa kama...
Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile
Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka.
Amos Makalla aliazisha...
Nimeleta hii kama taarifa tu.
Mimi nilikuwa naamini kwa kuwa wazungu wametutangulia kwa kila kitu hadi haki za uhuru na usawa baina ya jinsia moja na nyingine basi nilijuaga wao hawasumbui mambo ya vibomu.
Ebwanaaee tena kuna wengine ni Vibom international
Nimeona hii kwa mademu zake jamaa...
Nlikuwa nasoma Taurati/Torati. Ngamia pia ni Kharamu.... Anacheua lakini hana kwato. Ndiyo kwa mujibu wa Taurati mimi huwa nasoma vitabu hata vya watu wa Kitabu.
Hadithi na Mtume na Maswahiba wake nasoma. Biblia nasoma na napendelea sana Taurati... Kumbe Ngamia hana sifa za kuliwa. Kama...
Sijui msemo huu unaendana?
Nakumbuka kuna siku nimetoka shule sijavua hata uniform nikaambiwa nikafungue ng'ombe zilipofungwa kwa malisho nizirudishe nyumbani. Kufika pale(kipori Fulani) badala ya kufungua kamba niswage ng'ombe nikakimbilia kichaka kilikuwa na matunda pori (mang'ang'a wanyakyu...
Ukisikia sifa zinaua ndio huku, Hapa kwa mporomoko huu wa jeneza sijui kama waliodondokewa na jeneza walipona?
Humo kwenye jeneza mwili wa marehemu ushavunjika vunjika kwajili ya hizi sifa.
Utasikia kisingizio ni jeuri ya pesa lakini ukifatilia unakuta pesa zenyewe ni mshahara wa kuajiriwa...
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:
Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.
Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
Leo moroko wameendeleza kile walichokianzisha tangu hatua za makundi ni timu pekee mpaka sasa iliyoruhusu nyavu zake kuguswa mara 1 tena kwa goli la kujifunga wenyewe dhidi ya Canada katika michuano hii ya kombe la dunia huko Qatar.
Hakika ni jambo la kujivunia wakiwa na kocha mzawa wamecheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.