hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mechi ngumu ni kesho, na Yanga akifuzu, basi hata nusu fainali anaweza kutinga

    Naamini mechi ya kesho itakuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili na Yanga asipokuwa makini, anaweza hata kupoteza hiyo mechi. Hata hivyo, Yanga akishinda kesho dhidi ya Watunisia, basi atakuwa na uwezo wa kufika hata nusu fainali. Hilli kiundi linaweza kutoa bingwa kama...
  2. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Huduma za afya vituo vya Serikali inakatisha Tamaa, viongozi wa mikoa na Wilaya hata kusimamia huduma zitolewe mnasubiri Rais?

    Nani amewahi kwenda kupata huduma kituo cha Afya kipya kilichopo Kimara? Jaribuni kwenda pale kituoni mkae morning to evining mtajionea Hali ya utoaji huduma ilivyo mbovu. Nina rafiki yangu anaishi jirani, nikifika huwa napenda Sana kufanya tathimini ya Afya Tanzania. Ningekuwa Mimi ndiye...
  4. JamiiForums Tanzania Movie za bongo background music unakera

    Mimi ni mpenzi sana wa bongo movies ingawaje mimi sio mtanzania wala siishi Tanzania. Kuna moja linanikera sana katika movie hizo; ni background music. Inakuwa hata vigumu kusikia wanachosema waigizaji.
  5. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama msomi ninayefanya biashara nimeona wazi kwamba biashara inahitaji elimu ndogo hata ya darasa la 4 inatosha

    Nikiri wazi kwa sasa bado nipo kwenye ajira serikalini lakini biashara ndio inaniingizia mkwanja zaidi kuzidi ajira, kwenye ajira nachofaidika ni connections na sehemu nilipo kwenye ajira inanipa nguvu ya mamlaka flani kwenye sytem lakini kuhusu mkwanja kiukweli biashara ndio inanibeba zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi wa kuanzia mwaka 2000 hadi sasa hawawajui Walimu wao Wakuu na hata Walimu tu wa Kawaida?

    Akina GENTAMYCINE tuliosoma miaka hiyo ya mid 80's hadi late 90's mpaka leo Majina ya Walimu Wakuu, Walimu waliotufundisha hadi Walinzi wa Shule tunajua majina yao. Mitoto ya Siku hizi hawawajui Walimu Wakuu Wao na wanaowajua zaidi ni Wasanii, Madereva wa School Bus zao, Bajaji na Wauza Chips...
  7. JamiiForums Tanzania Mtu wa namna hii aachwe kuwa kiongozi kwakuwa alipata kura nyingi?

    Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga. Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaani masuala ya ovyo ovyoo...
  8. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 rais Samia hana mpinzani. Je, Chadema hii inafaa kuww na wabunge hata wa huruma?

    Chadema inahitaji huruma kutoka kwa wananchi. Je, inastahili kuhurumiwa? Kuhurumiwa na wanachi ili ipate wabunge na wao wapate pesa za kula na kujikimu. Ila sio kutatua kero za wananchi. Chadema wamekubali kuwa rais Samia anastahili na anafaa kuwa rais. Sasa wanataka nini zaidi ya huruma ya...
  9. JamiiForums Tanzania Nape: Hata mimi nataka Katiba Mpya

    Waziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine. Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Hata wanaotengeneza hizo boda boda hawafanyi kama ajira

    Bongo nyoso, yaani hili swala nyuma yake kuna vigogo wanaouza hizo boda boda ndio maana wanakingia kifua kulinda biashara zao. Boda boda ina risk kubwa sana. Serikari isikwepe jambo hapa. Hakuna ajira hapa
  11. JamiiForums Tanzania Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!

    Wanabodi Waswahili wana vijineno neno vyao, ukivisikia unaweza kuviona ni kama vineno vya Utani!. Moja ya vineno hivyo ni "Penye Uzia Penyeza Rupia!" na "hakuna mkate mgumu mbele ya chai". Siasa zetu ni siasa za kijungu jiko, yaani siasa za hand to mouth kwa kutegemea ruzuku!. Hizi ni siasa...
  12. JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Fei Toto ndio nafuu ya ushindi wa soka letu!

    Fei kushindwa soka letu limeshinda! Ukubwa wa jina la Fei alioupata akiwa Yanga ungekuwa silaha ya kuuangamiza mpira wetu 🇹🇿. Kivipi? Kesi/Shauri lake kama angeshinda lingetumika kama kielelezo na mfano kwa Wachezaji mbalimbali kuvunja mikataba yao bila utaratibu. "Mbona Fei alivunja?" Kauli...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Museveni asema Wananchi wake ni wavivu sana, hata mtu mjinga anaweza kuishi Uganda

    Akizungumza mbele ya Rais Cyril Ramaphosa na Jumuiya ya Wafanyabaishara, Rais Yoweri Museveni amesema Uganda ina mazingira rafiki kiasi cha kutohitaji watu kufanya kazi kwa nguvu ili kufanikiwa. Museveni ambaye ameitawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 37 amesema "Sisi tupo eneo la Ikweta, tuna...
  14. JamiiForums Tanzania Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

    Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty. Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa. Ila problem ninayookabiliana nayo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Anayekunyima wakati wa uchumba atakunyima hata ukimuoa

    Msome mchumba wako vema kabla hamjafunga ndoa. Kama unanyimwa unyumba ama pesa wakati wa uchumba kwasabb zozote zile, basi ukae ukijua kuwa utanyimwa hata kwenye ndoa kwasabb zinazofanana na hizo. Kazi kwako. Endelea kulea uzembe huku ukijifariji kuwa utaisha mkiingia kwenye ndoa.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: usione wembamba wa reli, gari moshi hupita! Mwanamke hata awe mfupi kapewa uwezo mkubwa wa kuyamudu.

    Atakumudu vema tu,
  17. J

    JamiiForums Tanzania Sugu: Rais Samia ni mama msikivu nampigia simu hata usiku

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewaambia Wananchi wa Mbeya kuwa ana uwezo wa kumpigia simu Mh Rais Samia Suluhu Hassan hata usiku kumueleza changamoto za Wananchi wa Mbeya, kama aliweza kumpigia simu na aliweza kufika kwenye shoo yake usiku. Sasa atashindwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi hata Ulaya kuna sehemu zimepewa majina ya nchi mfano hapa Tanzania kuna street inaitwa Morocco, Argentina nk

    Naomba kufahamu hilo au tunajipendekeza .....
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hata kama leo timu itafungwa, Simba msimfukuze robertinho

    1. Robertinho ni mmoja wa makocha bora wa kigeni wanaolijua soka la Afrika mashariki 2. Hajakaa na timu muda mrefu ili aweze ku-instil falsafa yake ya timu kushambulia muda wote. 3. Timu ipo kwenye hatua ya mwisho ya kukua: kuanguka kwa kiingereza decline 4.Mgunda ndiyo mchawi wa robertinho...
  20. JamiiForums Tanzania TCRA yadai Clubhouse ilipotea kwasababu ya Kiufundi, sasa ipo hewani

    Siku moja tangu utokee mkwamo wa upatikanaji wa mtandao wa Clubhouse nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema haikuufungia bali kulikuwa na changamoto za kiufundi, lakini umesharejea. Mtandao huo ambao watu huutumia kuwasiliana kwa sauti, kufanya mikutano na mijadala mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…