Nipo kwenye Whatsapp group wajumbe wanapledge na kupunguza mie hata mia mbovu sina

Annie X6

JF-Expert Member
Mar 16, 2023
405
750
Hii ni hatari sana maisha yamebaka vibaya na ninachosshuhudia kwenye group la mshkaji anayetarajia kuoa hivi karibuni huwez aamini.

Wadau wanachanga kwa kwenda mbele. Yaani ni mwendo wa kupunguza na kutoa ahadi mm ni kama siamini.

Hapa ndio pale ninapoamini watu tunatofautiana. Watu wanakazi zao na mapesa wanajua kuyagawa. Sisi wengine sijui tatizo ni nini. Wakuu hii ni ngumu kumeza.

Ingawa najua kasoro kuu kwangu Sina nidhamu ya pesa. Lkn sio kwa hela hizi.

Cha ajabu zaidi ukikatiza mitaa jamaa wanaporomosha mabangaloo. Yani ni kujengaa majumba kea kwenda mbele.
 
Hii ni hatari sana maisha yamebaka vibaya na ninachosshuhudia kwenye group la mshkaji anayetarajia kuoa hivi karibuni huwez aamini.

Wadau wanachanga kwa kwenda mbele. Yaani ni mwendo wa kupunguza na kutoa ahadi mm ni kama siamini.

Hapa ndio pale ninapoamini watu tunatofautiana. Watu wanakazi zao na mapesa wanajua kuyagawa. Sisi wengine sijui tatizo ni nini. Wakuu hii ni ngumu kumeza
Pledge hela ndogo kwanza huku unasoma upepo
 
heee kumbe ela unazo ni matumizi ndo yanakuvuruga.
Mi nikajua ndo kama sisi hata kijora cha ef7 cha harusi ya mtaani kinatushinda
 
Back
Top Bottom