hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira aionya CCM kutosikiliza matatizo ya wananchi "Hata muimbe vipi kama hamsikilizi matatizo ya watu haitasaidia"

    MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Stephen Masato Wasira amewaonya viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuwa kama matatizo yanayowakabili wananchi hayazungumzwi na kutafutiwa ufumbuzi wananchi wakatosa imani na CCM kuendelea kuwaongoza. Mzee Wassira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na...
  2. JamiiForums Tanzania Ya Aishi Manula kumkuta Chasambi ,hauzwi ila hatapangwa hata mechi moja wala reserve

    Aliwahi kusema Simba hakuna role model wake na role model wake ni Max Nzegeli Sasa Nzegeli anatua msimbazi na Chasamvi anatua benchini mpaka mkataba wake huishe, Sio kwajishuti lile
  3. JamiiForums Tanzania Naulizia tu..Pugu Boys...aka pond boys yalee maji ya fungus bado yapo??maana wengine yalututesa sana na kupunguza HATA uzao...

    Wale mliopotia pugu sec myanielewa Wengine waliitea pond boys Wengine fungus boys Yaani baadaeee BAADA ya mateso ya kujikuna SEHEMU za Siri kunywaa madawaaa kibaokoo Badoo wengine Hawakufanikiwa kupata uzaooo Na HATA walee waliopanga watoto wengi wakaishia MMOJA ama wwawililii maana Ile...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana Kuweni na Busara hata Kidogo

    Jana jioni nilikuwa nafanya mazoezi(jogging) nikapita barabara moja kuna ghorofa linajengwa. Nikasikia kijana mmoja (27-30yr) anafoka na kutukana kwenye simu. 'WEWE MZEE SIKU YA PILI LEO NAFIKA HAPA UMEACHA LINDO. HUO UZEE WAKO MIAKA 70 ISIWE KIGEZO KUTUSUMBUA. KAMA ULITUMIA HELA ZAKO VIBAYA...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Madhara ya amani ktk taifa. "Natural Selection" haifanyiki hivyo hata watu dhaifu huishi na kupata madaraka.

    Israel ni taifa linalosifika ktk kila nyanja ktk uso wa dunia ni kwasabb imepitia misukosuko ya kivita kwa muda mrefu sana. Hii imepekea waisrael dhaifu kufariki na kubakia wale wenye nguvu ama uwezo wa aina fulani "survival of the fittest". Kwenye nchi zenye utulivu na amani ya muda mrefu...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa Mbwa wakizungu wana akili sana kumzidi hata binadamu

    Just watch this video
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ana hali ngumu kuliko hata mbowe

    1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe 2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani. 3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja Naona hili dogo la Dr...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Stand ya Gharama ya Nyamhongolo, Mwanza hata usafi wa kuondoa Buibui mmeshindwa???

    Kodi mnakusanya lakini hata usafi wa kuondoa buibui mmeshindwa??
  9. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

    Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri. Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu...
  10. JamiiForums Tanzania Hata kama una gheto kama hili! Lakini msongo wa mawazo lazima ukuue!

    Mfumo wa maisha ulitengenezwa husiishi peke yako! Ukiona unaishi peke yako ama umelaaniwa, mchawi, au kichaa/chizi. Kama una akili timamu basi jua fika unapigwa matukio na upweke na msongo wa mawazo! Haijalishi utajitahidi kivipi kuwa na gadgets za electronics kukuliwaza! Ebu angalia huyu mdada...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu Mradi wowote ulioanzishwa chini PPP ya David Kafulila atufahamishe, mimi siujui hata mmoja, ni Mwingi wa maneno tu

    Partnership (PPP) in Tanzania is a collaboration between the public and private sectors to deliver public services or infrastructure. PPPs are a way to combine the public sector's oversight with the private sector's expertise. How do PPPs work in Tanzania? The private sector renovates...
  12. JamiiForums Tanzania Hata kama Wapalestina hawakubaliki Marekani hili la mzigo condom wamesingiziwa.

    Katika kufafanua zaidi kuhusu kusitishwa kwa msaada wa Marekani chini ya utawala Trump Msemaji wa Ikulu ya Marekani akizungumza na vyombo vya habari amesema walipofanya ukaguzi wamekuta Gaza imepewa $million 50( takribani bilioni 100Tsh) kwa ajili ya kununua Condom. Huu ni uzushi mkubwa sana...
  13. JamiiForums Tanzania Kweli Congo imelaanika, hata askari mwenyewe anaiba (loot) kwenye duka analopaswa kulilinda. Tazama video hii.

    https://youtu.be/CC6XA5sI2ds?si=c7E0JJ-KkqyzA3JH
  14. JamiiForums Tanzania Aisee, huyu mwamba sijui katokea wapi na anaelekea wapi haha, hata walinzi wamebaki kushangaa bila kumzuia haha.

    https://youtu.be/y1kmYqisApc?si=mIPdFfjf4Zaqg5lx
  15. JamiiForums Tanzania Hamas walitegemea hawa bidada wataonyesha sura za hofu na majuto ila hawajui hata Israel wenyewe wameshindakana kama wao

    Naona matapeli wamewaachilia watu wasio na hatia. Hongera kwa benja kwa kuwaminya hadi wanaanchia wenyewe .
  16. JamiiForums Tanzania Mzee Philip Mpango, sasa ndio umenuna hukutaka hata kuhudhuria uzinduzi wa wiki ya sheria?

    Uombe kupumzika mwenyewe halafu utununie.
  17. JamiiForums Tanzania Sio kwenye Pete tu hata kwenye saa

    Wakuu niliona mjadala humu kuhusu watu kuvaa mapete na kila aliyechangia alikuwa na maoni yake. Kwa habari nilizozisikia na kuziona kwenye vyombo vya habari hata kuzisoma sehemu mbalimbali. Pete zinazovaliwa na watu mbalimbali wakiwemo Mashehe, Wachungaji, Maaskofu na watu mbalimbali. Huwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania HITIMISHO:Mbowe ni zaidi ya Lissu hata kama Demokrasia imeamua.

    1.Mbowe ana uwezo wa kutumia mbinu tofautitofauti katika kupigania mabadiliko,Kwa kifupi hakuna kipya ambacho atafanya Lissu Mbowe hajakifanya,kama ni kugomea Uchaguzi Mbowe alifanya 2019,kama ni kuandamana Mbowe alishafanya,kama ni kuongea Mezani Mbowe alishafanya kwahiyo Mbinu nyingi zitakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania watu walio weka huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kujiundia tume huru wanapaswa kuchunguzwa na hata kushtakiwa

    Huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru sio demokrasia napinga kwa nguvu zote inawezakana ni mbinu ya watu wasio watakia mema watanzania maskini ili kujinyakulia madaraka kinyume cha sheria kwa kujiteuwa wao wenyewe kwasababu mgombea huyu kuunda tume huru hakuwezi kuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Ahadi zinazotolewa hapa hata wanasiasa wakasome!

    Ebu tiririka uongo unaondondoshwa hapo! 😄😀
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…