Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.
Tunajua na tunatambua umuhimu wa utalii katika maendeleo ya nchi. Mataifa kama Morroco, Egypt na Kenya yamekuwa yakinufaika sana na utalii.
Kama Lengo lilikuwa kuvutia utalii wa ndani, si vibaya kutumia watu mashuhuri hapa nchini katika kutangaza na kuvutia watalii wengi zaidi kutoka ndani...
Hapa nakitambulisho cha mpiga kura tangu 2015 hakina hitilafua hata nukta.
Miezi kadhaa iliyopita nimepokea kitambulisho changu cha NIDA. Tena nawashukuru maana aliniletea mjumbe wangu wa Nyumba KUMI wa Chama cha Mapinduzi.
NIDA Tanzania
Jambo ambapo sijapenda haijapita hata mwaka herufi...
Naibu waziri wa sanaa, utamaduni na michezo, hamisi Mwinjuma almaarufu MWANA FA.......kipindi cha huko nyuma alishawahi kutoa hii nyimbo inaitwa KAMA ZAMANI FT MAN DOJO NA DOMOKAYA
Hii ni ngoma kubwa sana na inayoishi na alitumia akili kubwa sana, kuanzia kuandika production na kila kitu kama...
Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi.
Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
Naona yanga wanalialia kama watoto kwa makosa ya ushenzi wao !! Wanataka point za mezani kwa mechi gani waliocheza? Mwamuzi alikuwa nani ,na Kamisaa alikuwa nani? Ipeni yanga pointi 3 na ikiwezekana wapewe na za nyongeza Bado mwaka huu ubingwa hauwahusu
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Wakati upo down hakuna anayetaka kujihusisha na wewe isipokuwa watu Wachache Sana ambao ni wenye upendo wa KWELI kwako.
Hawataki kujihusisha na familia yenu. Na pengine hawataki watu wajue ninyi ni ndugu kwa Sababu ya Hali yako ngumu.
Kwenye magrupu ya...
Sijui dunia ya sasa inaelekea wapi.... Kuna wanaume unaona kabisa wanaandika mwandiko wa kiume ingawa wanapenda wawe treated kama wanawake.
Hawa hata uandishi wao utauona ingawa wanaandika sana wakijifanya ni wanawake na wakitaka waonekane hivyo watongozwe na kadhalika.kisaikolojia wanajisikia...
Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
Ukiusikiliza ule wimbo wa Ccm mbele Kwa mbele Kuna maneno yanimbwa " Ccm ni Ile ile na makali ni yaleyale" hii nikweli
Vijana kama mnategemea sisiyemu itawalete kitu kipya sahauni sana sana wanaboresha namna ya kuifisadia hii Nchi.
Kikwete si alituahidi ajira Kwa Kila kijana?
Magufuli si...
Mimi nililelewa na bibi na baba yetu ndo alikuwa anaprovide for the family. Kwa bahati mbaya baba akafariki nikiwa form 1 na bibi alikuwa mzee na hajishughulishi na chochote. Ili nipate msaada wa vitu vya shule ilinibidi niende kwa ndugu wa baba kuomba msaada ili niweze kwenda shule.
Nikafika...
MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu.
Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
Great Thinkers
Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania.
1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli never
2. Wana wasanii wao ambao kwa kweli wanaimba vizuri sana kama Elizabeth, kisima, kadochiza...
Rod Stewart akiwa na mke wake Penny Lancaster, walikua wanahudhuria harusi ya mtoto wa Rod na mke wake wa awali Rachael Hunter.
Pamoja na pesa zote lakini Penny ameshindwa kununua decent dress for the wedding.
Watu wanadai pwenti 3 za bure wakati hata wao hawajafuata taratibu zinazoweza kuwapa nguvu ya kudai hizo pwenti tatu.
Tuachilie mbali tukio la kuvunja kanuni kwa kuzuia mpinzani wake asifanye mazoezi na kumfanyia vurugu usiku wa kuamkia mechi husika.
Tuachilie mbali kuvunja kanuni kwa kuingia...
Tuliwaambia CCM haina kiongozi mwenye pure intelligence yaani AKILI NA UTASHI wa kubadili resources za Tanzania kuwa hela . Ni Majanga hilo Taifa.
Huyu Biteko aliingia kwenye Uwaziri na akafikia hatua anawatoa TANESCO wasihudhurie vikao vyake kujadili TATIZO la Umeme kwa sababu TANESCO ni...
Katika Siku 7 je? Dhambi zinaweza kuondolewa kwa sasaa matatu?
Ukisema ufuate sheria zote za katoliki ufakufa masikini maana itakulazimu kila siku uhuhudhurie kabisani. Je? Kwanini walitunga sheria ambazo kabisa walijua watu hawatazitimiza?
Kuna watu wanatembea na bibilia au vitabu vya Quran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.